All parliamentary appearances
Entries 41 to 50 of 105.
-
25 Aug 2010 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, Bw. Waziri amekubali kwamba barabara nyingi nchini humu zinataka ukarabati kwa sababu zimeharibiwa na mvua. Je, ni hatua gani ambazo amechukua kukarabati hizi barabara kwa sababu imekuwa ni shida haswa kule Malindi?
view
-
8 Apr 2010 in National Assembly:
Bwana Spika, itakuwa vigumu kwa sababu juzi nilisema kwamba nataka taarifa rasmi leo kwa sababu Jumanne wiki ijayo, nitakuwa safarini katika shughuli za bunge kule Africa Kusini.
view
-
8 Apr 2010 in National Assembly:
Kama utaniruhusu, Bwana Spika, kwa sababu juzi nilifanya hivyo lakini ofisi yako ilikataa.
view
-
8 Apr 2010 in National Assembly:
Asante, Bw. Spika.
view
-
6 Apr 2010 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, ningependa kusimama niulize taarifa kutoka kwa Waziri wa Utawala wa Mikoa na Usalama wa Ndani. Mnamo asubuhi ya 31st March, 2010, kikosi cha polisi na Askari wa Utawala kilivamia maskwota Watamu katika eneo Bunge la Malindi katika oparesheni ambayo ilikusudiwa kuwafurusha maskwota hao katika kipande cha ardhi kilichokuwa kikizozaniwa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani na mfanyibiashara mmoja wa Watamu. Katika uvamizi huu, vijana wawili walifariki na kadhaa kupata majeraha mabaya ya risasi. Kufuatia tukio hilo, ningeliomba Waziri mhusika kueleza ni katika mazingara gani yaliopelekea polisi kuvamia kipande hiki cha ardhi usiku wa manane kikiongozwa na Mkuu ...
view
-
6 Apr 2010 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, jambo hili ni la dharura na kama unavyojua, mpaka sasa hali ya taharuki iko katika kijiji cha Watamu katika Malindi. Pili, wiki ijayo,
view
-
30 Mar 2010 in National Assembly:
Nashukuru, Bw. Naibu Spika. Mimi pia nataka kuchangia nikisema kwamba Bunge hili lina jukumu la kuwapatia Wakenya Katiba mpya, lakini sio jukumu la kuwapatia Wakenya Katiba yoyote. Nataka kuunga mkono wenzangu walioongea na kusema kwamba tunahitaji Serikali--- Mimi sitasema kuhusu Serikali ya Mikoa kwa vile hakuna haja ya kuogopa tunaposema tunataka Serikali za Majimbo; Marekani, Ujerumani, India na nchi nyingine ambazo zimeendelea wamekuwa na serikali za Majimbo. Tunataka utawala uwe mashinani ili wananchi waweze kuchangia katika uongozi wa taifa hili. Tumeona kwamba utoaji wa huduma kwa wananchi wa nchi hii kila mara umefikwa na pingamiza kwa sababu ya Serikali kuu. ...
view
-
15 Oct 2008 in National Assembly:
On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. Is it in order for the Assistant Minister to tell this House that only when an hon. Member intervenes here does he get support staff? I also have a new division in Malindi called "Lango Baya". He is telling us that we have 600 DOs in the country but we are only provided with support staff when we come to this House and ask a Question. October 15, 2008 PARLIAMENTARY DEBATES 2723
view
-
31 Jul 2008 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, could the Assistant Minister confirm that, indeed, reclamation is the most economical way of acquiring land while Kenya requires another port along the coast where there is ample land and suitable site, including Lamu?
view
-
25 Mar 2008 in National Assembly:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir.
view