All parliamentary appearances

Entries 41 to 50 of 74.

  • 30 Mar 2016 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda, inaonekana kuna njama ya kuukatakata muda wangu. Ninasema hivyo kwa sababu hoja zote za nidhamu zilizotolewa hazina maana. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 30 Mar 2016 in National Assembly: Kwa hivyo, ninawaomba Wabunge wenzangu waache kutoa hoja za nidhamu ambazo haziwezi zikatusaidia. Kwa hivyo--- view
  • 30 Mar 2016 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda, muda wangu unamalizwa bure na watu ambao wana njama fulani. Nakuomba uniongezee dakika kadha kwa sababu muda wangu umepotezwa na watu ambao wameleta hoja zisizo na msingi. Ninaunga mkono kikamilifu kwamba stakabadhi ambazo zinatolewa zitumike kikamilifu kwa kila jambo ambalo mtu anahitaji--- view
  • 30 Mar 2016 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda--- view
  • 30 Mar 2016 in National Assembly: Ninakushukuru sana kwa kuelewa yale maneno ambayo nilikuwa ninayazungumza. Ninaomba kila Mkenya aweze kupata nafasi nzuri anapofikisha umri wa miaka 18, ili apewe nafasi ya kuchukua ile stakabadhi ya kwanza na hiyo iwe inatumika. Sioni haja ya watu kuomba stakabadhi na kusubiri kwa miezi mitatu au minne. Maombi yote ya stakabadhi hiyo yanafaa kushughulikiwa mara moja ili mtu aweze kupata kitambulisho siku ya pili. Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. view
  • 23 Mar 2016 in National Assembly: Thank you very much, Hon. Temporary Deputy Speaker. As you are aware, you and I were the last people to leave KANU. So, whenever I press the button, I expect the same. view
  • 23 Mar 2016 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I stand to support this Motion. I feel very bitter because I am a victim of that disease. I lost my wife, father, two brothers and two sisters to that deadly disease. I feel very bitter because the Government is able to train as many people as possible, instead of leaving those wanyamas to steal our money. I am sure the Government has the ability to train not only one person per county as Madam Wanga has proposed, but one person per village. This Government, as I understand, is very rich. But there is ... view
  • 23 Mar 2016 in National Assembly: I am urging this Government to make sure that it sends not less than two people in a constituency for that education, so that our people can be treated well. People from rural areas cannot travel from their villages to Nairobi because of lack of cash. I am urging the Government to make sure that it changes its habit. If it catches anyone who has stolen money, let action be taken and the money brought back and used to train people on that deadly disease. The Government should not only deal with that disease. There are other diseases like Ukimwi, ... view
  • 23 Mar 2016 in National Assembly: I stand to support the Motion. Thank you very much, Hon. Temporary Deputy Speaker. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 16 Mar 2016 in National Assembly: Ahsante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Nakushukuru kwa kunipatia nafasi hii haswa ukijua kwamba nilikuwa kapteni wako kule Malindi. Ninaiunga mkono Hoja hii kwa sababu kuna haja kubwa ya walemavu kushughulikiwa kikamilifu na Serikali yetu. Walemavu wamekuwa wakihangaika sana. Kuna haja kubwa ya kuhakikisha kwamba majengo yamefanyiwa ukarabati na kupigwa msasa. Ngazi katika majengo yote zinapaswa kufanyiwa marekebisho ili kuwawezesha walemavu kuzitumia. Kuna haja magari, kuanzia sasa, yatengenezwe ikijulikana kwamba kuna watu ambao hawawezi kuinua miguu yao na kuabiri. Magari yanapaswa kuundwa kwa namna ambayo itawawezesha walemavu kuabiri bila ya kupata usaidizi kutoka kwa mtu yeyote. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus