Danson Mwashako Mwakuwona

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 41 to 50 of 197.

  • 6 Oct 2020 in National Assembly: With those remarks, Hon. Speaker, I submit my Statement. Thank you for giving me this opportunity. view
  • 24 Sep 2020 in National Assembly: ko (Wundanyi, WDM-K): Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii. Sitasema mambo mengi leo kwa sababu mengi yamesemwa. Nina mambo kama matatu hivi ambayo ningetaka kusema. Kwanza, naunga mkono mjadala huu kwamba sheria ya tatu ambayo imepitishwa na Seneti tuiunge mkono kama Bunge la Taifa. Haya yaliyojadiliwa ndani ya Seneti kwa muda mrefu yalitatiza sana shughuli katika kaunti nyingi hapa Kenya. Nilitamani sana nguvu ile wenzetu wa Seneti... view
  • 24 Sep 2020 in National Assembly: k view
  • 24 Sep 2020 in National Assembly: Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Vile nilivyotangulia kusema, ningetamani sana nione ile nguvu wenzetu wa Seneti waliitumia kwa kujadili Kshs316 bilioni na vile zitagawanywa katika kaunti zetu. Wangetumia nguvu hizo kupigana na ufisadi ambao unaendelea katika magatuzi yetu. Walitumia nguvu nyingi sana lakini wenzangu wengi wameongea kwamba wakati mwingi, kuna ufujaji wa pesa sana katika magatuzi yetu. Wenzetu wa Seneti hawajatumia nguvu ile kuangalia na kutilia maanani kwamba pesa zinazoenda kwa magatuzi zimetumika vyema. view
  • 24 Sep 2020 in National Assembly: Kwa haraka tu, ningependa kusema hivi. CRA ambayo imeleta formula hii ambayo ilipelekwa kwa Seneti na leo hii Seneti wakajadili ikaja kwetu imeongea juu ya mambo ya kilimo. Hizi takwimu za mambo ya kilimo zinasukuma nje sana serikali gatuzi ambazo hazijabobea kwa mambo ya kilimo. Kama vile wenzangu wamesema, kuna serikali gatuzi ambazo zinategemea uvuvi wa samaki. Kuna serikali gatuzi pia kama Taita Taveta kule nitokako, ambako hatuwezi kilimo kwa sababu ya shida tulizonazo dhidi ya wananchi na wanyama wa pori. Wakati wanaweka takwimu ya juu kwa mambo ya kilimo, sisi ambao hatuwezi kufanya kilimo kwa sababu ya shida hizi ... view
  • 24 Sep 2020 in National Assembly: tunatoka kwa kimombo ASAL tunashindwa kufanya kilimo ama maendeleo mengine. Kwa hivyo, Seneti na CRA ingetilia mkazo mambo ya maji kuliko kilimo. La mwisho ni mambo ya afya. Wengine wetu tunajua kwamba kuna zahanati za afya ambazo zimebobea sana katika serikali gatuzi nyingi. Kuna serikali gatuzi ambazo ningetaka kusema, kama mahali Mhe. Shaban anatoka, wananchi wengi hawaendi hospitalini kwa sababu hazina vifaa, madawa na miundo msingi mhimu ya kusaidia watu wetu. Inabidi wavuke waende nchi jirani. Wakisema idadi ya watu wanaotembelea zahanati, watu wengi ambao wanatoka nchini kwenda nchi jirani hawachukuliwi maanani. Tunapoteza idadi ya watu ambao wanatembelea zahanati kule ... view
  • 2 Jul 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. First, I want to seek your indulgence on my statements. I gave in my statements last week and you approved them on Tuesday. I had two statements and I expected one to come on Tuesday and the other one today. Unfortunately, only one has made it today. So, I want to indulge you to allow me to read both of them. The one that is not in the Order Paper today is time bound; it is on private universities that are forcing first year students to pay fees this month. view
  • 2 Jul 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 2 Jul 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. Pursuant to Standing Order 44(2)(c), I wish to request for a statement from the Chairperson of the Departmental Committee on Environment and Natural Resources regarding the Mzima II Water Project. Taita Taveta County is gifted with the Mzima Springs within Tsavo National Park. The Mzima Springs currently supply about 15,000 cubic metres of water a day to Mombasa. As it is now, Mzima I does not benefit the people of Taita Taveta County. The larger part of the county experiences acute water shortage since the pipeline was predesigned to serve Mombasa County, leaving the host community ... view
  • 2 Jul 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. I want to thank the Chairperson because when I sought the Statement, he was not in the Chamber. The Statement has taken a whole month, which is not right. We sought this Statement on 4th June 2020 and they seconded it. You have done a whole month. So, I expected a comprehensive Statement. Two weeks ago, Hon. Speaker, we had the opportunity to meet the Chief Administrative Secretary before the Committee and I raised issues that I expected are in their Report, following my seeking of the Statement. A number of things we raised in the ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus