11 Jul 2018 in Senate:
Asante sana, Bwana Spika. Nataka kujumuika nawe pamoja na wenzangu kuwakaribisha wageni kutoka katika Kaunti za Busia na Trans Nzoia. Nawashukuru kwa sababu nilitembea katika Kaunti za Trans Nzoia na Busia, na niliona kuwa nyinyi ni watu wakarimu kabisa kwa sababu mulinikaribisha. Kwa hivyo, nami nachukua fursa hii kuwakaribisha hapa na kuwaambia kwamba sisi, kama Seneti, tumejitolea kutetea ugatuzi. Bw. Spika, kama Mwenyekiti wa Kamati ya Ugatuzi na Uhusiano wa Serikali, nawajulisha kwamba ugatuzi uko katika mioyo yetu; ni haki yetu kuutetea ugatuzi kikatiba na ni lazima tufanye kazi hiyo. Tutaweza kufanya kazi hii tukishirikiana nanyi, kwa sababu nyinyi ndio ...
view
11 Jul 2018 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, it is in order for the Senator for Machakos County to talk about witchcraft because he is versed with it.
view
21 Jun 2018 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir. The Chairperson is reading the Report, yet he had already tabled it. We can read the Report for ourselves.
view
21 Jun 2018 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I beg to give Notice of the following Motion:- THAT, AWARE that National Forum of Former Councilors petitioned the Senate regarding the need for legislative interventions to address the plight and welfare of former Councilors; FURTHER AWARE that the Senate Standing Committee on Labour and Social Welfare considered the Petition and tabled its report on Tuesday, 16th February, 2016; ACKNOWLEDGING that the Committee’s report on the Petition made five recommendations among them that- 1. a one-off honorarium of Kshs1.5 Million be paid to former councilors who served a minimum of one term since independence; and 2. monthly ...
view
19 Jun 2018 in Senate:
Asante sana, Bw. Spika. Nataka kujumuika na wenzangu kutuma risala zangu za rambirambi kwa familia ya Sen. Okello pamoja na watu wa Kaunti ya Migori. Yeye ni mtu ambaye alikuwa amechaguliwa pale na aliyejitolea kuwafanyia wananchi kazi. Tutaungana na watu wa Kaunti ya Migori na kushirikiana nao wakati huu mgumu. Hili ni pigo kubwa sana. Hili linapaswa kuwa funzo kwetu kuhusu huu ugonjwa wa saratani. Ugonjwa huu umekuwa changamoto na kizungumkuti kwa kuwa kila wakati unawaangamiza Wakenya. Baada ya miaka 50 ya Uhuru, bado tuko pale pale kana kwamba tunachechemea. Wakenya wengi wanasafiri kutafuta matibabu katika nchi za Ulaya, India ...
view
13 Jun 2018 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir. I want to thank Sen. Halake for bringing this Petition. From the outset, Laikipia is the home of conservancies. We have The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
12 Jun 2018 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I beg to lay the following Paper on the Table of the Senate today, Tuesday, 12th June 2018. Report of the Standing Committee on Devolution and Intergovernmental Relations on Consideration of County Boundaries Bill (2017)
view
12 Jun 2018 in Senate:
Ahsante Bw.Spika. Nasimama kuunga mkono Taarifa hii kwa kusema ya kwamba nchi yangu ya Kenya ni nchi ambayo ni ya ajabu. Ni kama nchi ya kusadikika. Ukweli ni kwamba nikama tumeadhiriwa na ukoloni mamboleo kiasi cha kwamba hakuna kitu ambacho tunakithamini hapa nchini. Ni lazima tutafute kitu kinachotoka ughaibuni ndiposa tusema ya kwamba tunaendelea vizuri. Kwa hivyo, ukiona mambo kama haya yakitendeka, inaonekana ufisadi unakithiri. Kwa hivyo, nivizuri tujiamini kwanza. Inaonekana kwamba tunaendelea na ukoloni mamboleo. Tumepeleka fikira zetu na imani yetu yote ughaibuni. Kile ambacho tunafaa kufanya ni kujiamini. Nilienda Ujerumani na ndugu yangu Sen. Mutula Kilonzo Jnr. ambako ...
view
7 Jun 2018 in Senate:
On a point of order, Madam Temporary Speaker.
view
7 Jun 2018 in Senate:
Madam Temporary Speaker, I thought you said that we should just make a comment but this is now taking too long.
view