All parliamentary appearances

Entries 61 to 70 of 74.

  • 15 Apr 2015 in National Assembly: Nisaidie Mheshimiwa Naibu Spika . view

  • 15 Apr 2015 in National Assembly: Kwa hivyo, ninaunga mkono na ningeomba kwamba baada ya kupitisha Hoja hii basi kila kitu ndani ya Bunge hili kitafsiriwe kwa lugha ya Kiswahili. Vile vile, Serikali ihakikishe ya kwamba inapeleka walimu katika kila kijiji na iwe ni lazima kila mtu afundishwe Kiswahili. Jambo hili litafanya watu kujua haki zao na kujitetea--- view

  • 1 Apr 2015 in National Assembly: Ahsante sana, mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunihurumia. Nimeshindwa kwenda kula chakula cha mchana ili niwe wa kwanza kuzungumza lakini sikupata nafasi kwa sababu kadi yangu haifanyi kazi. Ninataka pia nichangie kuhusu Hotuba ya Rais. Nitaanzia masuala ya usalama.Ukweli ni kwamba Rais ni mtu mzuri lakini kwa sababu haambiwi ukweli, maneno yanaharibika na watu kila wakati ni kusifu mahali ambapo hapastahili. Usalama umezorota Kenya nzima. Watu wanauawa na wengine wanapata shida. Mpaka hivi sasa njaa imezidi kwa sababu utalii umekufa. Utalii umekufa kwa sababu watalii wanasema Kenya haina usalama. Leo mtu anasimama na kusema kwamba usalama umeimarika kisawasawa. Tafadhalini, ... view

  • 1 Apr 2015 in National Assembly: wingi ili kila mzee aweze kupata. Hapo majina yatakuwa yamejengeka na mambo yatakuwa yameenda barabara. Bila ya hivyo, tutaendelea kumsifu na hali maneno yanaharibika, sawasawa na kusuka kamba ilhali huku nyuma inachomeka. Mambo mengine ambayo ningependa kuyazungumzia ni mambo ya kutajana katika hizo orodha za wale ambao wamefanya ufisadi. Sijapinga lakini ni lazima kuwe na ushahidi mkali. Kwa wale ambao walikuwa hai zama za akina Njonjo kulikuwa na usaliti. Wakati huo, watu walipata nafasi ya kuanza kuwataja watu wengine ambao walikuwa wapinzani. Tukiendelea katika hali hii, mimi ninaona kwamba hali itakuwa vilevile; watu kutajana, mtu kama anakupinga unamtaja mradi tu ... view

  • 1 Apr 2015 in National Assembly: Kwa hivyo masuala ya kutajana ni lazima tuwe waangalifu au sivyo chuki itazidi kuendelea katika nchi hii yetu ya Kenya. Mhe. Naibu Spika wa Muda, napongeza masuala ya pesa za mashujaa lakini nasema kwamba pesa hizi ni lazima ziongezwe mara kumi ili ziweze kufidia kila shujaa. Mara kwa mara, tunapata mambo kama haya na kwamba kuna watu wanatajwa mashujaa lakini utaona kwamba mashujaa wanatoka sehemu fulani. Kule Pwani, nakumbuka nilipokuwa kijana, hayati Jomo Kenyatta alikuwa akija kule anakaa kwa Mzee Bambaulo, Mzee Mbonze Mbonze au kwa Mzee Mwamgunga. Hawa ni watu ambao walipigania uhuru kikamilifu lakini watu wao hivi sasa ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus