4 May 2021 in Senate:
imeandikwa kwa katiba. Hakuvunja sheria yoyote. Katiba yasema kuwa pesa chache zaidi zinazopaswa kwenda kaunti ni asilimia kumi na tano. Kwa hivyo tunaweza kuongeza kutoka asilimia 15 kwenda mbele. Kwa hivyo sioni mbona ni lazima hili jambo hili liandikwe katika katiba yetu.
view
4 May 2021 in Senate:
Kumekuwa na shida Kenya baada ya ugonjwa huu kuja kwa sababu kupata hela imekuwa ni kizungumkuti. Tungengoja kidogo kwa sababu hakuna mtu ambaye anasema kwamba kuna ubaya iwapo asilimia 30 itaenda mashinani. Hil ni nzuri tena sana lakini ni lazima uangalie eti unasema hayo maneno wakati gani.
view
4 May 2021 in Senate:
Kuna mambo ya ombudsman ambayo ni kizungumkuti. Ndugu zangu wameongea sana kuhusu mambo hayo. Ni vizuri tuwape wanasheria wetu uhuru wa kufanya kazi zao.
view
4 May 2021 in Senate:
Naunga kuongeza maeneo bunge mia kwa mia. Hii ni kwa sababu Laikipia, Ruiru, Kieni na Kipipiri zina watu zaidi. Ni vizuri tujue ya kwamba huduma inapewa watu na sio sehemu. Hapo ndipo tulisimama kidete tukisema, ‘ one man, one vote, oneshilling.’ Hii ni kwa sababu afya inapewa mwananchi na mwananchi ndiye atapita katika hiyo barabara. Hii ndio kwa sababu mimi naunga mkono kuongezwa kwa hayo sehemu 70. Eneo bunge ya Laikipia Magharibi iko na watu zaidi ya 100,035 na wanawakilishwa na Mbunge mmoja. Katika sehemu zingine humu nchini, utapata ya kwamba mbunge anawakilisha watu 40,000. Kwa hivyo, lazima tutoshane. Waswahili ...
view
4 May 2021 in Senate:
Hii ni kwa sababu huyo mjumbe wa kaunti ndiye anafahamu sehemu aliyotoka na anajua mahitaji ya watu wake kama maji ama barabara. Sen. Kang’ata alikuwa ameleta huo mswada lakini sasa iko katika BBI na tutaiweka mkazo ndiposa tuweze kuipitisha. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
4 May 2021 in Senate:
Ingekuwa vizuri kama tungeweza kuangalia kila kipenge cha hii BBI na kuweka kile kizuri. Tungepitisha sukari na kuondoa chumvi kwa sababu ingekukera kidogo. Hiyo ingetufaidi zaidi. Tumekuwa hapa tukijadili mambo haya---
view
4 May 2021 in Senate:
Pole sana, Bw. Spika wa muda. Sikumaanisha hivyo. Nilikuwa ninalinganisha. Sikumaanisha ya kwamba huwezi kustahimili chumvi. Marekebisho yaliyoko katika Katiba ambayo tunajadili siku ya leo inasema ya kwamba kaunti haiwezi ikapata mara tatu ya vile ambavyo pesa zimepeanwa. Ni vizuri hii ijulikane na ninaiunga mkono kwa sababu sisi sote tuko sawa katika nchi hii. Sehemu ambayo ninawakilisha imebaki nyuma kwa muda mrefu. Sehemu ambayo mimi nawakilisha imebaki nyuma kwa muda mrefu. Wakati umefika wa sisi kuweza kunufaika kwa sababu sisi wote ni Wakenya na Wakenya wote wana haki ya kuamini kwamba sisi sote ni Wakenya. Ninajua Kaunti ya Kiambu nyinyi ...
view
28 Apr 2021 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, as a follow up to what the Senator for Vihiga and Sen. Cheruiyot said, we need more time. We also need the document. Once we have it, we should be given time during the morning hours to read it. From 2.30 p.m., we can have the Kamkunji for the Co-Chair to take us through the Report since he has more information about it.
view
28 Apr 2021 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir.
view
28 Apr 2021 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, Sen. Sakaja made a request which was not answered. He does not know where he stands.
view