Amin Deddy Mohamed Ali

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 31 to 40 of 71.

  • 14 Mar 2018 in National Assembly: Tumeweza kutoa takwimu mbalimbali na kuonyesha ni kwa nini tunahitaji hospitali hizi. Rais Uhuru Kenyatta mapema mwaka jana alisema ya kwamba anatoa pendekezo la kujengwa kwa hospitali katika kila kaunti. Kwa wale ambao waliingia wakati ambapo nilikuwa nikiendelea ama walichelewa kuingia, niliwapatia mifano mbalimbali na kuwaambia ya kwamba sisi tunaenda kinyume na Shirika la Afya Duniani (WHO). Shirika hilo linasema kuwa daktari mmoja anapaswa kuwashughulikia wagonjwa 1000. Hapa Kenya daktari mmoja anawashughulikia wagonjwa 10,000. Watu wanaumia sana. Tunazidi kumaliza kizazi. Tunazidi kuhakikisha ya kwamba watu wetu wanazidi kuumia badala ya kuwawakilisha katika Bunge. Tunawawakilisha katika mambo mengine yasiyo na maana. ... view
  • 14 Mar 2018 in National Assembly: Ningependa kuwapongeza akina mama Wabunge wenzangu ambao mara kwa mara nawaona kwenye runinga wakati ambapo mama amepigwa katika visa vya nyumbani ama amebakwa, wanakimbia katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta kusimama naye. Leo nawataka msisimame nyuma ya mama huyo lakini msimame nyuma ya hospitali ili huyo mama asipate shida kutolewa Wajir mpaka Nairobi mbali apate huduma hizo hapo. Kwa hivyo, naona muda ndio huo umefikia kikomo. Langu nikusema tu asanteni sana na natumai idadi ya madaktari itaongezeka na hospitali zitajengwa. Kwa Wabunge wote, nasema asanteni sana na Mungu awabariki. view
  • 14 Mar 2018 in National Assembly: Shukrani, Mhe. Spika wa Muda. view
  • 21 Feb 2018 in National Assembly: Hon. Deputy Speaker, I beg to give notice of the following Motion: view
  • 21 Feb 2018 in National Assembly: THAT, aware that Article 43 of the Constitution provides that every person has a right to the highest attainable standards of health which includes the right to health care services including reproductive health care; further aware that in the post 2015 development agenda the world has committed The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 21 Feb 2018 in National Assembly: to Universal Health Coverage (UHC) and achievement of Sustainable Development Goal 3 to ensure healthy lives and promote well-being for all at all ages; acknowledging that investment in a strong health care system is necessary to ensuring that everyone, everywhere has access to basic health services, irrespective of their geographical location or economic status; recognising that over 80 per cent of Kenyans depend on the public sector for health care services yet they are only two national referral hospitals in the country namely Kenyatta National Hospital in Nairobi and Moi Teaching and Referral Hospital in Eldoret; appreciating that Section 25 ... view
  • 21 Feb 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker. view
  • 21 Feb 2018 in National Assembly: Hon. Deputy Speaker, I beg to give notice of the following Motion: view
  • 21 Feb 2018 in National Assembly: THAT, pursuant to Standing Order No. 33(1), I seek leave of the House for the purpose of discussing the rampant insecurity incidences in Wajir County and other parts of northern Kenya. The recent killing and attack allegedly by the view
  • 21 Feb 2018 in National Assembly: on Friday 16th February 2018 in Qarsa in Wajir East Constituency led to loss of lives… view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus