John Kinyua Nderitu

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 151 to 160 of 2259.

  • 8 May 2024 in Senate: Asante sana Bw. Spika wa Muda kunipa fursa hii. Kwanza namshukuru Waziri wa Usalama kwa kazi nzuri anayotenda. Sio kwa mambo ya mafuriko na usalama peke yake. Swali langu ni hili. Kuna hii Independent Policing Oversight Authority (IPOA). Sijui mnafanya kazi nayo namna gani. Nikitembea Kaunti ya Laikipia, maafisa wengi wa usalama nasikia hawana motisha. Hii ni kwa sababu, juzi mahali panaitwa Kariunga askari wa National Police Reservists (NPR) alipigwa risasi na kuawa. Mahali panaitwa Mutara, mzee wa Kanisa anaitwa Muriuki alipigwa risasi na kuawa. Hapo karibu kuna pia askari polisi wa Anti Stock Theft Unit (ASTU). Lakini, askari wanapofika ... view
  • 24 Apr 2024 in Senate: Asante, Bw. Naibu Spika. Nimemsikia Waziri akisema ya kwamba kuna maktaba ambazo ni za kitaifa na akazitaja ni takriban tatu. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view

  • 24 Apr 2024 in Senate: Nauliza, je, zile zengine zilizoko kwa gatuzi zetu, wanazisaidia vipi kama Serikali kuu? Kitambo, maktaba hizi zilikuwepo lakini zilikuwa zinapata usaidizi kutoka kwa Serikali kuu. Je, tayari Serikali kuu imeleta hela katika kaunti zetu ama bado ziko katika Serikali kuu? Asante, Bw. Naibu Spika. view

  • 23 Apr 2024 in Senate: Alisema hundi. view
  • 23 Apr 2024 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda. Nachukua fursa hii kwanza kabisa kutuma risala za rambirambi kwa wale wameathirika na haya mafuriko. view
  • 23 Apr 2024 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 23 Apr 2024 in Senate: Kwanza kabisa nimpongeza Seneta wa Machakos, Sen. Kavindu Muthama, kwa Hoja hii. Niseme ni kweli kabisa, barabara, daraja, mimea na vikingi vya simu zimebebwa na maji. Kila mahali, haya mafuriko yameleta mahangaiko. Kile ambacho ni cha kuvunja moyo sana ni kwamba kulikuwa na tetesi ya kwamba kaunti zetu zimejikimu vilivyo baada ya kuambiwa na watabiri wa hali ya anga ya kwamba kutakuwa na haya mafuriko. Walisema wamejiandaa vilivyo. Lakini kile tumeona ni watu wetu wakiumia. Shule na barabara zetu zinabebwa na maji. Kisa na maana, hakuna jambo lolote linaonyesha watu walikuwa wamejitayarisha. Mitaro imejaa maji na ilhali tulikuwa tumeambiwa na ... view
  • 16 Apr 2024 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. I concur with what Sen. Wambua is saying. The only thing I want to ask for purposes of clarity--- view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus