Janet Nangabo Wanyama

Parties & Coalitions

Janet Nangabo Wanyama

She has established the Janet Nangabo Foundation, a community based organization specifically created to provide solutions for problems of the Trans Nzoia people.

All parliamentary appearances

Entries 71 to 80 of 247.

  • 31 Jul 2019 in National Assembly: Kile kimenifurahisha ni washikadau hao watakuwa wanahudumu kwa miaka mitatu tu na baada ya miaka mitatu, huenda ikawa tutakuwa na wengine. Hivyo ni vizuri sana kwa sababu mtu akifanya kazi atakuwa anajichunguza jinsi alivyo na jinsi anavyoendesha mambo yake. Wengine wasipokuwa na nidhamu katika kazi zao lazima wachukuliwe hatua kwa sababu haitakuwa vyema mtu kukosea halafu aende bure bila mkono wa sheria kuchukua mkondo wake. Ninawaomba wale watapata nafasi kushirikiana na wengine katika taasisi mbalimbali wawe watu wa nidhamu na waelewe kazi yao. Tumegadhabishwa sana na serikali za kaunti. Nyingi zimeharibu pesa na hazijafanya kazi nzuri. Ndiposa wanasema kwamba taasisi ... view
  • 31 Jul 2019 in National Assembly: Kama kiongozi, tumeona mengi pamoja na Mbunge wangu ambaye ameleta Mswada huu katika Bunge hili kwa sababu ya kazi duni inayofanyika katika kaunti yetu. Ndiposa ni lazima wale wakurugenzi wanaochaguliwa wawe na nidhamu ili wahudumu katika taasisi hizi. Namshukuru tena Mheshimiwa Chris Wamalwa. Kama vile wenzangu wamesema, kuna mambo yatakayorekebishwa tukiingia kipindi cha Mswada Kusomwa Mara ya Tatu. view
  • 23 Jul 2019 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. Pursuant to Standing Order 43, I wish to raise a matter regarding the need to streamline the pension system in the country. A timely call for saving for retirement is to plan for your future expense. It is believed that approximately 11 per cent of Kenyans rely on pension schemes after retirement. Therefore, the remaining 89 per cent of the employees have no pension plan, placing pension savings in the country below the expected threshold. I am also concerned that many pensioners and their next of kin will not know how much was saved over a ... view
  • 23 Jul 2019 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker, for giving me this opportunity to pursue my Statement. Pursuant to Standing Order No.43, I wish to make a Statement regarding streamlining the pension system in the country. The timely call for saving for retirement is to plan for your future expenses and it is believed that approximately 11 per cent of Kenyans rely on pension schemes after retirement. Therefore, the remaining 89 per cent of the employees have no pension plan, making the pension saving in the country to fall below par. It is also a concern that many pensioners and their next ... view
  • 3 Jul 2019 in National Assembly: I agree with my colleagues. There is no need for the Secretary to swear in commissioners. It is important for the Chair to know his role. Commissioners and senior staff are very few. So, I ask the Chair to drop it. view
  • 3 Jul 2019 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Chairman, it is not even clear. Is it when the Commissioners are being sworn in or is it about chairing the meetings? view
  • 2 Jul 2019 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. I beg to ask the Cabinet Secretary for Agriculture, Livestock, Fisheries and Irrigation: (i) whether he is aware that the staff of the Agricultural Development Corporation (ADC) are being harassed, working without pay and dues, forced to take compulsory leave and face unprocedural dismissal by the management; (ii) whether is further aware that those activities have had severe negative impact on ADC’s operations thus affecting the economy which relies greatly on agriculture; and, (iii) what measures the Ministry is putting in place to ensure that the rights and welfare of staff are safeguarded so as to ... view
  • 24 Apr 2019 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii nichangie Hotuba ya Rais wa nchi ya Kenya. Ninamshukuru Rais kwa kazi nzuri ambayo amefanya katika nchi yetu. Pia, ninachukua nafasi hii kumshukuru Naibu wa Rais wa taifa letu la Kenya. Wenzangu wemeongea mambo kadhaa kuhusu utenda kazi wa Rais na matakwa ambayo ameweka mbele yetu tuone jinsi anapofanya kazi yake. Ninamshukuru kwa sababu ametambua Bunge letu kwa kusema kwamba Miswada 22 imetekelezwa katika Bunge. Ninamshukuru pia kwa kazi yake katika upande wa usalama. Mashinani wameweka mikakati ya kuwa na nyumba kumi kuhakikisha kwamba utekelezaji umefanyika katika sehemu tunakotoka. ... view
  • 24 Apr 2019 in National Assembly: Sisi kama viongozi tumepewa nyadhifa na wapiga kura tuje Bungeni na tunafaa kuwa katika msitari wa mbele kuleta amani na kuhakikisha tuna amani. Rais anataka tuende wote kama viongozi wa nchi hii bila kutenganisha wengine kwa manufaa ya ubinafsi. Pia, ningependa kuguzia elimu katika nchi yetu. Ninashukuru kwa sababu washikadau wanaosimamia elimu nchini wamekuwa katika msitari wa mbele. Sisi kama viongozi tunawaunga mkono ili watoto wetu wapate elimu ya kutosha na wale ambao wametoka katika shule za msingi waingia katika shule za upili. Tunafaa kuhakikisha wamepata haki yao ndio wakitoka hapo waende chuo kikuu na wapate haki zao. Hayo ndio ... view
  • 24 Apr 2019 in National Assembly: Ningependa kumwambia Rais kwamba licha ya kuleta uhusiano mzuri katika Afrika Mashariki, kuna changamoto kwa upande wa Migingo. Migingo ikiwa sehemu ya nchi yetu ya Kenya, tunataka tuone Rais akizungumza juu yake. Nikimalizia, ningependa kuongea kuhusu ufisadi. Jana, nilimsikia Mwenyekiti wa Magavana, Mhe. Oparanya, akisema kwamba mitambo ilikuwa imeletwa katika hospitali ya Kakamega lakini hakujulishwa. Wakati walipeleka vifaa hivyo katika hospitali hiyo, walienda wakaambia machifu… view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus