All parliamentary appearances
Entries 351 to 360 of 443.
-
18 Mar 2015 in National Assembly:
Sina mengi zaidi bali ni naunga mkono hii Hoja. Ahsante sana.
view
-
25 Feb 2015 in National Assembly:
Shukran, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, kwa nafasi hii. Mwanzo kabisa, Hoja hii ni muhimu sana maanake pembe zote za Kenya kwa muda mrefu watu huzungumza kuhusu hawa wazee wetu ambao walipigania Uhuru lakini hakuna mtu ambaye alijitokeza na kuleta hii Hoja Bungeni. Mheshimiwa Wangamati, nakupa kongole kwa Mungu kukumulika ili ulete hii Hoja hapa Bungeni. Wakenya ni kitu kimoja. Hata lile neno la umoja liko katika wimbo wetu wa kitaifa na limerejelewa. Hili neno lilitoka kwa sababu ya ule umoja Wakenya walikuwa nao wakipigania Uhuru. Ni vyema kuwafidia Mau Mau lakini pia ingekuwa vyema zaidi kama wale ambao walipigania ...
view
-
25 Feb 2015 in National Assembly:
hizi. Alikuwa anafichwa kwa hayo mapango. Ni vyema Serikali kutambua mapango hayo na wale ambao walihusika kuwaficha hawa wapiganiaji Uhuru. Kwa upande wa mashamba, ni kweli baada ya kupata Uhuru kuna wananchi ambao bado wanatatizika katika mashamba ambayo yalimilikiwa na hao mabeberu. Mwatate ni mojawapo ya mahali ambapo wanasumbua wananchi sana kwa mashamba. Ni vyema, baada ya kupitisha hii Hoja, tujaribu kuangalia kila mahali na tutengeneze ile kamati ambayo itafuatilizia hii Hoja na itekeleze kila kitu ambacho tunaongea hapa. Ni vyema kutambua yeyote ambaye amefanya kitendo cha ushujaa. Kama vile mwenzangu aliyenitangulia alisema, hawa wazee wa “Nyumba Kumi” na vijiji ...
view
-
10 Dec 2014 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika wa Muda, nashukuru kwa fursa hii. Naamka kuunga mkono Mswada huu. Kwa kweli, kudhibiti mwendo wa kasi kwa magari ni jambo mwafaka kabisa maanake ajali nchini mwetu zimekuwa nyingi mno. Ukiangalia ulimwengu mzima, kwa sasa hivi tuko nambari 22 kwa nchi zenye ajali nyingi ilihali tukiangalia idadi yetu yote ni watu kama 40 milioni na China ina watu zaidi ya 1.5 bilioni lakini ajali zao ni kidogo sana. Nampongeza hon. Lekuton kwa kuleta huu Mswada na ingekuwa vyema pia katika shule zetu na taasisi za Serikali waweke matatu kwa barabara ambazo zinaweza kudhibiti mwendo wa kasi. Vile ...
view
-
16 Jul 2014 in National Assembly:
Thank you, hon. Temporary Deputy Speaker for this opportunity. I stand to support, but with amendments. This Bill is long overdue. This is because it has taken decades before this Bill was last amended. Social licences are in line with the principles of devolution. They encourage the entire Mwatate Constituency and Taita Taveta County at large. I have a feeling that communities which own this land will benefit over time. Over time I have experienced investors trickling into Taita Taveta County which is rich in minerals. They get rich and leave the place without even building a single toilet. The ...

Hon. Speaker, it is better for the Member to know that in this House I am the most experienced person in minerals because Taita Taveta County---

Hon. Temporary Deputy Speaker, Clause 14 is about monetary compliance and enforcement. In my county, minerals are found all over. There is a clause that stipulates that a person found in possession of minerals should be penalized. However, it is important for the Committee to consider the counties where minerals are all over. In some of these counties, minerals form part and parcel of the lives of people. This penalty should only be considered when a person goes to another county. In counties where minerals are found, there should not be a penalty. If you find Mwadime with a mineral ...