Davis Wafula Nakitare

Born

7th May 1943

Post

P. O. Box 126 Endebess

Email

nakitare@africaonline.co.ke

Telephone

0722489317

Telephone

0735669729

All parliamentary appearances

Entries 41 to 50 of 973.

  • 26 Feb 2025 in Senate: Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir, for this opportunity for me to inform my hon. Senator that Member that, I am seated next to the Cabinet Secretary. Unfortunately, the chairs and space around cannot afford every staff to be seated here. So, it is important that your message is at home, but the home is not at home. view
  • 19 Feb 2025 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, I stand on the order of responsibility of statement of fact. When an hon. Member stands here and casts his aspersions on the delegation from Kenya, we might not agree with you. Nevertheless, when you say they view
  • 19 Feb 2025 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 19 Feb 2025 in Senate: were intimidating, can you table facts that Kenyans, headed by the President, were intimidating people in Addis Ababa? This is a Senate. This is not a small thing in the village. Hon. Senior Senator, thank you. view
  • 19 Feb 2025 in Senate: Bw. Spika wa Muda, ninakushukuru sana kwa nafasi hii. Naona ndugu zangu upande wa walio wachahe kwa leo wanatabasamu kwa sababu ya kongole view
  • 19 Feb 2025 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 19 Feb 2025 in Senate: na sifa ambazo tunamminia Mheshimiwa Raila Amolo Odinga kama mpeperushaji bendera katika Afrika kuwakilisha nchi ya Kenya. Mgala muue na haki umpe. Mheshimiwa Raila Amolo Odinga amekuwa kielelezo cha ustahimili wa demokrasia katika nchi ya Kenya. Amedhihirisha kujitolea mhanga kutetea haki za mnyonge wa nchi ya Kenya, kutuliza mawimbi ya kisiasa na vile vile kunyoosha mkono wa heri njema kwa wapinzani wake wa kisiasa tukitangulia na Marehemu Rais Daniel Arap Moi, Mwai Kibaki, Uhuru Kenyata na sasa Rais William Ruto. Hizi ni sifa za viongozi ambao kwao Afrika ilikuwa inaona nyota na nyota ilikuwa imeang’aa kule angani. Afrika imepoteza kiongozi ... view
  • 19 Feb 2025 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 19 Feb 2025 in Senate: Samoei Ruto ni kwamba alijitokeza mhanga akamshika mkono Mheshimiwa Raila Amolo Odinga. Viongozi wote wa upinzani na wasiokuwa wa upinzani walitembea na nyinyi katika baraste ya kuombea Mheshimiwa Raila Amolo Odinga afueni na atuee ushindi katika Afrika na nchi ya Kenya. Ninaomba tuendelee kufanya kazi na majadiliano kwa pamoja, na pia tupiganie haki za Mkenya na Afrika. Ipo siku itakakuja tutaulizwa yale tuliyoyatenda kwa mujibu wa Katiba na ujio wa siasa za nchi ya Kenya. Kwa hayo mengi, kwa niaba ya watu wa Jimbo la Bungoma, watu wa Mkoa wa Magharibi na Chama cha Kisiasa na ambacho kimebobea na kina ... view
  • 18 Feb 2025 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa nafasi hii ambayo umenipa kutoa rambirambi na pole zangu kwa familia ya Cheptumo. Ningependa kusema kwamba Mhe. Cheptumo nenda salama. Mhe. Cheptumo, mauti yamekuvika njuga. Nenda salama, shujaa. Unakokwenda hatujui, lakini Mungu anajua. Mhe. Cheptumo, umepigana vita hapa katika Seneti kupambana dhidi ya magaidi, waporaji wa mifugo ya watu wako kule nyumbani. Umetunga sheria na Katiba mpya ambayo tunatumia sasa. Mhe. Cheptumo, umekuwa baba, uti wa mgongo wa familia. Shujaa Cheptumo, nenda salama, tutakutana baadaye. Mhe. Cheptumo, palipokuwa na bughudha na joto la kisiasa hapa Seneti, ulituliza boli. Ulitupa mawaidha, ukatwambia kwamba hasira za ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus