29 Jan 2020 in Senate:
Bw. Spika, wananichanganya. Unapaswa kuniteatea.
view
29 Jan 2020 in Senate:
Bw. Spika, kwa hivyo, sisemi ya kwamba Gavana Waititu asisulubiwe. Lakini, kama vile Mahakama Kuu ilisema, mpaka maafikiano na mambo yafuatwe vizuri kabla ya kufanya chochote kwa sababu matokeo yake yatategemea kama tutakuwa tumefuata sheria. Wanasema tumsulubishe lakini, ndugu zangu, ni vizuri kuangalia sheria kwa sababu mambo yote yanapaswa kulingana na mujibu wa sheria zilizowekwa katika nchi yetu ya Kenya.
view
5 Dec 2019 in Senate:
Asante sana, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Naunga mkono Ombi hili. Hili ni jambo ambalo limekuwa la kawaida, kwa watu kutimuliwa bila kufuata mikakati mizuri. Unapata kwamba ukitembea katika sehemu za nchi ukienda Mlimani Marmanet na Sori, watu wanafukuzwa na wamepelekwa huko, lakini unapata hakuna shule ama hosipitali. Watu wanaishi maisha ya ufukara, na ni aibu, kwa sababu Serikali inafaa iwe na mikakati iliyowekwa vizuri. Kabla mtu yeyote hajafukuzwa, lazima mambo ya shamba yafuatwe, na mahali wale watu watakapopelekwa ijulikane ni wapi. Baada ya hiyo, wanaondolewa wakizingatia kanuni za kibanadamu, badala ya kuwafurusha watu kama wanyama. Serikali yoyote inapotengenezwa, ...
view
5 Dec 2019 in Senate:
Mr. Speaker Sir, I beg to lay the following Paper on the Table of the Senate today, Thursday 5th December, 2019:-
view
5 Dec 2019 in Senate:
The report of the Standing Committee on Devolution and Intergovernmental Relations on the delayed handover of the Lake Basin Mall in Kisumu County.
view
3 Dec 2019 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir. I would like to know whether there are rules of the hairstyle that people should have. Is the Member’s hairstyle acceptable?
view
3 Dec 2019 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I am just seeking guidance.
view
28 Nov 2019 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir. We are expected to just make comments on the Statement. It is not a Motion that needs to be discussed. Fellow Senators are making long contributions yet we were just supposed to make brief comments.
view
28 Nov 2019 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir, for giving me this opportunity to support this Statement by Sen. Mwangi. It is a timely Statement because the issue of milk prices has become a problem in this country.
view
28 Nov 2019 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, please protect me.
view