Ali Wario

Parties & Coalitions

Born

5th May 1970

Post

P. O. Box 10 Bura, Tana

Email

warioali@yahoo.com

Telephone

0721398361

Telephone

0725206089

All parliamentary appearances

Entries 411 to 420 of 612.

  • 15 Oct 2014 in National Assembly: ni Kiswahili. Kipengele cha Pili kinasema kuwa lugha rasmi ni Kiswahili. Kumbukumbu ya Hotuba ya Rais iko tu kwa lugha ya Kimombo na Wakenya wengi hawatapata kubaini Rais alisema nini siku hiyo. Wacha nirejere mada yangu. Nauliza: “Je, ICC ina uwezo wa kuchambua, kuchunguza na kuishtaki kesi hii? Je, ICC ina ushahidi? Je, ICC imewahi kumfunga Rais ambaye si Mwafrika?” Hayo ni maswala ambayo yanaleta changamoto kubwa sana. Kwa wao wenyewe, tumesikia mambo mawili. Moja, Ocampo akasema kuwa alishurutishwa kufanya aliyoyafanya. Bi Bensouda kwa mkono wa kushoto, anasema kuwa hana ushahidi. Hata kwetu Kibera katika ile korti ya chini kabisa, ... view
  • 23 Jul 2014 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika, ufafanuzi ninaomba ni kwamba wakati kulitangazwa kuwa kulikuwa na kazi, kulikuwa na pendekezo katika gazeti kwamba wanasiasa wasitoe mapendekezo. Nataka sababu ya hili jambo kwa misingi ya kisheria; kwa nini mwanasiasa asitoe mapendekezo? view
  • 23 Jul 2014 in National Assembly: Pili, makurutu waliambiwa wakimbie. Huu ni mwezi mtukufu wa Ramadhan. Ikiwa hii ndio mbinu inatumika kujua kurutu bora na hali wengine walikuwa wamefunga; je walikimbia sawa na wale ambao hawakuwa wamefunga? Je, hii si ilikuwa dhulma kwa Waislamu? view
  • 23 Jul 2014 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika, jambo la nidhamu la mhe Wamunyinyi imenipoteza kidogo maanake halikunihusu. view
  • 23 Jul 2014 in National Assembly: Nikimaliza, iwapo polisi wanasema wanataka kufanya uchunguzi wa kiafya kwanza, ama kutumia mbio kama mbinu inayoonyesha ni kurutu gani bora, katika Bura, daktari ni mmoja, na ndiye anakagua makurutu 100. Je tutazuiaje ufisadi? Nikimaliza, Bw. Kavuludi alisema yeyote mwenye malalamishi ampelekee lakini karani akasema kwamba mwenyekiti hachukui malalamishi yoyote. Tunataka mbinu badala ya kupeleka malalamishi kwa sababu kuna mchezo wa paka na panya. Inafaa kuwe na tume huru ambayo itachunguza jambo hili. Wale wanaoajiri ni tume ya Kavuludi. Itajichunguza vipi? Afadhali malalamishi yaende kwa Kamati ya Bunge maanake walipokuwa wakiajiri, walisema hawataki maoni ya wanasiasa. Kwa vile ufisadi umedhihirika, wacha ... view
  • 22 Jul 2014 in National Assembly: Thank you, hon. Deputy Speaker. I am presenting a public petition by the residents of Bura Constituency for the degazettement of Legal Notice Nos.39 and 40 of 2013 on the declaration of Bangali and Mbalambala as Forest Areas, Forest Act, No.7 of 2005. We, the undersigned, on behalf of the residents of Bura Constituency in Tana River County draw the attention of the House to the following: That, aware that Legal Notice Nos. 39 and 40 of 2013 carved out more than 123,000 hectares of land to create Bangali and Mbalambala Forest Reserves; noting that Bura is largely a pastoralists ... view
  • 22 Jul 2014 in National Assembly: Finally the Cabinet Secretary be barred from further gazetting any forest area in Bura Constituency without due participation of the public as is required by the Constitution. view
  • 22 Jul 2014 in National Assembly: Thank you, hon. Deputy Speaker. view
  • 1 Jul 2014 in National Assembly: Mhe. Spika, ninaomba mwongozo kutoka kwako. Wakati Mbunge mpya anapolishwa kiapo cha ofisi tunalazimika kusimama. Kanuni za Bunge, Vipengele vya 3 na 104 havisemi kwamba ni lazima tusimame wakati Mbunge mpya anapolishwa kiapo. Mwongozi wa sisi kusimama wakati Mbunge mpya analishwa kiapo umetoka wapi? Naomba mwongozo kutoka kwa Mhe. Spika. view
  • 1 Jul 2014 in National Assembly: Ahsante, Bw. Spika. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus