Davis Wafula Nakitare

Born

7th May 1943

Post

P. O. Box 126 Endebess

Email

nakitare@africaonline.co.ke

Telephone

0722489317

Telephone

0735669729

All parliamentary appearances

Entries 61 to 70 of 973.

  • 11 Feb 2025 in Senate: On a Point of Order, Mr. Deputy Speaker, Sir view
  • 11 Feb 2025 in Senate: Bw. Naibu Spika, kwa heshima kuu, ningependa ufafanuzi na maelezo ni lini kiongozi mwenzangu alijiapisha na kujipa mamlaka ya kujitangaza peupe ndani ya Seneti kwamba yeye ni kiongozi na kiti chake kiko wazi upande ule mwingine? Wakenya wasiwe na tabia ya kunyakua uongozi kupitia mlango wa nyuma. Hii ni Seneti na korti iko kule nje. view
  • 11 Feb 2025 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 11 Feb 2025 in Senate: Hata nimevaa koti hapa, na kuna koti lingine kule nje--- view
  • 11 Feb 2025 in Senate: Ni hoja ya nidhamu. Ni sharia; nataka maelezo. Ni maelezo viongozi. Sasa Bw. Naibu Spika naomba ueleze. view
  • 3 Dec 2024 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa nafasi hii ambayo umenipa kuchangia. Mambo ya fedha za uzeeni ambazo wafanyikazi wanatozwa ni jambo nililotaja wiki iliyopita. Hili ni jambo la kusononesha sana. Bunge hili la Seneti limegeuzwa kuwa kinanda mbele ya Wakenya. Haiwezi kuwa leo ni santuri ya fedha za kustaafu, wiki ijayo kama, Bw. Naibu Spika, unaweka santuri ile ile. Sio vyema wala haki kwa Wakenya kutuona sisi kama walalamishi wasio na suluhisho. Naomba tutamatishe shughuli hii kwa kuuliza Serikali ya Kitaifa, watumishi wa umma pesa zao zipo ama hazipo? Viongozi katika kaunti - magavana watuambie, pesa za wafanyikazi zipo ama ... view
  • 3 Dec 2024 in Senate: Jambo la pili, katika usajili huo, nimeona katika kaunti zetu, fedha za afya, view
  • 3 Dec 2024 in Senate: ya baadhi ya wafanyikazi hazilipwi. Wanasononeka na kutaabika. Kwangu Bungoma wafanyikazi wanalia. Wakienda hospitalini wanaambiwa Britam haijalipa. Britam haitekelezi wajibu wake. Nami naomba Serikali iamuru kwamba pesa zitolewa ziende katika kaunti. view
  • 3 Dec 2024 in Senate: Bw. Naibu Spika, ni kitendawili ama ni kinaya, hadi sasa kaunti yangu ya Bungoma pesa hazijafika. Wananiambia yule ambaye anastahili kuweka sahihi ili malipo yafanyike hayupo. Nami naomba anapopatikana, fedha ziende kwa wale ambao wanapaswa kulipwa. Kama ni wanakandarasi walipwe. Watu wasilipwe ilhali mradi unaenda kubadilishwa baada ya mwezi moja. Ni jambo la kustaajabisha kuwa serikali za kaunti zimeanza kucheza shere na Serikali ya Kitaifa hapa Nairobi. Unapata mwezi huu serikali ya kaunti inatoa shilingi 10 milioni kurekebisha muundo msingi fulani na baada ya miezi miwili, serikali ya Kitaifa inaweka pale shilingi 200 milioni. Sasa shilingi 10 milioni ni ya ... view
  • 20 Nov 2024 in Senate: Asante, Bw. Spika. Ningependa kuchangia kuhusu macadamia na mimea ambayo hutoa mafuta. Mimi nataraji kwamba Serikali kabla haijaamua ama kukata kauli kuhusiana mmea wowote nchini, lazima washika dau wote wahusishwe katika mchakato mzima. Haiwezekani kwamba Waziri ama viongozi katika Wizara, wataamka asubuhi na mapema kupitisha sheria ambayo inamgandamiza mkulima wa makandamia nchini. Haiwezi kuwa wanakata kauli kuboresha pesa ambazo mabwenyenye wanapata kuliko kuangalia hali ya maisha ya mkulima wa makandamia nchini. Mimi na mwenzangu mwenyekiti wa Kamati ya Uchumi samawati, hivi karibuni tutamkaribisha mheshimiwa Waziri kuweka bayana kile kilichosababisha kuwanyima wapandaji ama wakulima wa makandamia nafasi ya kupata kipato kwa ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus