Davis Wafula Nakitare

Born

7th May 1943

Post

P. O. Box 126 Endebess

Email

nakitare@africaonline.co.ke

Telephone

0722489317

Telephone

0735669729

All parliamentary appearances

Entries 291 to 300 of 893.

  • 14 Jun 2023 in Senate: Finally, if they do not have the competencies such as knowledge, skills and attitudes that facilitate the adjudication of what they have been trained on, we end up not delivering according to the expectations. We have farmer training colleges across the country. These institutions are not properly funded by the county or the national Government. They are the institutions that are supposed to train these people at the local level, and carry out extension services and trading platforms for farmers. If we are not going to fund those places where they are going to be trained properly, it is going ... view
  • 14 Jun 2023 in Senate: Mr. Temporary Speaker, Sir, I believe they are things which can be naturally explained by virtue of existing in this world. Matters of water are very serious today. In the last Government we had the Big Four Agenda where the Government was pumping billions of shillings in dams and connecting water. However, at the end of the day, the biggest matter that was not tackled was conservation and prudent use of water. This is a matter that my senior Sen. Wamatinga has brought on the table. Government must ensure that any infrastructure be it in medical, tourism and sports fields ... view
  • 7 Jun 2023 in Senate: Bw. Spika, asante sana kwa nafasi hii. Kwa niaba yangu, familia yangu na watu wa Bungoma, ninatoa rambirambi kwa familia ya mwendazake. Nilimjua kama mama mcheshi, mkarimu na mpole, ambaye hakuwa na majivuno ama kujigamba. Alikuwa mchapakazi ambaye alijitolea kwa hali na mali kuhakikisha kwamba mchango wetu katika Seneti inahakikiwa na kunakiliwa kwenye kumbukumbu za Jumba la Seneti na kuhakikisha kwamba Kenya inapata haki kwa kipato kidogo, kile ambacho Wakenya wanatozwa. Bw. Spika, vile vile, ningependa kutoa rambirambi kwa familia ya mwendazake, kwa sababu wahenga walisema kwamba tunda hili la binti huyu lilianguka kwenye shina la mti na ukiashiria vyema, ... view
  • 7 Jun 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 7 Jun 2023 in Senate: Tunamwombea kwamba safari yake iwe nyepesi. Afikapo kule katika mkono wa kiume wa Maulana, amwambie kwamba tuko safarini kutenda wema kwa walio wema na kutenda wema kwa wasio wema. Wahenga hawakukosea waliposema tenda wema nenda zako. Asante sana, Bw. Spika. view
  • 30 May 2023 in Senate: Bw. Spika, asante kwa nafasi hii. Kwanza ni kushukuru waliohusika kuchagua Turkana kama eneo lililoteuliwa kwa Seneti kufika na kufanya mkutano huko. Kihistoria, eneo la Turkana limekuwa eneo ambalo limetelekezwa. Ni eneo ambalo Wakenya walikuwa wanasikia tu kuhusiana na maisha ama vita dhidi ya wanaoishi katika maeneo hayo. Kwa sasa, kutokana na uamuzi wa Seneti, tutakwenda kule mashinani kukutana na wananchi. Vile wenzangu wamesema, itakuwa wakati mzuri kupiga msasa hatua za ugatuzi kwa miaka kumi fedha ambazo tumekuwa tukipitisha kwenye Bunge la Seneti ziwe zinakwenda mashinani. Pesa hizi zitaweza kuonekana. Kama ni maji yalichimbwa na kuna vidimbwi vya maji. Iwapo ... view
  • 30 May 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 30 May 2023 in Senate: Tutakapozuru maeneo mengine, tutakuwa tunawaalika wale Mawaziri ambao Wizara zao zinaafiki malengo hasa ya kaunti tunayozuru ili wenyeji wa kaunti hizo wasikize Mawaziri hao kutoka mashinani. Iwapo hawaleti majibu yanayostahili, wananchi vile vile wasitusulubishe sisi Maseneta na viongozi lakini waweze kujua ni nani ambaye hafanyi kazi ambayo alitumwa ama aliyopewa na Serikali. Ninaunga mkono hatua zetu za kwenda kule. Na nikimalizia, kumekuwa na donda sugu la walimu kutoka maeneo mbalimbali kufunza maeneo tofauti. Tutakapokuwa kule, tutataka kujua walimu ambao walihama kwenda maeneo mengine na wale walioko wanaafiki idadi ya wanafunzi na changamoto au kuna dosari ya elimu kule Turkana. Kwa ... view
  • 24 May 2023 in Senate: Bw. Naibu Spika, ninashukuru kwa nafasi hii. Ningependa kutoa hoja chache, hususan kwa wachapakazi ambao walikuwa wanafanya kazi katika Serikali ya Mhe. Marehemu Mwai Kibaki. Hiyo ilikuwa katika mfumo wa kuamsha uchumi uliokuwa umezorota. Bw. Naibu Spika, watu hawa walichangia pakubwa. Wakati huo, nilikuwa kiongozi wa vijana kule mashinani. Tulipanda miti, tukaibua mitindo tofauti ya kukuza uchumi, ufugaji wa samaki na kadhalika. Ni jambo la kusononesha sana, kupata Gavana view
  • 24 May 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus