James Opiyo Wandayi

Parties & Coalitions

  • Not a member of any parties or coalitions

Email

jwandayi@gmail.com

Telephone

0720678051

All parliamentary appearances

Entries 121 to 130 of 1604.

  • 8 Jun 2021 in National Assembly: Estimates. What happens? The State department accrues pending bills which roll over to the next financial year and it is a vicious cycle. Therefore, the question is: Why should we not from the very outset cut our clothes according to our size? Once we know the capacity of our economy in terms of revenue generation, we should attune our budget to that capacity because there are just two ways namely, if we cannot get money through revenue collection, we will borrow. We will either borrow or generate money through revenues. Those two options have limits. Prudence dictates that you plan ... view
  • 8 Jun 2021 in National Assembly: As I conclude, there is the question of revenue sharing. The Constitution is very clear under Article 203 that the revenues that are raised nationally will have to be shared equitably between the two levels of Government. Therefore, it is important that everybody needs to know that they can only get revenues as a result of what has been collected nationally. Therefore, if revenue collection dwindles, both levels of Government must suffer equally. So, we have recommended that the next budgetary process to consider this latest revenue figures as hopefully shall be approved by this House, and as contained in ... view
  • 13 May 2021 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa muda, naomba uniruhusu nitoe barakoa, ili niweze kuongea vizuri. view
  • 13 May 2021 in National Assembly: Nataka nichukue fursa ili niunge mkono Hoja hii ya maana kwa Bunge hili na taifa kwa jumla. Ni wazi ya kwamba, kuchaguliwa kwa Mhe. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, ni jambo la kihistoria. Yeye ndiye Rais wa kwanza mama kuchagulia katika eneo hili la Afrika Mashariki. Pongezi kubwa kwake na wananchi wa Tanzania. Kenya na Tanzania wana uhusiano wa muda mrefu sana, uliyoanza hata kabla ya nchi hizi mbili kujinyakulia uhuru. Huo uhusiano umekuwa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 13 May 2021 in National Assembly: ukiendelea, ingawa hapo awali ulikuwa na tashwishi kidogo. Kwa hivyo, kuchukua usukani kwa Rais Suluhu ni jambo la kufurahia. Tumepata nafasi ya kufufua na kuimarisha huo uhusiano. view
  • 13 May 2021 in National Assembly: Nikimpongeza Rais Suluhu, ni lazima nipongeze pia Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta. Hakupoteza wakati hata kidogo. Alichukua hatua haraka kuhakikisha ya kwamba tumetengeneza urafiki na Rais mpya wa Tanzania, Samia Suluhu. Hakuna nchi yoyote katika dunia nzima ambayo inaweza kuendesha shughuli zake kivyake. Nchi zinahitaji ushirikiano katika mambo ya uchumi, jamii na kadhalika. Hakuna nchi hata moja inaweza kuwa kama Island. view
  • 13 May 2021 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Zuleikha Hassan ambaye ni rafiki yangu na Mbunge wa Kwale kwa kunikumbusha hilo neno muhimu. view
  • 13 May 2021 in National Assembly: Tanzania na Kenya lazima ziendelee kushirikiana kwa manufaa ya watu wa nchi hizi mbili. Kuna watu wetu kutoka jamii mbalimbali katika nchi ya Kenya ambao wako Tanzania. Tutaanza na Wajaluo ambao wako kule Nyanza. Vilevile, kuna Wajaluo wengi sana katika nchi ya Tanzania. Wamaasai wengi wako kule Tanzania. Hiyo ni kumaanisha ya kwamba hatuwezi kujitenga. Vilevile, Watanzania hawawezi kujitenga. view
  • 13 May 2021 in National Assembly: Nikimalizia, nataka nimpongeze Rais Suluhu Hassan kwa kuchukua fursa yake ya kwanza kututembelea na kumwombea heri na baraka katika urais wake nchini humo. Vilevile, nawasihi Wananchi wa Tanzania washirikiane naye. Kama inawezekana, wamchague tena ili amalize mihula yake miwili ya urais. Sisi kama Wakenya, tutabaki na baraka. view
  • 13 May 2021 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia hii nafasi ili… view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus