20 Feb 2019 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika, hata kama hatuelewi Kiswahili sana, hatusemi “manesi” au “mananasi”. Wanaitwa wauguzi. Kwa hivyo, ataje inavyofaa.
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Thank you, very much, Hon. Speaker for giving me this opportunity to contribute. For the first time I am differing with my party leader because he was out of order. The Standing Orders are very clear that he should have a suit. It does not describe the colour of the suit.
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Hon. Speaker, it also demands that you must also have a tie but does not describe the colour of the tie. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
The one you referred to and the Speaker’s Rules. Not once or twice have you ruled.
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Hon. Speaker, some of these dress codes have very important messages. The green suit just encourages everybody to plant trees so that our country can become green. I also have stripes of the colours of the flag which is to encourage Kenyans to be patriotic. Long time ago, we used to hear songs of patriotism like “ Tushangilie Kenya Taifa letu tukufu ”…
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia fursa hii ili niweze kuchangia Hoja ambayo ni ya maana sana. Sisi ambao tunatetea haki za binadamu, tunaona hii ni muhimu sana.
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Mwanzo, ninamshukuru Mheshimiwa Ali kwa kutumia fursa hii kuiletea Hoja ambayo ni ya maana sana. Tunawashukuru sana watu wa Eneo Bunge la Nyali ambao walimchagua. Walituletea mtetezi ambaye anajali maslahi sio tu ya watu wa Nyali, lakini ya Wakenya wote.
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Pia, ninamshukuru Mheshmiwa Oluoch kwa sababu ya Mswada ambao tunatarajia utafika hapa. Iwapo utafika, tutashukuru sana. Afya ni kitu muhimu sana kwa wananchi wetu ambao walituchagua. Kwa kweli, ni kama Serikali na sisi katika Bunge hili hatujafikiria sana mambo ya afya katika nchi yetu.
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Hivi sasa, wauguzi wanagoma lakini Bunge limenyamaza.
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Wauguzi wetu wako katika mgomo. Serikali yetu, pamoja na sisi Wabunge, kila wakati tuko katika televisheni, redio na hakuna ambaye anajitokeza kujaribu kutetea wauguzi ilhali Wakenya wetu wanaumia.
view