John Kinyua Nderitu

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 141 to 150 of 2259.

  • 11 Jul 2024 in Senate: Kwa sababu yeye ni mama na waziri wa zamani wa kaunti, aghalabu Waswahili husema, kizaliwacho ni chema kuliko anayekizaa. Hivyo basi Mswada huu utakuwa bora zaidi ya vile alivyonuia na kufikiria. view
  • 11 Jul 2024 in Senate: Asante sana, Bw. Spika wa Muda. view
  • 10 Jul 2024 in Senate: Asante sana Bw. Spika kwa kunipa fursa hii. Kwanza ninamshukuru Seneta wa Jimbo la Mombasa, Sen. Faki kwa kuleta Taarifa hii ya kuadhimisha lugha ya Kiswahili duniani. Changamoto niliyonayo ni kwamba, siku hii haikupewa kipaumbele kwa sababu wengi hawakuijua. Makosa mengine ninayoyaona ni kwamba walienda kuifanyia sherehe hii Pwani. Pengine ingelipelekwa sehemu ambazo watu hawana uzoefu wa lugha hii kama sehemu za Nyeri, Meru ama hata Kisii ambapo Sen. Onyonka anakotoka kwa sababu pale tutaweza kuwa na uzoefu kwa sababu pale watu wako na shida nyingi za maharaja. Kisa na maana ya lugha ya Kiswahili kutokuwa imeshika kasi na kutumiwa ... view
  • 10 Jul 2024 in Senate: Kiswahili inaongelwa katika inchi za Japan, China na hapa Afrika, na kama alivyosema, nchi zaidi ya kumi na nne. Kwa hivyo, tuendelee kukiimarisha Kiswahili hususan hapa Bungeni kwa sababu sisi tunaongea na watu wengi katika jamhuri ya Kenya Katika Bunge lililopita, ninakumbuka kila siku ya Alhamisi, aliyekuwa Spika wa Muda ambaye sasa ndiye anaongea kwa niaba ya Serikali, Mheshimiwa Mwaura, kila wakati alipoketi pale kwenye kile kiti, kila mtu alikuwa anaongea kwa lugha ya Kiswahili. Ingekuwa ni vizuri zaidi. Ninachukua nafasi hii kupongeza Kaunti ya Laikipia haswa Bunge la gatuzi hilo. Lilikuwa la kwanza kutafsiri Kanuni zake za Bunge kwa ... view
  • 10 Jul 2024 in Senate: Thank you, Madam Temporary Speaker. The question that I wanted to ask is the same question that Sen. Boni asked. We need a specificity. At least I am happy that it tabulated the numbers. I wanted him to specify what our 416,058 people are doing, in terms of professionals. Are they teachers, doctors or house helps? Again, when you travel outside, when you meet with our people, most of the people that we talk to do not seem that they are facilitated by our Embassy. Most of them complain that they are humiliated in our embassies. Thank you. view
  • 10 Jul 2024 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii. Nashukuru Bw. Waziri kwa kuja na kuweka maneno paruwanja kulingana na vile Wizara yake iko, kulingana na mambo ya barabara. Swali langu ni kwamba nimesikia Bw. Waziri akisema ya kwamba alikisia atapata Kshs165 bilioni, lakini akapata Kshs50 bilioni. Kuna zile barabara ambazo zinatengenezwa. Bw. Waziri anachagua vipi barababa itakayotengenezwa na ni ile ambayo haitatengenezwa? Ni maswala gani anaangalia? Ile ilianziwa kitambo ama ile ambayo ina shughuli fulani au ni nini anachoaangazia? Hii ni kwa sababu, nimesikia akisema ya kwamba, Seneta wa Nyamira amekuwa akienda kwake ofisini. Mimi pia, nimeenda kwake ofisini ... view
  • 9 May 2024 in Senate: Mr. Temporary Speaker, Sir, I second. view
  • 8 May 2024 in Senate: Asante, Bw. Spika. Ningependa kushukuru Kamati ya Afya na niwaambie kuwa kazi wanayoifanya ni nzuri. Wauguzi, madaktari pamoja na maafisa wa afya ni kiungo muhimu sana katika serikali yetu. Lakini sisi wote tunalipa ushuru na ushuru huo ndio unaotumika kulipa madeni tuliyo nayo. view
  • 8 May 2024 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 8 May 2024 in Senate: Ningependa kuwasihi madaktari pamoja na wauuguzi na wahusika wote, wakubali kurudi katika meza wakubaliane. Tunaelewa kuwa wana yale matakwa ambayo wangetaka yazingatiwe. Lakini kulingana na vile ambavyo yale matakwa ya kwanza waliyoyaongea kama wale interns, walisema wangetaka wote kuajiriwa na vile vile kulipwa takriban shilingi elfu sabini na hayo yalikubalika. Kulingana na vile ambavyo nimesikia ripoti tuliyopewa, ni vizuri wale madaktari na wauuguzi wakubali ya kwamba hakuna mtu yeyote amekataa kusikiliza matakwa yao, lakini kwa wakati huu, kwa vile ambavyo hakuna hela; hela ambazo zimepatika tayari serikali imekubali na vile vile wamekubaliana na wale ambao wanawakilisha madaktari haya mambo yatawezekana. ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus