12 Apr 2018 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker, for giving me this opportunity to give my voice in regard to this very important Bill on petroleum exploration, development and production. This Bill is indeed coming at a point when Kenya is looking for other opportunities to develop its economy. The fact that petroleum and other mineral deposits in the country have not been exploited appropriately in the past... This is coming at a time when we are looking around as a nation to see what potential exists to propel our economy to high heights and to make Kenya a middle-level economy. Oil ...
view
12 Apr 2018 in National Assembly:
areas that are pastoral in nature and currently rely on livestock and trans-human form of land use, particularly in terms of mobility from one point to another. Basically, exploring the potential for other minerals, petroleum being just one of the natural resources we have. We would rather look at how these resources can be of benefit to the local people because this product is likely to change the lifestyle and livelihood of the people in that region. One significant thing is that the Bill has categorised the community’s interests and given specific percentages to the community and county. There is ...
view
12 Apr 2018 in National Assembly:
Of great significance is environmental management and assessment, which is likely to affect oil exploration. This Bill clearly emphasises the importance of conducting environmental impact assessment to see how exploitation of this product is likely to affect other livelihoods in the region. These issues should be looked into critically with a view of seeing how this Bill can be harmonised with existing environmental laws, like the Environmental Management and Coordination Act (EMCA), in order to avoid conflict that would deter future exploration and development of this natural resource. Finally, petroleum is of great significance. Any company that is likely to ...
view
21 Mar 2018 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika wa Muda, shukrani sana. Naomba nianze kwa kusema kuwa naunga mkono Hoja hii kuhusu maafisa wa polisi. Sharti masuala yao yaungwe mkono. Nitaanza kwa kusema kuwa dunia nzima imewekeza vilivyo katika usalama wa taifa lakini hapa nchini Kenya, sisi tumewekeza katika uhalifu wa kujitakia kwa sababu hatufuatilii utaratibu na kanuni zinazohitajika kuhakikisha kwamba usalama wa taifa unapatikana. Polisi ni mwananchi. Pia ni raia wa kawaida kama Mkenya mwingine. Kwa hivyo, polisi wanahitaji kuangaliwa vilivyo ili waweze kutulinda sisi Wakenya.
view
21 Mar 2018 in National Assembly:
Pia nitazungumzia masuala kama vile bima yao, vifaa wanavyotumia, nyumba wanamoishi, mishahara yao pamoja na marupurupu wanayopata. Maafisa wa polisi wanalipwa vibaya mno. Hata askari gongo analipwa zaidi ya afisa wa polisi. Ndio maana unaona nchi hii haisongi mbele kwa sababu hatuekezi katika usalama wa taifa. Ningelipenda kutoa mifano ambayo ni ya muhimu zaidi, hususa katika vituo vya polisi au kambi za polisi. Vile maafisa wa polisi wanavyoishi ni jambo la kuchukiza mno. Vyumba wanavyotumia ni vyumba ambavyo aliyeoa na asiyeoa wanaishi pamoja. Huyu ambaye ameoa akitumwa safari ya mbali kwenda kuhudumia taifa, kuna mtu anajenga nyumba yake. Ataregea kwa ...
view
21 Mar 2018 in National Assembly:
wana familia. Hatutakaa tukiimba kila siku kuanzia Januari hadi Disemba tukizungumzia masuala ya nyongeza ya mshahara ya maafisa wa polisi. Haifai. Haikubaliki. Hawa ni binadamu ambao wana uzito wa kutulinda sisi na taifa nzima. Leo, afisa wa polisi analipwa kati ya Ksh15,000 na Ksh21,000. Ukiweka zote kwa pamoja - Ksh15, 000 au Ksh21, 000 - atapeleka wapi? Hi ni kama chakula chako cha mchana. Ana watoto na bibi. Hawajui watoto wao wataenda shule gani. Katika kambi za jeshi, angalau wamejaribu kuekeza katika elimu na kujenga shule zao. Kambi za jeshi zina shule. Polisi hawana. Watoto wa polisi wataenda wapi? Leo, ...
view
21 Mar 2018 in National Assembly:
Nasimama na kusema kuwa wakati umefika wa Bunge hili la 12 kuhakikisha kwamba Hoja hii imepita na maafisa wa polisi wamehudumiwa. Tume ya Kavuludi isiwe tu ya vyombo vya habari. Iwe ni tume ya kuhakikisha ya kwamba hawa watu wamesikizwa na kulipwa ipasavyo. Hawa watu na ni binadamu. Hawana bima. Lazima washughulikiwe ipasavyo ili tuweze kuunda taifa nzuri ya usalama na kuekeza katika usalama kama nchi zingine. Dunia inaekeza katika usalama ilhali sisi tunaekeza katika ujinga. Leo, tunavamiwa kiholelaholela. Leo, utampa polisi bunduki aina ya bastola ambayo ina risasi 12 na jambazi ana bunduki aina ya AK47 na amejihami na ...
view
14 Mar 2018 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Naona mjadala huu unazidi kuwaka moto na Wabunge wanachangia vilivyo. Hata hivyo, kabla sijahitimisha Hoja hii nitakuwa mkarimu na kuwapa Wabunge wafuatao dakika moja: Mhe. Mwashako, Mwololo, Jeremy, Nakara na Mbunge wa Nyando. Mhe. Abdullswamad, Mbunge wa Mvita kwa sababu The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
14 Mar 2018 in National Assembly:
yeye ni jirani wangu na ndiye mwenye hospitali hii ambayo tunaipigania iweze kuboreshwa zaidi, nitampa dakika mbili. Shukrani.
view
14 Mar 2018 in National Assembly:
Shukrani sana, Mhe. Spika wa Muda. Labda kwa kuhitimisha katika Hoja hii ya siku ya leo ambayo imechangiwa vilivyo, kwanza kabisa nawashukuru Wabunge wenzangu walioweza kuchangia na wale wote ambao walikuwa wanataka kuchangia lakini muda haukuwaruhusu. Ningependa pia kuwaambia kuwa Hoja hii ni ya taifa. Asilimia 80 ya Wakenya wana matatizo ya afya. Hoja hii bila shaka itakapofaulu na kufanywa sheria, itaweza kuhakikisha ya kwamba kila kaunti nchini Kenya imepata hospitali ya Level 6 ama hospitali ya rufaa.
view