12 Feb 2015 in National Assembly:
Ahsante sana, Bwana Naibu Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii ili nami nichangie hili swala la karo ya shule za upili.
view
12 Feb 2015 in National Assembly:
Bwana Naibu Spika wa Muda, mimi nashangaa sana. Juzi, Waziri wa Elimu alinukuliwa na vyombo vya habari akisema kwamba iwapo kuna mtu ana habari kwamba shule fulani inaitisha karo zaidi ya kiwango ambacho kiliwekwa, amjulishe. Hilo si jambo la kujulishwa. Ni wazi linafanyika. Ni wajibu wake kuhakikisha kwamba shule zinaitisha pesa zinazofaa. Kuhusu pesa za mtihani, tunajua ya kwamba Serikali ilitangaza wazi msimamo wake. Ingawa hivyo, kuna walimu fulani wanaitisha pesa za mtihani. Ni wajibu wa Waziri wa Elimu kuwafikia walimu kama hao na kuwaeleza kwamba kufanya hivyo siyo haki. Wengi wameongea kuhusu Ripoti ya mheshimiwa Kilemi Mwiria ambaye alikuwa ...
view
12 Feb 2015 in National Assembly:
Mwenzangu Mhe. Chris Wamalwa aligusia kutokuwa kwenye Bajeti pesa za
view
12 Feb 2015 in National Assembly:
ya elimu ya sekondari. Sisi wote tunajua jambo hilo. Tulikuwa tumezoea kwamba hizo pesa zilikuwa zinawekwa kwenye Bajeti. Zinasaidia sana. Tunataka Waziri ama Bunge hili kupitia kwa kamati ambayo inahusika na maswala ya elimu watuambie kuhusu fedha hizo na kwa nini haziko kwenye Bajeti ya makadirio ya mwaka ambao unakwisha mwezi wa sita.
view
12 Feb 2015 in National Assembly:
Ahsante sana.
view
4 Dec 2014 in National Assembly:
Thank you, hon. Temporary Deputy Speaker. About four months ago, I did request for a statement from the Chairperson of Lands Committee in regard to issuance of title deeds in the country, particularly in Trans Nzoia County. The Statement appeared on the Order Paper about twice but the Chairman was not in the House to respond to it. I would like to know the position of this Statement from the Chairperson of Lands Committee.
view
4 Dec 2014 in National Assembly:
It was converted into a question. That was about four months ago. I would like to know the position of the same from the Chairperson of Lands Committee.
view
26 Nov 2014 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Speaker, I have the microphone.
view
26 Nov 2014 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Speaker, are you satisfied with the way hon. Angwenyi has behaved by threatening hon. Sumra? We do not know what he might do tomorrow.
view
19 Nov 2014 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Spika, kwa kunipa fursa hii ili kwa niaba ya jamii yangu na watu wa Saboti, niweze kutuma risala za rambirambi kwa familia ya hayati Senator Kajwang’. Mimi binafsi niliwahi kufanya kazi kwa karibu sana na marehemu na tulishirikiana kwa uzuri sana. Asante sana.
view