Gideon Maitha

Full name

Gideon Mung'aro Maitha

Born

18th September 1966

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

malindi@parliament.go.ke

Email

gmungaro66@gmail.com

Telephone

0721600856

All parliamentary appearances

Entries 21 to 30 of 105.

  • 26 Jun 2013 in National Assembly: Hon. Speaker, I stand to seek your guidance on the matter of the CJ. It is a matter concerning the Judiciary, which is an independent arm of the Government. Is it supposed to be handled by the Leader of Majority Party or by the Departmental Committee on Justice and Legal Affairs? view
  • 28 May 2013 in National Assembly: Hon. Deputy Speaker, I second that we extend the sitting of the House until we exhaust the business on the Order Paper. view
  • 21 May 2013 in National Assembly: Hon. Speaker, Sir, I would like to second the Motion. I also want to assure the Members that, as the Leader of the Majority has said, we are working on the list. We have had many issues with the membership of the minority. By Thursday afternoon, we will try our best to rectify all the issues that we have, so that we can table the whole list. Some Members have been asking a lot of questions, but that is what we are working on, and we will make sure that everybody is a member of a departmental committee and a ... view
  • 2 May 2013 in National Assembly: Hon. Speaker, Sir, it is true that we met on Tuesday and we were supposed to finalise the list of the committees. However, we further consulted as a coalition and we have not agreed yet, especially on the composition of the Public Investments Committee and the Public Accounts Committee. That is between us and the other part of Jubilee. We should be able to table all the names of the committee members once we are through with that. view
  • 23 Apr 2013 in National Assembly: Asante sana mhe. Spika. Nataka pia nichukue nafasi hii nikupongeze kwa kuchaguliwa kama Spika wa Bunge hili. Vile vile, ningependa kuchukua nafasi hii kuwashukuru watu wa Kilifi Kaskazini kwa kunipatia nafasi kuwa mbunge wao wa kwanza katika eneo hilo jipya la Bunge. Mhe. Spika, katika kuchangia Hotuba ya Rais, ningependa kutilia mkazo jambo ambalo ndugu yangu Aburi amelizungumzia; hasa upeanaji wa tarakirishi kwa watoto wa darasa la kwanza katika shule zetu za msingi. Nafikiri ijapokuwa Rais ana maono mema katika kuanzisha mradi huu wa tarakirishi kwa watoto wetu wa darasa la kwanza, ingekuwa vyema ikiwa Rais, badala ya kuwapatia wanafunzi ... view
  • 8 Jan 2013 in National Assembly: Bw. Spika, namshukuru Waziri Msaidizi kwa sababu amesema alichelewa kuja Bungeni kwa sababu ya msongamano wa magari pale Kibarani. Nataka kumuuliza, ni mikakati gani anayo ya kuhakikisha kwamba gari la moshi linafanya kazi kuanzia Mariakani, Mombasa, Uwanja wa Ndege wa Moi na kutoka Mombasa hadi Malindi? view
  • 21 Aug 2012 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, ningependa kuchukua fursa hii kuunga mkono Mswada kuhusu Tume ya Kitaifa ya Ardhi, pamoja na wale Wakenya ambao wamepewa fursa ya kuhudumu katika Tume hii. Ningependa kuunga mkono yale yaliyosemwa na ndugu yangu, mhe. Mungatana. Ninajua watu wengi wanasema kwamba Tume hii ni ya Kenya nzima lakini, kama Wapwani, ni lazima tujivunie kwamba, kwa mara ya kwanza kuanzia wakati tume za kikatiba zilianza kubuniwa humu nchini, tumeweza kupata Mwenyekiti. Hatuoni aibu kujivunia kwa kupata fursa hiyo. Bw. Naibu Spika, umiliki wa ardhi nchini Kenya ni suala gumu, lakini sisi sote tunakubaliana kwamba suala hili limekita mizizi katika ... view
  • 25 Apr 2012 in National Assembly: Ninashukuru Bi Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa hii pia nichangie Hotuba ya Rais ambayo ilitolewa jana. Kwanza, ninataka pia nipongeze kwa juhudi ambazo Rais amejaribu kufanya katika ujenzi wa miundo misingi, hasa barabara. Vile vile, nataka kuuliza kwa sababu wenzangu wamechangia, ni kwa nini barabara ambayo inashughulikia bandari yetu ya Mombasa, ambayo inaleta pesa nyingi katika uchumi wa hii inchi, inakuchukua masaa matano kutoka Nairobi mpaka Miritini na masaa hayo hayo kufika Mombasa mjini? Lingine ni barabara ya kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Moi mpaka mjini Mombasa, na kutoka Mombasa mjini kwenda Nyali, Malindi na kwingine. view
  • 25 Apr 2012 in National Assembly: Inachukua muda mrefu sana na hatujaona mikakati ya Serikali baada ya kuona umuhimu hasa katika uchumi wa utalii ambao umeidhibiti hii nchi katika miaka hii mitatu ya kifedha iliopita. Vile vile, kuna barabara nyingine muhimu katika sehemu ya Pwani kama vile barabara ya Voi-Taveta ambayo inaungana na nchi ya Tanzania. Tumesikia Waziri Msaidizi akiongea kuhusu Namanga na kwingine, lakini hatujasikia akigusia Pwani. Ukifika Malindi, utapata kuna barabara ile kuu ambayo ingefufua uchumi sana, hasa utalii katika County ya Kilifi; hii ni barabara ya kutoka Malindi, Kakoneni kwenda Salaget; pia kuna barabara ya ufuo wa bahari kutoka Watamu kwenda Malindi. Hizi ... view
  • 25 Apr 2012 in National Assembly: Tunashukuru kwa ule mradi ambao umeanzishwa Lamu ili kufungua bandari ya Lamu. Cha kushangaza ni kwamba huu mradi wa Lamu umeanzishwa wakati watu fulani katika Serikali wamejipatia ardhi katika ile sehemu ya bandari. Wamejipatia rasilimali zote kando kando ya ile bandari kabla mradi huu kuanzishwa. Je, hii itawezesha kuleta utangamano wa wananchi wa sehemu ya Lamu na Pwani na wananchi wengine wa Kenya? Kama tunaongea kuhusu mambo ya amani katika hii nchi, hatukusikia Rais jana akiongea katika Hotuba kuhusu swala la mipaka. Tume ya Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) imeenda kuhamisha watu ambao wameweza kuishi pamoja kwa miaka zaidi ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus