All parliamentary appearances
Entries 341 to 350 of 443.
-
3 Jun 2015 in National Assembly:
Thank you for this opportunity, hon. Deputy Speaker. At the outset, I am supporting the ratification of the Standard Gauge Railway (SGR). As we know, unity is strength. Connecting all these countries with a digital mode of transport will enhance unity. As it is, ranging from the seas in Mombasa to the highlands, it will enhance tourism, trade and socialisation. The Jubilee Government is now really digital with this SGR project. However, they should also extend it to our neighbour, Tanzania through Voi to my constituency in Mwatate to Taveta and connect to Arusha.
view
-
21 Apr 2015 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker, for this opportunity. At the outset, I am supporting the Budget and Appropriations Committee, simply because it has become the order of the day. As per Articles 95 and 96, Senators are supposed to be talking about what we give them and the distribution to the counties, rather than talking about the job of National Assembly and what it is supposed to be doing. Infact, I am requesting your good Office, if possible, to tell your counterpart to have a good induction course, so that they can know more about the Constitution and what it mandates ...
view
-
21 Apr 2015 in National Assembly:
after we debate and finalize a Bill instead of going to the Senate. We should finalise it here once and for all. Thank you, Hon. Speaker.
view
-
15 Apr 2015 in National Assembly:
Shukrani kwa kunipatia dakika moja. Kwa ukweli kama ndugu zetu upande ule mwingine husema: “Kiswahili kilizaliwa kule Tanzania, kikaanguliwa Kenya na kikafia kule Uganda.” Itakuwa ni dawa ya huu usemi. Vile vile lugha huchangia pakubwa kwa kuboresha madili na mila kwa wale ambao wanaongea hiyo lugha. Ingekuwa ni vyema zaidi kutafsiri hizi sheria kwa lugha zetu kwa sababu hii itakuwa njia ya kuziboresha, pia tutakuwa tunaboresha mila zetu za Kenya. Lugha ya Kiswahili---
view
-
15 Apr 2015 in National Assembly:
Shukrani kwa kunipatia dakika moja. Kwa ukweli kama ndugu zetu upande ule mwingine husema: “Kiswahili kilizaliwa kule Tanzania, kikaanguliwa Kenya na kikafia kule Uganda.” Itakuwa ni dawa ya huu usemi. Vile vile lugha huchangia pakubwa kwa kuboresha madili na mila kwa wale ambao wanaongea hiyo lugha. Ingekuwa ni vyema zaidi kutafsiri hizi sheria kwa lugha zetu kwa sababu hii itakuwa njia ya kuziboresha, pia tutakuwa tunaboresha mila zetu za Kenya. Lugha ya Kiswahili---
view
-
14 Apr 2015 in National Assembly:
Thank you, hon. Deputy Speaker. Mine is just a point of information and clarification to my Deputy Minority Chief Whip. It is about continuity. Continuity is not just a matter of the secretariat. You have heard from the Report that this Committee, despite the allegations, did some good work. These Members had to start their own style, without which they could not move as fast as they did. Therefore, continuity is a must.
view
-
18 Mar 2015 in National Assembly:
Ahsante sana, mhe. Naibu Spika wa Muda kwa fursa hii. Mwanzo kabisa ninaunga mkono hii Hoja ambayo imeletwa na mwenzetu, mhe. Njenga. Ukweli kabisa ni kwamba vijana wetu, haswa wale wa shule, wakati wako likizo huwa ni hatari sana kwa sababu hivi vijibwasha haviko tu mijini mikubwa ya Kenya bali viko katika kila sehemu ya Kenya. Ni tatizo kubwa na sugu kwa sababu mambo ya pombe na madawa, mihadarati ni hatari sana kwa vijana wetu. Hata Serikali hupoteza vijana wengi kwa sababu ya kutupatupa mikebe na vibwasha kila mahali.
view
-
18 Mar 2015 in National Assembly:
Ni vyema kabisa kuzidhibiti na ikiwezekana mashirika kama NACADA yawezeshwe angalau kuzuia utupaji wake mapema, maanake tukiziona mapema ni vyema zaidi kuliko kuzuia baadaye. Nikiongea kuhusu eneo la Bunge la Mwatate, ni tatizo sugu maanake vijana wadogo, ingawaje amesema wa kiume hata pia wa kike, wako katika hali hiyo hiyo. Kwa hivyo ingekuwa ni vyema tuzuie hili tatizo mapema kwa kudhibiti na kuzuia kabisa mpaka wakati hawa vijana wamefika wakati unaofaa ndio waweze kujishughulisha na vinywaji.
view
-
18 Mar 2015 in National Assembly:
Suala hili kwanza limeenea zaidi katika maeneo ya Kenya ambako hakuna kazi. Nikiangazia sana eneo Bunge la Mwatate, utakuta kwamba hatuna kiwanda hata kimoja. Mvua hakuna na maji ni tatizo. Tuko tu na wale ndovu wakubwa ambao wanakula chakula kingi na wanatumalizia chakula chetu shambani. Basi hao vijana, kwa sababu hawana shughuli nyingi, mambo ya pombe na madawa ndio hujishughulisha nayo. Ingekuwa ni vyema tutafute njia mwafaka ya kuwezesha haya mashirika angalau wadhibiti utupaji wa vitu hivi. Hata kile kiwango tumefikia kwa sasa hivi nchini, ingewezekana tungetengeneza mahala pia pa kuwezesha hawa vijana kutibiwa maanake wengine wako katika hali mbaya ...
view
-
18 Mar 2015 in National Assembly:
Nampa pongezi mhe. Njenga kwa kuleta hii Hoja maanake hili ni swala tata sana; vilevile ni swala ambalo linatutatiza sana sisi viongozi. Mambo ya pombe na madawa yako kila mahali Kenya nzima. Utawakuta watu hata mchana katika hali ya kujiburudisha ingawaje ni kujiharibu. Ingekuwa ni vyema kabisa hili swala lishughulikiwe kikamilifu na liwe ni kitu ambacho tumemalizana nacho. Vijana wetu ndio viongozi wetu wa miaka ijayo. Tukishughulikia hili swala itakuwa ni vizuri .
view