13 Mar 2019 in Senate:
Asante sana, Bw. Naibu Spika kwa kunipa fursa hii. Kwanza kabisa ninataka kumshukuru Sen. Khaniri, kwa Statement ambayo ameleta. Ningependa kusema kwamba mimi nikiangalia kwa marefu na mapana mambo haya yameangaziwa vizuri; yote ni ukweli mtupu. Kenya kumekuwa na vikundi vingi na kwanza kabisa ninataka kutuma risala zangu za rambirambi kwa wale waliovamiwa pale Kililingili. Ninasema, pole sana kwao. Lakini ukiangalia Kenya kuna vikundi vingi kama vile Mungiki, Chinkororo na vinginevyo. Vikundi hivi vimekuwa vikiongezeka sana kwa sababu ya ukosefu wa kazi kwa vijana wetu. Ninataka kukemea hivi vikundi kwa sababau ukitembea, kwa mfano, kule Laikipia, utapata kuna vikundi vingi, ...
view
13 Mar 2019 in Senate:
Nikiwa kama Mwenyekiti wa Ugatuzi, nimeskia Sen. Nyamunga akisema kwamba, ufisadi bado uko katika Serikali kuu, lakini ninataka kumwambia kwamba, akitembea pale katika kaunti, kuna ufisadi si haba. Asante.
view
12 Mar 2019 in Senate:
Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. I add my voice in telling the executive in Mombasa that the county assembly has its own and separate power to oversight the county government. As the Chairperson of the Senate Committee on Devolution and Intergovernmental Relations, I wish to tell my colleague, Sen. Faki, that we will join him and go to Mombasa, so that we can get to the root cause of what is happening there.
view
12 Mar 2019 in Senate:
I thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir.
view
12 Mar 2019 in Senate:
Madam Temporary Chairperson, I beg to move:- THAT, Clause 2 be amended by inserting the definition of the word “county public officer” in its proper sequence— “county public officer” has the meaning assigned to it under the County Governments Act.
view
26 Feb 2019 in Senate:
Asante sana, Bw. Spika. Ninachukua fursa hii kuwaalika ndugu zetu wa kutoka Kaunti ya Kirinyaga. Kuna watu ninawajua vizuri kwa sababu niko na shughuli zangu huko Kirinyaga. Watu wa Kirinyaga ni watu ambao wanajitolea na wanawapenda wageni. Mimi kama Mwenyekiti wa Kamati ya Ugatuzi, ninaichukua fursa The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
26 Feb 2019 in Senate:
hii kusema kwamba tumeweka mipangilio dhabiti na nina hakika kile kikao kitakuwa cha kufana. Nina uhakika kwa sababu ninajua ukarimu wa watu wa Kirinyaga. Tutajumuika sisi sote kama Seneti katika kikao hicho.
view
26 Feb 2019 in Senate:
Asente sana, Bw. Spika.
view
22 Nov 2018 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir. I rise to issue a Statement relating to the activities of the Standing Committee on Devolution and Intergovernmental Relations, pursuant to Standing Order 51, for the period from 9th August to 9th November, 2018.
view