21 Jun 2023 in Senate:
ili waweze kupeleka macadamia nje ya nchi ili watengeneze ile nafasi ya kuweza kununua hayo mengine. Ili kuchunga mkulima, nimepeana ruhusa kwa Mwenye kiti wa Agriculture Food Authority (AFA) kuenda China na maafisa wengine kuangalia soko ili tusiwe tunapea watu ambao wanapata bei iko juu zaidi na wanakuja kuuzia wakulima wetu kwa bei iliyo chini. In another 10 days, haya mambo nitakuwa nimemalizana nayo.
view
21 Jun 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate.
view
21 Jun 2023 in Senate:
Hivyo basi, Sen. Mundigi, ninajaribu vile ninavyoweza. Ni vile tuko wachache pale. Kwa hivyo, tafadhali, maoni yenu nayataka. If you have a better idea on how we can do it,then niko tayari kukaa na nyinyi tuweze kukubaliana.
view
21 Jun 2023 in Senate:
Asante bwana Spika wa Muda
view
21 Jun 2023 in Senate:
Ninamshukuru Seneta wa Kirinyaga kwa sababu hakuna swali ameniuliza. Thank you, forthe compliments. Niseme tuu ya kwamba nitajaribu. Nilipopata shida yako ya mambo ya fertilizer, nilikuwa nje ya Nairobi na unaona nilifanya kazi. I am happy watu tayari wamepata fertilizer .
view
21 Jun 2023 in Senate:
Ninataka pia kusema ya kwamba tumejipanga vizuri na fertilizer itakuwepo ya kutosha na pia kwa bei ya chini. Hakuna kitu kingine ambacho mimi ninataka mnisaidie sana ndugu zangu, kama si kurudisha watu kwa mashamba ili tuzalishe chakula. Wale wengine tuwaombee wajue tuko na jukumu la kuzalisha chakula kama taifa. Mambo mengine ya kucheza na maisha ya Wakenya tuwachane nayo.
view
21 Jun 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate.
view
21 Jun 2023 in Senate:
Mr. Temporary Speaker, Sir, I am glad that the Senator concedes to the fact that corruption and those other issues on giving of permits is a rumour. I can give the actual position because I am open and accountable to Parliament. We cannot stop Parliament from making an inquiry and we are ready to provide any information if so asked. However, the position is that we are in an ambitious process of trying to open the Government to scrutiny for everyone. That is why we are running an e-Government. We want to get there 100 per cent by the end ...
view
21 Jun 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate.
view