Davis Wafula Nakitare

Born

7th May 1943

Post

P. O. Box 126 Endebess

Email

nakitare@africaonline.co.ke

Telephone

0722489317

Telephone

0735669729

All parliamentary appearances

Entries 211 to 220 of 895.

  • 4 Oct 2023 in Senate: Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir, for this opportunity to contribute to the County Governments Additional Allocations Bill (National Assembly Bills No.23 of 2023). Mr. Temporary Speaker, Sir, I appreciate that for the first time we have figures that are coming down to the counties that we represent and that these monies have been clustered to where they are going to. This one is part of oversight, legislation and representation to the people that we represent who are aware of how much is coming and allocated to what. However, we are going to demand a breakdown of these monies, per ... view
  • 4 Oct 2023 in Senate: Mr. Temporary Speaker, Sir, I will rally colleague Senators that as much as we support the Government in ensuring that the industrial parks are done, the people working in our counties should be given these opportunities. In Bungoma, the money for fertilizer is about Kshs242,962,800. These are monies that we must be able to follow to every farmer, the way the Government gives people registered this fertilizer. We must know how many bags are being procured by the county government, how many farmers have gotten this fertilizer, where they are and what amount of produce these people are getting. Let ... view
  • 3 Oct 2023 in Senate: Asante sana, Bi. Spika wa Muda kwa nafasi hii. Kamati ya masuala ya Shakahola ilijadili kwa mapana na marefu, wahusika wakuu katika mchakato wa kupambanua na kupata ukweli wa mambo yanayoendelea Shakahola hawakupewa nafasi ya kujieleza ili kuhakikisha kwamba ripoti itakayoletwa katika Seneti hii ni kamilifu. Unafahamu kwamba matokeo ya Kamati hii itapeana mwelekeo mwafaka katika masuala ya dini na itikadi za kidini katika nchi ya Kenya. Yote ambayo tutaleta hapa itakuwa kumbukumbu ya kazi ambayo Maseneta walipewa kuhakikisha kwamba mambo ya kidini na kiroho yanaweza kudhibitiwa katika muktadha wa maendeleo. Kamati imeomba muda mwafaka ili wahusika wajieleze kisha tutamatishe ... view
  • 28 Sep 2023 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I rise pursuant to Standing Order No.52 (1) to make a Statement of a matter of general topical concern, namely, the plight of five Kenyans who are stranded in Malaysia. The five Kenyans, namely; Sospeter Ngahu from Bungoma County, Dickson Amin and David Nyamanga from Kisumu County, Geoffrey Maina from Kiambu County and Charles Gitonga from Nairobi City County travelled to Malaysia on the promise of well-paying jobs, only for them to become victims of global trafficking in humans. The five are now stranded in Malaysia and are living in very deplorable conditions. The victims ... view
  • 28 Sep 2023 in Senate: After the two months, when they decided to ask for payment from their Chinese employer, they were told that they could not be paid because they had been bought and should be ready to work for three years before a decision on whether they should be paid could be made. After another two months while working during a night shift, the five were thrown out by the employer without any compensation for their labour. Mr. Speaker, Sir, in order for the five to leave Malaysia, they need to pay a fine for overstaying their visa as they were not issued ... view
  • 21 Sep 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii. Ningependa kujiunga na Maseneta wenzangu kukubali au kutia sahihi uteuzi wa Wakili Musangi kuwa Mwenyekiti wa Benki Kuu ya nchi ya Kenya. Mimi kama Seneta wa Kaunti ya Bungoma ninatia kidole cha ndio kwa sababu Musangi ni mzaliwa wa Kaunti ya Bungoma. Vile vile mwanabondia shupavu Bw. Wanyonyi, mwanariadha Bw. Ferdinand Wanyonyi, Bw. Chebukati na watu wengi wote wazuri wanatoka Kaunti ya Bungoma. Waswahili husema chema chajiuza na kibaya chajitembeza. Wengi wamezungumza hapa sifa za Bw. Musangi na ni kweli chema chajiuza. Sitaki kumsahau Daktari Papa wa Roma Spika wa Bunge la Kitaifa ... view
  • 21 Sep 2023 in Senate: Kwa hayo machache nashukuru kwa nafasi hii. Namtakia Bw. Musangi kila la kheri kwenye uchapa kazi wake katika Benki Kuu ya Kenya. Asante, Bw. Spika. view
  • 20 Sep 2023 in Senate: Asante Bw. Naibu Spika kwa nafasi hii ambayo umenipa kuchangia mjadala huu. Wakenya wanatazama kwa makini sana yale tunayojadili. Wanajua ya kwamba walipigia viongozi timamu, watu wazima, kura. Hawakuchaguwa watu kwa sababu ya urembo, sura, ulimi, mate--- Walichaguwa watu wenye akili timamu. view
  • 20 Sep 2023 in Senate: Haiwezi kuwa mtu akipita barabarani akitabasamu, anatembea katika baraza za mji na katika majengo ya Bunge, kisha binti mmoja ambaye anadhani kwamba ni mrembo kwa wote anapomuona wakati anapita, anapiga nduru akisema anammezea mate. Ni tabia mbovu. Umenge au jinsia ya mtu haimpi ruhusa kudunisha mwingine. Yale tumeona kwenye mtandao ni kinaya sana. Seneta anaandika maneno yasiowezakusomeka na sisi ni maseneta wenye hadhi na tajriba ambayo tuko nayo hapa sasa. Nilikuwa katika vikao hivyo. Binti huyu amejipodoa sawa. Amekuja na mawakili wakiwa wamebeba majadala mazito, ila hamna chochote ndani ya majadala hayo. Ilikuwa kutisha maseneta kwamba ameleta mawakili. Wengine wetu ... view
  • 20 Sep 2023 in Senate: Bw. Naibu Spika, kule kwetu, sisi husema ukimuona binti unapopita, na unapopiga miluzi kila mara anageuka kukutazama, anafikiria huenda mwanya katika mdomo wake unakupendeza. Kumbe ni tabia yake mbaya inayokufanya unataka view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus