All parliamentary appearances

Entries 71 to 80 of 94.

  • 19 Jun 2013 in National Assembly: First and foremost I thank hon. Members for supporting this Motion. This is a very specific Motion to the ASAL areas. The main thrust of this Motion is to give morale to the girl in the ASAL areas so that they can become role models in the future. I ask hon. Members to have one obligation to this Motion so that we have one resolution and operationalize the inter-nomadic education policy. I beg to move. view
  • 13 Jun 2013 in National Assembly: Thank you, hon. Speaker, Sir. I stand to request for a statement. view
  • 13 Jun 2013 in National Assembly: Thank you, hon. Speaker, Sir. I stand to request for a statement. view
  • 13 Jun 2013 in National Assembly: No, I want to get a statement. view
  • 13 Jun 2013 in National Assembly: Thank you, hon. Speaker, Sir. I stand to request for a statement. view
  • 13 Jun 2013 in National Assembly: No, I want to get a statement. view
  • 13 Jun 2013 in National Assembly: No, I want to get a statement. view
  • 12 Jun 2013 in National Assembly: Ahsante, Bw. Naibu Spika wa Muda. Nimesimama kuiunga mkono Hoja hii kwa sababu inaangazia suala muhimu sana. Ni kweli kwamba katika nchi hii kuna uhaba mkubwa wa madaktari na madawa. Uhaba wa madaktari umeathiri sana utoaji wa huduma za matibabu kwa jamii, na haswa katika sehemu ninakotoka ya Tana River. Katika sehemu yangu ya uwakilishi Bungeni ya Galole, kuna sehemu ambazo ziko umbali wa kilomita 200 kutoka mjini Hola, kama vile Waldena, Wayu, Chifiri na Haroresa. Katika sehemu hizo, kuna uhaba mkubwa wa madaktari na hospitali. Hakuna barabara katika maeneo hayo. Kukinyesha, wagonjwa husafirishwa kwa punda mpaka Hola. Hospital ya ... view
  • 12 Jun 2013 in National Assembly: muhimu haviko. Hali ilivyo katika hospitali hiyo ni ya kusikitisha. Hospitali hiyo iko katika hali duni zaidi. Bw. Naibu Spika wa Muda, watu wetu hufariki kiholelaholela. Ukiingia kwenye chumba cha kuhifadhia maiti, utakutana na panya mkubwa zaidi. Sizungumzi utani hapa. Mtu akifariki hapelekwi kwenye chumba cha kuhifadhia maiti. Mwili ukipelekwa kwenye chumba hicho, baada ya maasa mawili, paka wanauchukua. Katika jamii ya Waislamu, mtu akifariki huzikwa siku hiyo hiyo. Je, mwili wa Mkristo utahifadhiwaje? Wakristo huhifadhi maiti za watu wao kwa siku kadhaa, hadi mwezi mmoja ama zaidi. Sisi Waislamu, hatupeleki mili ya wafu wetu kwenye chumba cha kuhifadhia maiti ... view
  • 12 Jun 2013 in National Assembly: Kwa hivyo hii Hoja imeletwa kwa wakati muhumi kabisa na naiunga mkono kidete na hospitali ya Hola iangaliwe kindani. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus