1 Jul 2015 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Speaker, I do not intend to interrupt my good colleague. There is a lot of loud consultation, I can hardly hear him.
view
18 Jun 2015 in National Assembly:
Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii ili nami niunge mkono malalamishi ambayo yamewasilishwa na Mhe. Chris Wamalwa Wakhungu. Sisi sote tunajua kwamba Serikali na watu wetu wanategemea machifu na manaibu wao kwa kazi nyingi, kama vile kupata vitambulisho na mambo mengine. Hao ndio wanawatambua wakazi wa sehemu zao kwa sababu wanakaa nao. Maandamano ambayo yalikuwa kule Mabonde yalisababisha hasara kubwa. Mali nyingi iliharibiwa. Kwa hivyo, ni muhimu machifu wakiajiliwa ama kupandishwa vyeo, wawe wanatoka sehemu ambazo wamezaliwa. Kwa hayo machache, naunga mkono.
view
29 Apr 2015 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Naibu Spika kwa kunipatia fursa hii. Ningependa kuitumia nafasi hii kumpa mheshimiwa mwenzangu heko kwa kuuleta Mswada huu. Sisi sote tunajua umuhimu wa masomo na kufanya mtihani. Ni heri sisi kama Bunge tuuhalalishe Mswada huu ili wazazi na wanafunzi wetu wajue kwamba mitihani ni ya bure. Ingekuwa muhimu pia kama wanafunzi wote wangehusishwa. Sisi sote tunaujua umuhimu wa shule za binafsi. Shule za binafsi zimechangia pakubwa sana kwa masomo hapa nchini. Tunajua kwamba shule za Serikali haziko kila mahali katika Kenya. Kuna sehemu ambazo utakuta kuna shule nne tu za sekondari za Serikali.
view
29 Apr 2015 in National Assembly:
Thank you, hon. Deputy Speaker. I am surprised that we, hon. Members, are making excuses by pointing fingers at the administration and staff members. All of us have personal assistants in our offices. Our personal assistants can get in touch with the relevant parliamentary offices, concerning our duties in the National Assembly. I am surprised because most of the Members of Parliament whose Motions are listed here were here. Hon. Dawood was here and so was Hon. Walukhe. In fact, he was here by the time we were concluding debate on Hon. Wangwe’s Bill. We should not take excuse and ...
view
21 Apr 2015 in National Assembly:
On a point of order, hon. Temporary Deputy Speaker. You realize that the report before us is very important. I am standing pursuant to Standing Order No.35 to say that there is no quorum.
view
25 Feb 2015 in National Assembly:
On a point of order, hon. Temporary Deputy Speaker. The Member is moving a very important Motion and there are a lot of consultations from the Members, including hon. Chea and the chairman here. Can you protect him?
view
25 Feb 2015 in National Assembly:
On a point of order, hon. Temporary Deputy Speaker, I do not intend to interrupt my good friend, who is contributing. However, looking at the House, we all seem to be interested in contributing to this Motion. Will I be in order to propose that each Member takes only three minutes to speak?
view
25 Feb 2015 in National Assembly:
Asante sana Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda kwa kunikabidhi---
view
25 Feb 2015 in National Assembly:
Asante sana kwa kunikabidhi fursa hii ili nami nichangie Hoja hii na kumpongeza Mheshimiwa Wangamati kwa kuileta. Mheshimiwa Wangamati ni mzee ambaye amekula chumvi nyingi sana na tunajua kwamba kuishi kwingi ni kuona mengi. Nina hakika Mheshimiwa Wangamati kwa kuishi kwingi aliwahi kukutana na baadhi ya hawa mashujaa na ni muhimu tumuunge mkono kwa Hoja hii . Ingawa tumesema kwamba kuna baadhi ya mashuja ambao watalipwa fidia, ni vyema tuhakikishe kwamba wanalipwa hizi fedha. Vile vile, tujue ni kiwango gani kitalipwa maanake huenda ikawa watalipwa pesa kidogo. Tunajua ya kwamba, kwa upande wa pesa Wakenya hawaeleweki. Huenda wanataka kuwatumia hawa ...
view
25 Feb 2015 in National Assembly:
waweze kutambua ni akina nani walishughulikia kuwepo kwa Uhuru wa Kenya. Kwa mfano, kuna Wambui Otieno aliyeshughulikia sana kuwepo kwa Uhuru wa Kenya lakini hajulikani mahali popote. Mengi tuliyasikia tu wakati alipokuwa na kesi ya bwana yake na wakati alipoolewa na Mbugua. Tulisikia jinsi alivyokuwa akipigania Uhuru. Asante sana Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Ninaunga Mkono.
view