Davis Wafula Nakitare

Born

7th May 1943

Post

P. O. Box 126 Endebess

Email

nakitare@africaonline.co.ke

Telephone

0722489317

Telephone

0735669729

All parliamentary appearances

Entries 191 to 200 of 895.

  • 31 Oct 2023 in Senate: Naomba msamaha na naomba kuondoa. Lakini kabla sijakaa, watu kwetu husema, fisi aliambia jiwe ‘japo umenyamaza, lakini umesikia.’ view
  • 19 Oct 2023 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I rise pursuant to Standing Order No.53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on Education concerning the operational viability of the Webuye Campus of the Masinde Muliro University of Science and Technology. In the Statement, the Committee should- (1) Provide a report on the operational status of the Webuye Campus, Masinde Muliro University of Science and Technology, shedding light on reports that the campus is collapsing; (2) State the number of students at the campus and disclose steps and actions that have been initiated to address reported decline of student population at the ... view
  • 19 Oct 2023 in Senate: Asante Bw. Naibu Spika kwa nafasi hii. Kwanza naanza kwa kuzungumzia Hoja ama jibu ambalo tunatafuta kuhusiana na kufutwa kazi kwa walimu ambao walikuwa wanaomba uhamisho kwenda katika maeneo ambayo yana usalama na ambayo kazi yao itashughulikiwa na Serikali. Ni kinyume cha matarajio kwa sababu Tume ya Kuajiri Walimu huandika waalimu kazi. Lakini, haiandiki maasifa wa polisi ama vikosi vya vigilante kazi ya kudhibiti usalama katika maeneo hayo. Sisi kama Seneti, lazima tusimame na waalimu. Iwapo mazingira ya kazi si mwafaka kuhakikisha wanatimiza majuku waliyopewa, lazima tuhakikishe kwamba wamepata yale wanayotarajia. Naomba Jumba la Seneti liamrishe TSC kuwarejesha kazini waalimu ... view
  • 18 Oct 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika kwa nafasi hii. Kuna mchakato ambao unaendelea wa shamba na watu kufurushwa kutoka mashamba yao asilia. Uchunguzi wangu kupitia vyombo vya habari ni kwamba, awamu ya matumizi ya shamba hilo ilitamatika na shamba hilo lilipaswa kurejeshewa wahusika ambao ni wazao wa eneo hilo. Haya ndiyo maswali ambayo watu wa Kaunti ya Kisii wanauliza. Iwapo makataa ya muda wa matumizi ya shamba hili yametamatika, ni jambo la busara mashamba haya yarejeshewe wenyeji kwa sababu wametumia kwa miaka mingi. Miaka iliyoliwa na nzige lazima irudishwe. view
  • 18 Oct 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 18 Oct 2023 in Senate: Watu kuishi kama kwamba si wakenya, na wanafahamu urithi wao uko wapi lakini wanasimamiwa na askari kwa mitutu ya bunduki kufurushwa katika mashamba yao, sio jambo ambalo tutakubali. Tunaomba Kamati ya Ardhi, Mazingira na Maliasili ichunguze ni mashamba yepi ambayo yaliwachiliwa na watu wa maeneo husika ambayo serikali imechukua. Ili iwapo awamu hizo zimekwisha hatua Madhubuti zichukuliwe ili wahusika ama wenyeji wa maeneo haya wapewe mashamba yao. Haya maswala yako kwenye Bunge la Seneti kwa sababu, tumeyaona pia kwenye maeneo ya misitu ya Kakamega na Kaunti ya Migori. Wakaaji wa Kaunti ya Kisii wamewasilisha Ardhihali hii. Tunaomba kwamba haya maswala ... view
  • 17 Oct 2023 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I rise pursuant to Standing Order No. 53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on Labour and Social Welfare regarding the status of the recent recruitment of senior management officers at the Kenya National Highway Authority (KeNHA). In the Statement, the Committee should - The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 17 Oct 2023 in Senate: (1) Present a comprehensive audit report outlining the procedures employed in the recruitment of 11 Senior Management officers at KeNHA during the interview process that concluded on September 25, 2023, resulting in the hiring of two directors of grade 2 and nine deputy directors of grade 3; (2) Explain why no applicant has been recruited to fill the position of Deputy Director of Research and Innovation at KeNHA, despite the position having been advertised alongside others whose recruitment has been concluded, giving the status of qualified candidates who had applied for the position and went through an interview; (3) Furnish ... view
  • 17 Oct 2023 in Senate: Thank you. I rise pursuant to Standing Order No. 53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on Health regarding the status of healthcare services to the beneficiaries of National Health Insurance Fund (NHIF). In the Statement, the Committee should - (1) Provide substantiated details that led to the suspension of various health facilities from NHIF funding following an investigative media report that implicated the said health facilities in embezzlement of NHIF funds; (2) Present a report from NHIF's investigations department conducted during the 90-day suspension period of hospitals suspected of fraud which was effective on 21st June, 2023, ... view
  • 11 Oct 2023 in Senate: Asante Bw. Spika kwa nafasi hii ili nichangie kuhakikisha kuwa mfumo wa kidijitali wa afya unaafikia malengo ya wakenya. Kwa muda mchache ambao nimepitia Mswada huu, nimeona kuwa Mswada huu utahakikisha kuwa mfumo huu una uwezo wa kuhusisha zahanati au hospitali nchini ili zitambulike. Vile vile, wauguzi katika sekta mbali mbali watawajibika kwa sababu taarifa yao itakuwa katika mfumo huu. Itahakikisha kuwa madawa yanaoyotoka katika viwanda husika na kupekela katika hospitali pamoja na wanazozitumia watanaswa katika mfumo huu. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus