Andrew Mwadime

Parties & Coalitions

Email

achawia@yahoo.com

Telephone

0722867598

All parliamentary appearances

Entries 101 to 110 of 443.

  • 11 Jun 2019 in National Assembly: Kwa kweli, viongozi waliokuweko mbele yetu, na haswa Wabunge, wanaumia sana. Katika Kamati yetu, kila siku, Wabunge wengi huja ofisini kwangu na wengi wao huwa hawana hata nauli ya kurudi nyumbani. Wana magonjwa lakini kununua madawa ni matatizo. Ni lazima tuliangazie suala hili kwa undani kabisa. view
  • 11 Jun 2019 in National Assembly: Hata wenzangu hapa, nawaomba kuwa hoja ikiletwa ya masuala ya malipo ya uzeeni, wajaribu kuisikiza na kuiangalia kwa undani kabisa kwa maana tutakachofanya wakati huu kesho kutwa kitatuhusu sisi pia. view
  • 11 Jun 2019 in National Assembly: Ahsante sana Mhe. Spika. view
  • 9 May 2019 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker for recognising that. He just came three minutes ago while I have stayed here for over two hours. view
  • 9 May 2019 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Speaker, please, protect me from the MP for Jomvu. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 9 May 2019 in National Assembly: At the outset, I oppose these miscellaneous amendments though some are good to our country. However, the format or nature they have brought them in is certainly not good. Miscellaneous amendments are expected to correct spelling mistakes. As per what we have read, some of them are substantive amendments. Hon. Members must read and be conversant with the content. For example, on the Wildlife Conservation and Management Act, it is true it has a lot of ambiguities. I remember the Wildlife Act 2016 has not been implemented and yet they have already done substantive amendments. For example, if you are ... view
  • 9 May 2019 in National Assembly: I am very conversant with shipping. The way this Act has been amended, it requires a lot of stakeholders to sit together and come up with a way forward. The way, this Act has been amended, it requires many stakeholders to sit together and come up with a way forward. Giving authority to the Cabinet Secretary to handle all these is economically dangerous to the country and is more subjective than objective. Therefore, I will stop after those few comments because I know Hon. Bady is hungry, he wants to break the fast. view
  • 9 May 2019 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker, I stand to oppose. view
  • 24 Apr 2019 in National Assembly: Shukrani, Bw. Spika kwa kunipatia fursa hii. Mwanzo kabisa, kwa upana, Hotuba ya Rais ilikuwa ya kufana. Hata asilimia themanini kwa mia ninamuunga mkono. Ni maswala tu hapa na pale ambayo alikuwa ayashughulikie halafu angepata alama tisa kwa kumi. Mhe. Spika, wengi hapa wanalia kwa ukosefu wa chakula kwa sababu ni taabu kukipata. Lakini Mwenyezi Mungu alitupatia hewa na maji bure. Kule kwangu sehemu ya Mwatate kupata maji ni shida. Kuna matatizo makubwa tunapochimba visima kwa sababu ya ukosefu wa hela kwa vile kaunti yetu ni ndogo. Tunapata maji ya visima yakiwa na madini. Hata watu wengine wanatuambia kwamba tukinyua ... view
  • 24 Apr 2019 in National Assembly: Kule sehemu za Mwakitau kuna ndovu wengi na akinamama hawawezi kwenda kuchota maji ovyo ovyo kwa sababu wengine wameuawa. Kuna matatizo. Ni vyema wakati Rais anaangazia mambo haya, anaangazie pande zote. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus