John Kinyua Nderitu

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 2201 to 2210 of 2259.

  • 7 Jun 2018 in Senate: Ahsante sana, Bi. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii. Kwanza ningependa kumshukuru Sen. Mercy Chebeni kwa kuleta Mswada huu. Wanuame ambao kazi yao ni kuwanajisi watoto sio wanaume, bali wao ni wanyama. Wanyama ni bora kuwashinda kwa sababu huweza kutofautisha kati ya watoto na watu wazima. Tabia za wanaume wanaofanya kazi hii imedorora. Mtu anapomnajisi mtoto, jambo la kwanza linalopaswa kufanywa ni kumpeleka katika hospitali inayoshughulikia walio na upungufu wa ubongo ili tuweze kuidhinisha kwamba vichwa vyao ni timamu. Tunaweza kuwa tunazungumzia watu ambao wako na akili punguani. Tabia hii inafanyika kote nchini kama vile Nairobi na maeneo mengine. ... view
  • 5 Jun 2018 in Senate: Asante sana Bw. Naibu Spika. Mimi ninasimama kuunga mkono Hoja hii. Kwanza kabisa, ninamshukuru Seneta wa Kaunti ya Nakuru, Sen. Kihika, kwa kuleta Hoja hii. Ninasema tena, pole kwa wale waliopatwa na janga hili pale Solai, Nakuru. Kwanza ningependa kusema ya kwamba, itakuwa ni vizuri kama vile Spika alivyosoma akatuambia kwamba tunaweza kuongeza majina. Kwangu itakuwa ni kosa kama tutapitisha haya majina bila kumwongeza Seneta wa kutoka Kaunti ya Tana River. Hii ni kwa sababu, ukiongea kuhusu mambo ya mvua kunyesha na watu kubebwa hata na maji, yeye mwenyewe anauzoefu, anaujuzi na watu wake wamekuwa wakikumbwa na hilo janga mwaka ... view
  • 5 Jun 2018 in Senate: Asante sana Bw. Naibu Spika. Umenijibu kikamilifu. Nakubaliana nawe mia kwa mia. Kwanza kabisa, kuhusiana na janga la bwawa la Solai, idara husika zilifanya kazi duni kabisa. Zimezembea katika kazi, hasa halmashauri ya WARMA. Walikuwa wamepeana leseni kwa bwawa ambalo lilivuja na baadaye maji yake yakawasomba watu. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 5 Jun 2018 in Senate: Kwa hivyo ni vizuri sisi sote tufuate sheria. Sheria ya Kenya ni dhahiri kabisa. Tunapaswa kuishi kama Wakenya kwa mujibu wa sheria zilizowekwa na tuzifuate ipasavyo. Ninaunga mkono Hoja hii. Hii kamati ambayo tumeteua siku ya leo ifanye kazi yake na wafuatilie vizuri kisa na maana ya jambo hili kutendeka. Kusisemekane huyu ni muungwana ambaye ni mmiliki wa mabwawa. Mkifika pale anapaswa kuulizwa maswali na ajibu vililvyo ili ijulikane wazi asiwe yeye maisha yake ni mazuri zaidi kushinda wale wengine. Inasemekana kwamba kwa sababu ana yale mabwawa anaajiri vijana wawili kazi, anajenga shule na hospitali. Hospitali tutazitengeneza za nini ikiwa ... view
  • 5 Jun 2018 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 5 Jun 2018 in Senate: Bw. Naibu Spika, ni vizuri nimweleze Seneta wa Kaunti ya Nairobi ya kwamba haya yalisemwa na Mswahili wa kutoka Mlima, pale Unguja. Aliyesema vizuri kabisa. Ni vizuri aviangalie vitabu vyake vya Kiswahili. Ataona hivyo. view
  • 17 May 2018 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. From the onset, I want to support what Sen. Sakaja has brought to this House. As the Chairperson of the Committee on Devolution and Intergovernmental Relations, I want to assure him that I will take seriously what he has said. I will invite the Cabinet Secretary (CS) involved so that he can shed more light. I want to be very honest that we are not getting water and when one does, it is very expensive. I am finding milk a bit cheaper than water. Therefore, in the near future, I am wondering whether I will ... view
  • 17 May 2018 in Senate: Thank you, Madam Temporary Speaker. From the onset, I am standing to support the adjournment Motion because the Legislative Summit is our baby, unlike the Devolution Conference where we were invited guests. We will be dealing with our colleagues in this Summit and will be discussing the issues of representation, oversight and legislation with our partners. We will be dealing more with oversight for it is our duty as Senate to ensure that the money that goes to the counties is properly utilized and used for the intended purpose. The MCAs, being in the day to day running of the ... view
  • 17 May 2018 in Senate: For the Senate to be successful, we have to make sure that we make the MCAs successful, for in so doing, we will be reducing the workload that comes to the Senate which is not well looked into. I support the Ward Development Fund (WDF) which will The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate view
  • 15 May 2018 in Senate: On a point of order Madam Temporary Speaker. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus