Davis Wafula Nakitare

Born

7th May 1943

Post

P. O. Box 126 Endebess

Email

nakitare@africaonline.co.ke

Telephone

0722489317

Telephone

0735669729

All parliamentary appearances

Entries 71 to 80 of 895.

  • 3 Jul 2024 in Senate: Tumekuwa na Kamati ya Ugatuzi kule Bungoma tukiangalia soko. Tumekuwa na Mhe. Osotsi kule Vihiga na Wajir. Tumejionea kwa macho pesa zetu. Wakenya wanapigana kwa sababu hali ya maisha imepanda, wanashtumu Bunge la Kitaifa lakini hapa mashinani katika kaunti, wanakamuliwa pole pole pasipo wao kujua. Sasa sisi tuna mjadala wa public participation . Mahusiano ya Wakenya na viongozi. Tupeleke mchakato huu pale mashinani, wajue bajeti za kauti zinatengenezwa vipi na takwimu za kaunti ziko vipi. Na wao watanufaika vipi kutokana na jasho lao ambalo kwao tunapeleka pesa mashinani? Sasa mimi naungana na Wakenya wote. Juzi, tumeona Waziri wa Elimu na ... view
  • 3 Jul 2024 in Senate: Sehemu zingine, watoto wetu wamepiga foleni kutafuta kazi za ualimu. Kwingine, watoto wanapiga magoti. Wanaponyoosha mikono juu, inawapiga pa kifuani. Tutamkimbilia nani na hawa watoto watamkimbilia nani? Watawalilia nani iwapo baadhi ya wale wanaopeana barua hizi tunawajua? Ni majirani zetu. Ni ndugu zetu. Lakini hatujaona viongozi wakisimama kidete kuwakataza Mawaziri wawache kutumia mbinu za mkato kuwapa watoto wetu kazi ilhali wetu wa mashinani wanajionea kwa macho. Lazima tuseme ukweli. Haijalishi wewe unatoka kabila gani. Cha muhimu tenda wema, nenda zako. Mimi ni miongoni mwa wale vijana chipukizi katika Seneti. Yale ninayoona hapa, wengine wanapiga kelele na kutoa machozi ya mamba. ... view
  • 3 Jul 2024 in Senate: tuonane jicho kwa jicho, tuitane ndugu na dada kwa upendo wa Mungu, tutende haki na vizazi vijavyo vitushukuru kwa wema ambao tunafanya sasa. Kwa hayo mengi, kwa sababu nchi nzima inanitazama, mimi niko tayari kupambana kuhakikisha nchi ni moja, Wakenya ni wamoja, kila mtu apate haki yake na tusonge mbele. Kwa hayo mengi, Mungu awabariki. Mungu aibariki Serikali ya nchi ya Kenya. view
  • 29 May 2024 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, I had pending Statements to put forward. If the questions have been shelved, then it would be prudent for me to tackle my Statements. view
  • 29 May 2024 in Senate: No. It is time for Questions and Statements, and if the questions are not there, we should proceed with Statements. view
  • 29 May 2024 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I rise pursuant to Standing Order No.53 (1) to seek a Statement from the Standing Committee on Labour and Social Welfare regarding claims of unfairness in the recruitment and payment of casual workers by the Bungoma County Government. In the Statement, the Committee should- The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 29 May 2024 in Senate: (1) Explain the status of casual workers employed by the County Government of Bungoma from 2013 to date and furnish the Senate with a comprehensive report on the departments they have been serving in, stating their wages and whether the payments made to them, as casual employees, are up to date. (2) Outline the guidelines, specific conditions and requirements applied during the recent recruitment and absorption of some of the casual workers in permanent and pensionable terms, stating the criteria used to retain or dismiss some of the casuals who have served for long. (3) State whether the proper procedure ... view
  • 29 May 2024 in Senate: Thank you, Madam Temporary Speaker. I bring to the attention of Sen. Orwoba that on page 309, 2(c) in nominating the persons paragraph 2(a)(b) and (e), the respective nominating bodies shall ensure that no more than two-thirds of the nominees are of the same gender. This is on the breakdown of persons to be nominated. The Senator is in the spirit, and she is fighting a good cause. view
  • 29 May 2024 in Senate: Asante, Bw. Spika. Ningependa nichukue muda mfupi sana kama dakika mbili na moja itakayosalia nimzawadi Sen. Mandago ili aweze kutaja jambo moja au mawili. Kwa kifupi, shilingi 400 bilioni sio pesa kidogo. Mara nyingi tunapouliza maswali magavana, wengine hupandwa na hasira na jazba na kupinga maseneta kufuatilia jinsi fedha hizi zinavyofanya kazi. Ni lazima wajue sasa hivi wanatusikiliza pamoja na watu katika kaunti ambazo tunatoka, Biblia inasema kwamba iwapo umepewa vingi, ni lazima uwajibikaji uwe wa hali juu. Tunajitolea mhanga tokea sasa kuhakikisha ya kwamba wanawajibika kwa fedha tunazowapa. Ni lazima mabilioni haya yawape vijana wetu kazi. Pia walemavu na ... view
  • 23 May 2024 in Senate: Asante, Bw. Naibu Spika, kwa nafasi hii. Ningependa kuendelea na mchakato wa majidiliano kuhusiana na fedha za dharura na changamoto za dharura zinazokumba nchi hii. Ni jambo la muhimu Seneti, kando na kuzungumza kila uchao kuhusiana na utepetevu wa serikali za kaunti kupambana na majanga haya, lazima tumulike matumizi ya fedha zilizowekwa katika bajeti za kaunti tunazotoka. Maeneo mbalimbali hupata majanga ya moto. Kufumba na kufumbua, kabla ya wawekezaji kuzima moto huu, moto huwa umechoma kila kitu. Unapata magari ya wazimamoto yanakuja baadaye, masaa 12 baada ya janga kuharibu mali ya umma. Bw. Naibu Spika, ukifuata vitabu vya hesabu unapata ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus