All parliamentary appearances
Entries 91 to 100 of 973.
-
27 Oct 2024 in Senate:
If the policy and I want to repeat---
view
-
27 Oct 2024 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, these are signs of students who are present by sight and absent by ears.
view
-
27 Oct 2024 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, as a teacher, he needs to call both parents, so that we can guide these students. Thank you.
view
-
27 Oct 2024 in Senate:
Asante Bw. Naibu Spika kwa nafasi hii kuchangia kuhusu makubaliano kati ya Seneti na Bunge la Taifa kuhusu mgao wa fedha utakaoafiki maendeleo katika nchi ya Kenya. Siku zilizopita, Maseneta wamekuwa wakijihusisha na mchakato wa kutia kwenye mizani utekelezaji wa kazi au maendeleo katika kaunti mbalimbali katika kamati mbalimbali. Baadhi ya magavana waliokuja, baadhi yao walikuwa wangwana na kukubali makosa lakini wengine walikana makosa ila sisi tuliwakosoa. Fauka ya hayo, kuna wale ambao walikuwa na kiburi na vichwa butu. Walikuwa wanadhani na kusema ya kwamba hakuna chochote Seneti inawasaidia. Nashukuru Maseneta waliosimama kidete na kusema ya kwamba fedha zinazoenda katika ...
view
-
27 Oct 2024 in Senate:
Natarajia kule mashinani Bungoma, maeneo ya mazoezi ya wanariadha kule Mlima Elgon yatakamilika. Imechukua zaidi ya miaka 10 eneo hilo kujengwa na fedha ambazo Bungoma imepata kufikia sasa ambazo ni zaidi ya bilioni thelathini na sita. Seneti inapaswa kujiuliza iwapo miradi ambayo magavana wanajishughulisha nayo itakamilishwa katika awamu yao ya uongozi ama watapata kiinua mgongo na kuwaachia magavana watakaokuja shida na madeni jinsi tunavyoona. Bw. Naibu Spika, ukiangalia sekta ya afya, kule Bungoma, hakuna dawa kwenye hospitali. Vile vile, kuna mijengo na miundombinu ambayo haijakamilika. Nyingi ya mijengo hiyo ilianzishwa na magavana waliokuweko. Kile tunadai ni kuona magavana wakikamilisha miradi ...
view
-
22 Oct 2024 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I beg to lay the following Paper on the Table of the Senate today, 22nd October, 2024- Report of the Mediation Committee on The Sugar Bill (National Assembly Bills No.34 of 2022). Thank you.
view
-
22 Oct 2024 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.
view
-
22 Oct 2024 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I beg to give notice of the following Motion- THAT, the Senate adopts the Report of the Mediation Committee on the Sugar Bill (National Assembly Bills No.34 of 2022), laid on the Table of the Senate on Tuesday, 22nd October, 2024; and further that pursuant to Article 113(2) of the Constitution and Standing Order No.167(3) of the Senate, approves the mediated version of the Bill. Thank you.
view
-
22 Oct 2024 in Senate:
Bi. Spika wa Muda, naunga mkono Ripoti ya Seneti kuhusu makadirio ya fedha ambayo tumeisoma hivi sasa katika Seneti. Muda mchache uliopita, niliuliza maswali hususan kandarasi za madaktari mashinani, malipo ya madaktari mashinani na mazingira ambayo madaktari wanafanya kazi katika Kaunti ya Bungoma. Nilipouliza maswali haya, misururu ya maswali yalichipuka kutoka kaunti mbalimbali humu Kenya, ikiwemo kwamba madaktari mashinani Kenya nzima, kwa zaidi ya miezi kumi hawajapata marupurupu yao. Leo nimeona kiini cha shida za madaktari mashinani. Kuna viongozi katika jumba fulani hapa Kenya ambao wanadhani wana uwezo wa kuhujumu, kuwatesa na kuwagandamiza madaktari mashinani kwamba hawalipi ushuru na hakuna ...
view
-
22 Oct 2024 in Senate:
tulivyotoa juzi kwamba Gavana wa Isiolo akamatwe na kuletwa mzimamzima ili kujibu maswala ya uwajibikaji. Bi. Spika wa Muda, miundo mbinu kama barabara katika nchi ya Kenya zinahitaji fedha. Hatuwezi kusema magavana na viongozi wa kata, Members of County Assemblies(MCAs) wachukue jembe na vifaa mbalimbali waende kutengeneza barabara. Lazima Serikali ihakikishe mabilioni ya pesa wanayopunguza kutoka mapendekezo tuliyopeana ya zaidi ya Shilingi 400 bilioni zitolewe ili tujenge barabara na vivukio ili Wakenya waweze kufurahia matokeo ya jasho lao. Nikimalizia, Wakenya waliandamana na kuleta bugdha katika baraste na nchi nzima wakitaka uwajibikaji, utendakazi na uwazi. Kama Seneti kazi yetu ni kulinda ...
view