Andrew Mwadime

Parties & Coalitions

Email

achawia@yahoo.com

Telephone

0722867598

All parliamentary appearances

Entries 131 to 140 of 443.

  • 5 Dec 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. view
  • 28 Nov 2018 in National Assembly: I am not out of order, Hon. Temporary Deputy Speaker, it is just that I raised the same Question. I wanted to add more meat instead of the same Question coming back to Parliament. I just wanted to request that the recruiters include villages and locations. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 28 Nov 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker, I rise to ask the Cabinet Secretary for Labour and Social Welfare: a) Is the Cabinet Secretary aware that workers in the hotel industry retire on attaining 55 years of age instead of 60 years? view
  • 28 Nov 2018 in National Assembly: I will proceed. b) what steps is the Ministry taking to address the said concern? The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 24 Oct 2018 in National Assembly: Asante sana, Mheshimiwa Naibu Spika kwa hii fursa. Kwanza kabisa, naunga mkono hii Hoja. Madhumuni, malengo, nia, shabaha na mawazo tangu miaka ya 1960, 1970, 1980, 1990 na kuenda mbele, yamekuwa yakibadilika. Maanake mbeleni, mfumo wetu wa elimu ulikuwa 7-4-2-3. Ukabadilika ukawa 8-4-4. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 24 Oct 2018 in National Assembly: Vilevile, ardhi haijawachwa kwa maana wakati mfumo wa elimu unabadilishwa, lazima pia ardhi iwe tofauti. Ni vyema Serikali kutunga sheria na vilevile mwongozo mwafaka na thabiti ambao unaweza kusaidia zile shule ambazo miaka ya 1960, 1970, 1980 na 1990 idadi ya watu ilikuwa chini. Sasa hivi, idadi hiyo imeongezeka. Yafaa Serikali itenge hela za kununua ardhi ya kupanua hizi shule badala ya kujenga shule nyingi. Zile shule za zamani zikipanuliwa, zitaweza kuwa na watoto wengi kuliko hapo mbeleni. Hoja hii imeletwa wakati mwafaka kwa maana kuna mambo mengi sana ambayo yamebadilika. Ni vyema kuwe na sheria na mwongozo kwa hizi ... view
  • 24 Oct 2018 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika, wenzangu wameongea mengi. Naunga mkono Hoja hii. Ahsante. view
  • 3 Oct 2018 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika kwa kunipa hii fursa. Ukweli wa mambo ni kwamba katiba hutengenezwa na binadamu. Binadamu pia hurekebishwa. Huwezi kuwa na sheria ambazo zinakunyonga halafu ubaki ukisema eti ni sheria au kwamba tumeweka Katiba na tukae tukiumia. Ni lazima tuangalie vile vipengele vinaumiza wananchi. Ni juzi tu tumepitisha masuala ya ushuru hapa. Tuliona kwamba wananchi walikuwa wanaumia. Ukiangalia kikatiba, serikali za wilaya zilipigwa marufuku na Katiba na sisi bado tunaendelea kuzishikilia. Hii ni kumaanisha Katiba ina taabu zake hapa na pale. Kwa kawaida, Wakenya huwa wanapumzika msimu wa Desemba ama mwezi wa kumi na mbili. Mmesikia Independent ... view
  • 3 Oct 2018 in National Assembly: Tulichaguliwa kuwakilisha wananchi wetu. Ni vizuri hili suala liangaliwe kwa undani angalau Katiba ipigwe msasa pale iko na watu waende mbele. Hata wale ambao wanasema IEBC iondoe sehemu nyingine, hii Kenya ina ukabila. Tukisema tunapiga msasa makabila na kuondoa mahali kwingine, Kenya inataka uwakilishaji wa kisawasawa maanake tuna ukabila. Ukiniwekea mimi, Eneo Bunge la Mwatate au Taita Taveta na kwingineko, mtatumaliza. Watu wa Taita na Taveta tuko wachache. Ni lazima tuangalie hili suala kwa undani. Mhe. Chris Wamalwa, nakuunga mkono kwa kuleta Mswada huu. Sisi Wabunge ni jukumu letu tuangalie mahali msasa utapigwa. Kama haiwezekani ama wananchi wakikataa, tutachukua ya ... view
  • 3 Oct 2018 in National Assembly: wananchi. Lakini, ukweli wa mambo ni kwamba hii siku ya kupiga kura mwezi wa nane kama ilivyo ni tatizo kwa wananchi wa Kenya. Zingependelea kuongea mengi. Wenzangu wameongea nisiyopenda kurejelea, nashukuru kwa hii fursa. Asante sana. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus