Janet Nangabo Wanyama

Parties & Coalitions

Janet Nangabo Wanyama

She has established the Janet Nangabo Foundation, a community based organization specifically created to provide solutions for problems of the Trans Nzoia people.

All parliamentary appearances

Entries 61 to 70 of 247.

  • 27 Nov 2019 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I support the amendment because it can regularise issues concerning the Auditor-General. I support the Committee on matters of the Central Bank bringing in structures, so that we can support this law fully. I support. view
  • 20 Nov 2019 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairlady. I want to support the Chair. As my colleague has said, we need to tighten it up. view
  • 20 Nov 2019 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Chairlady, I support the Chair because we cannot just leave it open without something in place. I support. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 20 Nov 2019 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii kuunga mkono Mswada huu. Nataka kukubaliana na wenzangu ambao wamesema tuwe na sheria ya kuhakikisha kwamba wanaopewa kandarasi katika nchi yetu ya Kenya wanapata haki yao na wasinyanyaswe. Tulikuwa na shida sana na vijana wa National Youth Service kwa sababu hatukuwa na mikakati mwafaka wakati hao walikuwa wamechukua kandarasi ya kusema kwamba wanapeana bidhaa katika shirika hilo la Huduma kwa Vijana. Itakuwa vizuri iwapo tutakuwa na mikakati ya kuhakikisha kwamba iwapo unafanya biashara iwe ndogo au kubwa na uko na nafasi kwamba unalindwa vyema ukifanya biashara yako litakuwa jambo ... view
  • 20 Nov 2019 in National Assembly: Tumekuwa na watu ambao wamefanya biashara katika nchi za ng’ambo na hata hapa kwetu. Kwa mfano, wakati sukari ilikuwa inatolewa huko nje ikiletwa nchini Kenya, hakukuwa na mikakati. Ndiposa uliona sukari isiyo nzuri imekuwa ikiletwa na inanunuliwa na watu wetu. Sisi, kama viongozi, ni lazima tuuunge mkono Mswada huu kwa sababu utawasaidia watu kule nje. Mimi natoka Trans Nzoia. Unaona saa hii watu wamevuna mahindi lakini kwa sababu hatujakuwa na mikakati mwafaka, utapata watu ambao wanakuja hapa katikati, ambao tunawaita view
  • 20 Nov 2019 in National Assembly: wananunua mahindi kwa bei ya rejareja na wanawaacha wakulima ambao wanatakikana wapate haki yao bila mafanikio. Inaonekana kwamba wengine kazi yao ni kunyanyasa wengine katika nchi yetu ya Kenya. view
  • 20 Nov 2019 in National Assembly: Nitaongea kuhusu ufisadi katika sehemu kadhaa nchini mwetu. Juzi, niliona ufisadi katika kitengo cha polisi. Tunatakikana tufuatilie na tuone ni nini kinaendelea kwa sababu imefika mahali ni kama mamlaka inatoka kwa askari wetu. Watu wameachiliwa hivyo hivyo na The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 20 Nov 2019 in National Assembly: wanafika mahali wanafanya watakavyo na polisi wanaonekana hawana kazi ya kufanya. Ukiajiriwa kama mfanyakazi, unafanya kazi yako kulingana na mkataba ambao umetengenezwa na mwajiri wako. Hii inalingana na sheria hii ambayo tunabuni katika Bunge hili. Ninajua wenzangu wataiunga mkono. Naunga mkono yale Mhe. Cecily Mbarire na pia Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Mipango ya Kitaifa wameongea. Ni lazima tuwe na mikakati kama hii ili isaidie nchi yetu. Kwa hayo machache, ninashukuru na kuunga mkono Mswada hii. view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Spika kwa kunipa nafasi hii pia nichangia Hoja hii. Ninaungana na wenzangu kukupatia kongole kwa kuturuhusu kujadiliana Hoja katika Bunge hili letu. Ninataka kusema Kiswahili katika nchi yetu ya Kenya kilianzia mbali kwa sababu mahali penye nimezaliwa tulikuwa na makabila mengi sana na haikuwa rahisi kuwasiliana na wengine, ndiposa tukapata wasomi waliokuja hapo katikati wakatufanya tukifahamu Kiswahili na tukaanza kuongea na wengine. Wengi wamesema kwamba sio rahisi. Ni kweli Kiswahili sio rahisi. Lakini kwa wale wamejitolea kama wenzetu katika kamati hii kwa kutafsiri Hoja hii, wamefanya jambo nzuri sana. Katika michezo ya Afrika Mashariki, inawachukua Waganda muda ... view
  • 31 Jul 2019 in National Assembly: Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii nichangie Mswada huu ulioletwa na Mbunge wangu wa Kiminini. Huu ni Mswada unaoenda kurekebisha mambo katika nchi yetu ya Kenya. Kabla sijaendelea, nachukua fursa hii kutuma rambirambi zangu pamoja na za watu wa Trans Nzoia, kwa familia za wenzetu waliopoteza maisha yao, Gavana Joyce Laboso na ndugu yetu Ken kutoka Kibra. Walikuwa viongozi waliochangia mengi sana katika nchi yetu ya Kenya. Walioonyesha msimamo wao hata wakati wa siasa bila kuegemea upande wowote. Mhe. Naibu Spika wa Muda, nikubalie niongee kuhusu Mswada huu ulioletwa na Mhe. Chris Wamalwa kuhusu wakurugenzi katika ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus