14 Jun 2023 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I just wanted to inform Sen. Wambua that governors and Members of the County Assembly (MCAs), from where I sit, are two distinct institutions. That is why we have Council of Governors (CoGs) and MCAs sitting differently.
view
14 Jun 2023 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir. I join my colleagues in thanking the Cabinet Secretary for coming. It beats logic because most of the time in the news, you will see people suffering from hunger in some ASAL areas. In the same breath, other parts of this country such as Uasin Gishu and Laikipia counties have bumper harvests. I encourage the Cabinet Secretary that we buy rice locally instead of importing. Farmers in Mwea keep complaining about the low prices. In Uasin Gishu County, it is the same thing on the prices of maize. Laikipia County can provide protein. From our ...
view
7 Jun 2023 in Senate:
Asante sana, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Ninachukua fursa hii kuleta risala za rambirambi za familia yangu pamoja na watu wa Kaunti ya Laikipia. Bw. Spika, ninataka kuungana nawe kusema pole kwa familia kwa sababu ninamjua vizuri sana Bi. Marya. Muda uliopita, nilipokuwa Spika wa Muda, tulifanya naye kazi vizuri kwa karibu na nilimjua kama mtu aliye makinika katika kazi yake. Sitasahau ya kwamba, Bi. Marya aliongea kwa lugha ya Kiingereza akimakinika kabisa. Ninakumbuka vizuri sana kila wakati nilipokuwa pale akija, alikuwa akinileleza kwa sababu ilikuwa mara yangu ya kwanza kuketi katika kiti hicho, nilimtegemea yeye sana. Namkumbuka nikiwa ...
view
31 May 2023 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir.
view
31 May 2023 in Senate:
Bw. Spika, nasimama kwa hoja ya nidhamu kulingana na Kipengee 105 cha Kanuni za Kudumu. Sen. Madzayo amesema kwamba uchungu wa mwana aujuaye ni mama. Ukweli ni kwamba uchungu wa mwana aujuaye mzazi. Mzazi anaweza kuwa wa kiume au kike. Nimechanganyikiwa niliposikia akisema kuwa uchungu wa mwana aujuaye ni mama.
view
30 May 2023 in Senate:
Asante. Bw. Spika. Ninaunga mkono Kauli ambayo imeletwa na Sen.Cherarkey kuhusu mashirika ambayo yanajihusisha na kuajiri wananchi.
view
30 May 2023 in Senate:
Mashirika haya yanapaswa yapigwe msasa na yaangaliwe kwa undani. Mashirika mengine yamekuwa yakijihusisha uporaji, kuwaibia na kuwalaghai wananchi wa Kenya. Kwa hivyo, Serikali inapaswa ishughulikie jambo hili kwa sababu wananchi wengi wamekuwa wakigandamizwa na mashirika haya. Katika nchi yetu ya Kenya, watu wengi wanatafuta ajira. Mashirika haya yanachukua jukumu hilo kwa sababu wanajua watu wengi wanatafuta ajira. Mashirika haya wanawaitisha hongo na pesa watu wanaotaka kuajiriwa. Jambo la kuvunja moyo zaidi ni kwamba mashirika haya hayawatafutii Wakenya kazi baada ya wao kujitolea mhanga kuwapa pesa zao. Wanabaki kuwalaghai watu wetu. Ni vizuri mashirika haya ambayo yanajihusisha na hayo mambo, yakuwe ...
view
30 May 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
30 May 2023 in Senate:
(UDA ) na anazingatia watu walio chini. Ninashukuru na ninasema asante kwa Sen. Cherarkey.
view