Davis Wafula Nakitare

Born

7th May 1943

Post

P. O. Box 126 Endebess

Email

nakitare@africaonline.co.ke

Telephone

0722489317

Telephone

0735669729

All parliamentary appearances

Entries 201 to 210 of 895.

  • 11 Oct 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 11 Oct 2023 in Senate: Madawa mbali mbali yataafikiwa ama kupatikana kutokana na mfumo huu. Utahakikisha kuwa ujumbe wa kibinafsi na arafa za kidaktari pamoja na mapendekezo ya madawa yatawekwa vizuri dhidi ya wale wanaonyemelea magonjwa au maarifa ya watu binafsi kwa minajili ya kupata wanachotaka. Mengine ambayo yanaafikiwa katika mfumo huu ni kuwa yote yatafanywa kidijitali na kupitia mfumo wa kiteknologia ili kuhakikisha kuwa nyenzo au taasisi za kifedha zinazo shiriki kuhakikisha mfumo huu zitaafikia malengo ya serikali. Wakati pesa zitakapo lipwa kwa watu hususan, watanaswa katika mfumo huu ili pasiwe na mambo kama ilivyokuwa ada; watu kutozwa malipo ya juu kinyume cha sheria ... view
  • 4 Oct 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika. Hili swala tunalojadili ni tatanishi kwa sababu ni mojawapo ya mbinu za kikoloni. Mbinu gandamizi na za kukanyagia wapiga kura husika nafasi ya kuwakilishwa katika Mabunge ya kaunti na ya kitaifa. Kamati ambayo utaipa majukumu haya ya kuchunguza na kuleta ripoti, itakusononesha sana. Hii ni kwa sababu kuna vyama vya kisiasa ambamo wanasiasa walikuwa wanapiga debe, wakiuza sera za mageuzi na uhusishaji wananchi, lakini wakati wa uteuzi, watu hawa walishangaa. Waswahili husema asiyeamini ya Musa, huyaona ya Firauni. Walioteuliwa kwa makaunti mbalimbali Kenya hii ni watalii wa kisiasa. Ni wafyonzaji wa nafasi za kisiasa. Ni watu ambao ... view
  • 4 Oct 2023 in Senate: Thank you, Madam Temporary Speaker, for this auspicious opportunity to speak about what my colleague Senators have ably articulated. I am perturbed by the way this discussion is taking course. Our dear Cabinet Secretary for Youth Affairs, Sports and the Arts has ably given his reasons why he is not able to appear here. However, I am worried by the way my colleagues are talking about the tone, the texture and the temperature of the response. We are not in a choir festival to test the tones of letters. We are dealing with a Cabinet Secretary, who leads a Ministry ... view
  • 4 Oct 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika. Naomba hisani na msamaha kwa yeyote ambaye nimemdhuru kwa matamshi yangu. Ni jambo la kisiasa ambalo nadhani nitalijadili wakati mwafaka lakini kwa sasa naondoa sentensi hiyo. Nikimalizia ni kwamba, mjadala huu natarajia kwamba utachukua mwelekeo mwafaka ambao utawapa Wakenya katika pembe mbalimbali nafasi za kuwakilishwa na wenzao ambao wanawajua, wanawaelewa, wamepiga kampeni nao na wana mwelekeo mmoja wa kisiasa. Haya yote ni ili Kenya kisiasa na kidemokrasia iwe ni nchi ambayo unavuna kile ulichopanda na sio kwamba unatuzwa kwa uzembe ama kutuzwa kwa kuwa na falsafa ya fisi ambaye anatarajia kuvuna ama kupambana na mkono ambao hauanguki ... view
  • 4 Oct 2023 in Senate: I am on a point of order. view
  • 4 Oct 2023 in Senate: Madam Temporary Speaker, I appreciate that the good Cabinet Secretary, Hon. Aden Duale, is here and is being congratulated but allow me to defend the one who is not here, considering you persecute and crucify the person who is not before you. That is the rule of the game. I request that we allow the hon. Cabinet Secretary to come in next week and execute this matter that Sen. Cherarkey is passionate about night and day – running, in order for our sportsmen and women of this country to harvest from their good talent. I thank you. view
  • 4 Oct 2023 in Senate: Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir. I rise, pursuant to Standing Order No.53 (1), to seek a Statement from the Standing Committee on Education regarding a court ruling against the management of St. Joseph's Lumboka Primary School in Bungoma County. In the Statement, the Committee should: (1) Explain the circumstances that led to the filing of the court case involving St. Joseph's Lumboka Primary School in Bungoma County and a former employee of the school, where the school was fined Kshs493,930 in 2022. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this ... view
  • 4 Oct 2023 in Senate: (2) State actions taken by the Ministry of Education to address the regular arrest and release of the Head Teacher of the said school as a result of the school not paying the imposed fine, explaining how and when the fine will be settled. (3) Outline measures put in place by the Ministry to ensure effective resolution of labour-related grievances in public schools to avert future legal disputes. I thank you. view
  • 4 Oct 2023 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda kwa nafasi hii. Nashukuru Waziri kwa majibu ambayo ametupa. Kwa mustakabali na uajibikaji wa Serikali na mawaziri katika Baraza la Mawaziri, ni yapi ambayo mlizingitia kuafiki kwamba askari wa nchi ya Kenya watapelekwa Haiti na sio Jeshi letu? La pili, ni mfumo, kanuni ama sheria ipi mtakayotumia kuwachagua ama kuwapata vikosi vya vijana wetu shupavu ambao wataenda kuhudumia nchi hii kwenye nchi ya kigeni, kuhakikisha kwamba malengo ya kimataifa yanaafikiwa? view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus