Andrew Mwadime

Parties & Coalitions

Email

achawia@yahoo.com

Telephone

0722867598

All parliamentary appearances

Entries 111 to 120 of 443.

  • 24 Apr 2019 in National Assembly: Kamati za Bunge ambazo zinahusika na maji na bajeti zinafaa kuwa makini sana. Kenya ni yetu sote. Ni lazima tuangalie ni wapi hakuna maji ili tuzibe hizo pengo ndio tuje kwa maswala mengine. Sasa hivi, ukiniambia juu ya barabara na sina maji, hiyo barabara itakuwa haina maana kwangu. Juzi hapa Bungeni wakati Rais aliongea kwa Kiingereza, kuna watu ambao walikuwa wanauliza kama tunaelewa. Katika hii Bunge, Wabunge zaidi ya asilimia 90 wanaongea Kiingereza na wale ambao wanaongea Kiswahili ni asimilia 10. Lakini ukienda kule nje, asilimia 90 ya wananchi wanaelewa Kiswahili na asilimia 10 ndio wanaelewa Kiingereza pekee. view
  • 24 Apr 2019 in National Assembly: Ni vyema sisi kama Waafrika tuangalie na tuangazie lugha zetu bila kuchukua lugha za watu wengine na kujigamba wakati tunaongea lugha hizi mpaka wengine wanaweka vifua vyao mbele. Kwa kweli, ni lazima tuangazie suala hili. Kwa kweli, mazungumzo ya Rais yalikuwa ya kufana sana kwa sababu aliongea juu ya ufisadi na swala la utangamano ili tuwe kitu kimoja. Ni vyema tuwe kitu kimoja kama mandugu. view
  • 24 Apr 2019 in National Assembly: Lile swala la ufisadi alilisisitiza sana na sisi tunangojea tuone vitendo. Asubuhi nilimsikia mwenzangu akiongea kuhusu mihadarati. Hili si swala la kuchekesha, lakini ni swala mbaya katika pwani haswa Lamu. Hata kule kwetu sehemu ya Voi na kwingine, hili ni tatizo. Sasa hivi, Rais ameshikana na kinara wetu wa chama cha ODM na kwenda Uchina. Mtu kama mimi ninayetoka kabila ndogo siwezi kwenda Uchina, ilhali kule Voi, mpaka Taveta, reli inatakikana zaidi kwa sababu Arusha iko karibu ndiyo iende mpaka Rwanda. Je, nani atatusaidia watu wadogo kama sisi? Ninaomba pia ikiwezekana sisi Wakenya tubadilike. Juzi tumewapigia watu kura. Inafaa tuanze ... view
  • 24 Apr 2019 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Spika. view
  • 3 Apr 2019 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. I would like to comment on the Petition on the Equalisation Fund. Through your guidance, the CRA is independent but what they have done to some parts of this country is interesting. If we dig boreholes in Mwatate Constituency, we will find that the water has minerals because we have lots of mineral deposits in the constituency. So, there is no fresh water in Mwatate because we do not have rivers, water pans and check dams. This is really serious. The infrastructure such as roads is bad. They are impassable once we have short rains. view
  • 3 Apr 2019 in National Assembly: We have the same problem with the healthcare and we are wondering why places like Mwakitau, Chungaunga, Manoa, Mbauro, Kishamba Mwachawaza have had their Equalisation Fund removed and taken to other areas. Hon. Speaker, the CRA should consider this Petition, go to the ground and see what is happening. If they did that, they would be in a position to know the problems the people of Taita Taveta are facing. view
  • 3 Apr 2019 in National Assembly: I thank you, Hon. Speaker. view
  • 27 Mar 2019 in National Assembly: Hon. Speaker, I am not an engineer. You know I am a mathematician. view
  • 27 Mar 2019 in National Assembly: Hon. Speaker, you do not need to. My certificates are higher than this. view
  • 27 Mar 2019 in National Assembly: Hon. Speaker, I rise to ask the Cabinet Secretary for Education the following Question: Could the Cabinet Secretary explain the policy on language of instruction for children at pre-primary and lower primary schools vis-à-vis the guiding principle regarding provision of basic education as provided for in Section 4 of the Basic Education Act (No.14 of 2013)? view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus