John Kinyua Nderitu

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1951 to 1960 of 2259.

  • 27 Nov 2019 in Senate: Sen. (Dr.) Musuruve. This is on whether there is discrimination in this House because I did not get it clearly. view
  • 27 Nov 2019 in Senate: Whether there is discrimination in this House because I did not get her clearly. view
  • 26 Nov 2019 in Senate: Asante, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa nafasi hii. Kwanza kabisa, mimi sio Mwanakamati wa Kamati inayoongozwa na Sen. Cherargei. Katika vyombo vya habari, wameangazia na kunionyesha kama mhusika mmoja wa wale ambao--- view
  • 26 Nov 2019 in Senate: Bw. Naibu Wa Spika, mimi sio mmoja wao. Jambo lingine ni kwamba, nimekuwa nikishambuliwa mithili ya nyuki na Maseneta akina mama. Wamekuwa wakitumia picha za maktaba. Nitawashtaki wanahabari kwa kusema yale The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 26 Nov 2019 in Senate: ambayo sikusema. Wacha niseme vizuri na ijulikane wazi kwamba mimi sio Mwanakamati. view
  • 14 Nov 2019 in Senate: Asante Bw. Spika kwa fursa hii. Naungana nawe kuwakaribisha wenzetu, hasa hawa majirani kutoka Kaunti ya Nyandarua. Karibuni muone vile tunavyo tekeleza mambo katika Seneti. Seneta was Nyadarua, Mhe. Mwangi, ni mkakamavu anayepiga mijadala hapa kwa njia ya weledi na uadilifu. Ni mtu aliye jitolea kabisa na anasema maneno yalivyo bila kusita sita. Bw. Spika, naungana nawe kwa kuwakaribisha sana waweze kuona tunavyo endeleza mijadala hapa. view
  • 14 Nov 2019 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. view
  • 14 Nov 2019 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I heard the Senator say he is young and that Sen. Mwangi is his brother. I think he is supposed to say he is the father! view
  • 14 Nov 2019 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I did not get on what point of order Sen. Haji arose, because it is Sen. Mwangi who was talking. There was nothing wrong with what he was saying. view
  • 12 Nov 2019 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I take this opportunity to welcome the delegation to the Senate. I rise, pursuant to Standing Order No. 51(1) (b) to make a Statement on the activities of the Standing Committee on Devolution and Intergovernmental Affairs for the period commencing 1st July, 2019 to 30th September, 2019. During the period under review, the Committee held a total of nine sittings, considered one Bill, one Statement and two Petitions. In respect of Bills, the Committee considered the National Assembly amendment to the County Government (Amendment No. 2) (Senate Bills No. 7) 2017 which was sponsored by ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus