All parliamentary appearances
Entries 221 to 230 of 443.
-
27 Jul 2016 in National Assembly:
According to the Kenya Population and Housing Census 2009, there are about 39 million people living in Kenya. However, with the population growth of 2.9 per cent per year, the population was about 43 million people as at 2013. According to the progress on drinking water and sanitation updates as per the World Health Organisation (WHO) and the United Nations Children’s Emergency Fund (UNICEF) 2014, about 37 per cent of the population do not have access to clean water.
view
-
27 Jul 2016 in National Assembly:
Inequities in accessing water are glaring and the struggle for water by the skewed sections of the Kenya population sharply contrast with the privileged as they benefit from water delivered to their homes, often at very low prices.
view
-
27 Jul 2016 in National Assembly:
Providing tapped water to primary schools will lead to many advantages. The time wasted by children to look for water will be minimised and the students will concentrate on their studies. We have had tree planting days in primary schools. To make it a reality, it is important for all those schools to be provided with tap water. The cost incurred in treating diseases related to water will go down. With time, that money can be channelled to other areas. As it is, there are about 21,000 primary schools in Kenya. Over 51 per cent of them have water. The ...
view
-
20 Jul 2016 in National Assembly:
Shukrani Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda kwa kunipa hii nafasi na heshima niliopatiwa na Mheshimiwa Malulu Injendi. Naunga mkono hii Hoja ambayo ni muhimu sana. Mimi mwenyewe nilikuwa nimeandika Hoja kama hii lakini ikawa mwenza amenitangulia. Sina budi bali kumuunga mkono kwa kila namna. Mheshimiwa Naibu wa Spika wa Muda, mwanzo kabla hata sijaongea sana, hao wazee wa kijiji sio lazima wawe na elimu kiwango fulani bali lazima wawe ni watu tu ambao wamechaguliwa na wananchi kule vijijini. Hao wazee wa vijiji wakiwa wazee kwa wamama hufanya kazi kubwa haswa kwa masuala ya usalama ambalo ni jukumu muhimu sana kwa ...
view
-
20 Jul 2016 in National Assembly:
Wazee wa vijiji ndio wanafahamu kila kitu ambacho kinaendelea kule vijijini. Tukiwatunza, tutatunza nchi yetu kwa kila namna kwa sababu wao huhusishwa kwa masuala ya mashamba, malumbano madogo na wakati mama na baba wamekosana kule nyumbani. Wazee The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
-
20 Jul 2016 in National Assembly:
wa vijiji hutumiwa na Serikali wakati inataka kufikia malengo yao kule mashinani. Wakati viongozi wote hapa Bungeni wanatafuta kura, huwatumia wazee kupiga firimbi hapa na pale, ili waonane na wananchi. Watu wamekuwa wakiongea kuhusu suala la wazee kwa muda mrefu lakini halijatekelezwa. Baada ya huu mjadala kuisha, naomba ile Kamati ya Utekelezi iende mbio, na Hoja hii iwe sheria kwa haraka iwezekanavyo.
view
-
20 Jul 2016 in National Assembly:
Wazee wa vijiji wanasikia vile nasema. Naomba waangalie hawa viongozi wote ambao wako hapa Bungeni. Wachukue hatua kwa wale viongozi ambao hawaungi mkono Hoja hii kwa sababu ni muhimu sana.
view
-
20 Jul 2016 in National Assembly:
Sitaki kuongea mengi kwa sababu Hoja hii inajielezea. Naunga mkono Hoja hii kwa dhati. Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda.
view
-
6 Jul 2016 in National Assembly:
Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika, kwa hii fursa ambayo umenipatia. Ninasimama kumuunga mkono Mbunge wa Igembe ya Kati kwa haya malalamishi ambayo ameleta kwa niamba ya wananchi wake. Ni kweli Wizara inayohusika na wanyama pori ina tabia ya kuchukua ardhi ya wananchi. Ombi langu pia lipo njiani. Kuna malalamishi kutoka watu wa Taita Taveta. Walikuwa na malumbano kwa sababu Wizara inayohusika imechukua ardhi yao kama vile Mhe. aliyenitangulia wa Wundayi amesema. Kutoka Maungu, Voi, Tsavo, Taveta na sehemu za Mwatate, KWS imechukua ardhi kubwa sana ya wananchi. Tuliuliza Wizara inayohusika itengeneze jopo ambalo linahusisha wananchi wa hapo na maafisa wa ...
view
-
6 Jul 2016 in National Assembly:
Kwa hayo machache, nakushukuru kwa hii fursa ya kujadili kuhusu hili swala tata la ardhi baina ya mbuga za wanyama na wananchi. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view