Amin Deddy Mohamed Ali

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 51 to 60 of 67.

  • 6 Dec 2017 in National Assembly: Finally, I wish to make certain contributions regarding the Bill. This Bill is very critical in terms of the current situation in the region and the country as a whole in terms of development in real estate. Building surveyor is a very critical component of any building that is going to be constructed. Real estate is a growing industry. There is need to have a corrective measure, check and balance and to see who should oversee building surveys and structures that are coming up and their construction. So, the institution can critically make this board a very viable project for ... view
  • 7 Nov 2017 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. My name is Amin Deddy, from Laikipia East Constituency. This is a very emotive issue which has to be handled with a lot of care. It is a problem that needs a solution. The solution has to come from the security agencies and the local leaders because lives and properties of people matter. What we are talking about are issues related to The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 7 Nov 2017 in National Assembly: land and pasture. That is an economic activity for the people of Laikipia North and some parts of Laikipia West. At the same time, lives of policemen matter. The lives and properties matter. view
  • 7 Nov 2017 in National Assembly: Thank you very much, Hon. Temporary Deputy Speaker, for giving me this opportunity to add my voice and condemn the killing of livestock in Laikipia. This happened yesterday. It is going to happen tomorrow and it has happened in the past. I would like to condemn it. This is a case of use of excessive force in order to curtail the economy of pastoralist communities. This is a way of destroying our life. Cattle mean a lot to us. So, I urge that anybody who has been made culpable be brought to book. The culprits should be arrested and jailed ... view
  • 27 Sep 2017 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Kabla sijazungumzia kalenda ya Bunge, ningependa kuchangia Hoja iliyokuwa ikizungumziwa hapo awali kuhusu Kenya na ukenya ndani yetu. Naweza kuwa mchanga au mdogo katika Bunge hili kisiasa lakini jana nilipokuwa nimeketi na kujituliza, nilisikiliza Hoja za Wabunge mbalimbali wakijadili masuala ya taifa hili. Kutathmini tu kwa ufupi, niliona kwamba katika Bunge hili hapo jana, mada ilikuwa ni Raila-Uhuru, NASA-Jubilee na tutunge sheria-tusitunge sheria. Watu wengi pia walijaribu kuzungumzia mifano mbalimbali na kufanya nchi mbalimbali kama mifano, ikiwemo Ujerimani, huku wakilitaka taifa hili lisonge mbele kisheria ambayo labda sheria yenyewe imependekezwa na vile mtu ... view
  • 27 Sep 2017 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika, nilipokuwa katika kampeni zangu, nilikuwa nikiomba kura nikiwarai na kuwasihi wananchi wanilete katika Bunge hili ili tujadili taifa hili na njia sawa ya uongozi wa taifa hili, but I am afraid. I thought that by coming to this Parliament, I am --- The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 27 Sep 2017 in National Assembly: Haya basi. Nilipokuja katika Bunge hili, nilidhani ya kwamba litakuwa--- view
  • 27 Sep 2017 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika. Kwa ufupi, nilikuwa nasema tujaribu kutunga sheria katika Bunge hili. Tutunge sheria ya Kenya na ukenya ndani yetu. Tusitunge sheria kwa sababu ya vyama kwa sababu taifa hili likizama, tutazama sote. Sisi kuwa katika Bunge hili nadhani tumekuja hapa sote kwa ajili ya suluhu na suluhu hii ni kwa taifa zima, sio kwa Wabunge peke yake. Kwa hivyo, lolote lile ambalo tutakuwa tukifanya katika Bunge hili, basi liwe ni katika misingi ya kuhakikisha kwamba taifa hili linasonga mbele. Mambo yote ambayo yanatokea kuhusiana na jinsi ambavyo Wabunge wanazungumza katika mikutano ya hadhara yanatokana na sisi ... view
  • 27 Sep 2017 in National Assembly: Kuhusiana na Kalenda ya Bunge, nakubaliana nayo. Naunga mkono jinsi ambavyo mikakati imeandaliwa ya Wabunge labda kurudi mashinani na kuzungumza na wenyeji ila tu pia naongezea uzito kwamba fedha zinazohitajika za Hazina ya Kitaifa ya Maendeleo ya Maeneo- Ubunge (NG-CDF) ziweze kufika ili tuweze kuwahudumia wananchi. view
  • 27 Sep 2017 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus