She has established the Janet Nangabo Foundation, a community based organization specifically created to provide solutions for problems of the Trans Nzoia people.
30 Jul 2020 in National Assembly:
Asante sana Mheshimiwa Naibu Spika kwa kunipa fursa hii kuongelea juu y hii ripoti kutoka kwa kamati ya mazingira katika Bunge letu. Ninaungana na wenzangu kushukuru kamati hii. Imekuwa muda haya mambo ya mabwawa yameleta utata mno. Isingelikuwa ni hii kamati imechukua hiyo nafasi, hatungejua kinachoendelea kuhusu mabwawa haya. Nataka kuungana na wale wamesema kwamba haya mambo ya mabwawa yalikuwa chini ya Kamati ya Kilimo. Ni ukweli hatungejua ni nini kinaendelea. Namshukuru Mwenyekiti na timu yake kwa kutambua kwamba hizi shida zenye Wabunge wametambua katika Bunge hili ni kweli ni shida zile ziko kule chini na haikuwa ni makosa ya ...
view
30 Jul 2020 in National Assembly:
kazi. Ndiyo naunga mkono hii Kamati na kusema kwamba Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikari achukue hatua na kuhakikisha kwamba mtu akipewa kazi lazima aikamilishe.
view
30 Jul 2020 in National Assembly:
Hatuwezi kusema kwamba wananchi hawajajitokeza. Wananchi wako tayari katika sehemu zao. Wabunge kama waakilishi wao wakiona bwawa litajengwa katika sehemu yao wana nafasi ya kuongea na wananchi na kuhakikisha kwamba bwawa nzuri limejengwa. Hatuwezi kuwa tunasema waziri fulani ama kandarasi inatolewe na mtu fulani. Hii ni kwa sababu hawa ni wale watu tu wanaotafuta kazi za maji na wakitoka hapo wanaenda hospitalini ilikujinufaisha wao binafsi. Sio kwamba wanawanufaisha wananchi ambao wanangojea huduma zao kama Wabunge.
view
30 Jul 2020 in National Assembly:
Kulingana na kazi ya Kamati ni vizuri tuwe na mipangilio ya kuhakikisha kwamba serikali za kaunti kwa sababu ndio zinasimamia mambo ya maji ziko na mipangilio mizuri na kwamba wananchi wanapata haki zao. Wajengewe mabwawa ya kuwasaidia kwa ajili ya kilimo na manufaa yao.
view
30 Jul 2020 in National Assembly:
Kwa hayo machache, nasema asante na kuunga mkono Kamati.
view
23 Jun 2020 in National Assembly:
Hon. Deputy Speaker, I rise to ask the Cabinet Secretary for Health: (a) What measures has the Ministry put in place to ensure that families residing in informal settlements and rural areas adversely affected during the COVID-19 pandemic period due to either inaccessibility or long distance to health-care facilities access health care? (b) What measures has the Ministry put in place to address the unequal distribution of resources realised from the COVID-19 Emergency Response Fund to citizens residing in the informal settlements and rural areas? (c) What steps has Ministry taken to guarantee health and safety of persons travelling between ...
view
11 Mar 2020 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairlady. I support the Chair. My colleague has talked about the issue of experience. We are very worried that our youth may be left outside.
view
11 Mar 2020 in National Assembly:
I support the Chair because he has already explained to us that the Board is not in place.
view
27 Nov 2019 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I support the Motion as amended by Hon. Nassir. I agree with my colleagues concerning the matter of the Auditor General. It is very embarrassing for this country to find that we are not working the way our Constitution stipulates. When we talk about this extension, it brings out a lot of issues and it is clear we are not following the Constitution. So, we can allow the Committee to be given the six months they are asking for, but they must work on the timeline so that we can get an Auditor-General as ...
view
27 Nov 2019 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I thought you said we can also touch on the substantive Motion.
view