3 Apr 2025 in Senate:
Haya mapendekezo yakipelekwa katika kamati kunapaswa kuletwe mapendekezo yatakayosema hata machifu wanapaswa warejeshewe wale maafisa wao. Kama sio hivyo, machifu wapewe bunduki kwa sababu wanatumika vizuri. Sio tu kwa mambo ya usalama. Hata nakumbuka tulipokuwa wanafunzi tukiwa pale chuoni, kila wakati ukitaka kujaza bursary, chifu angeulizwa kwa sababu anajua kila mwanafunzi na kila mzazi katika sehemu yake. Angeweza kueleza kwa ufasaha ni nani huyu, je kwao ni maskini ili ajulikane vizuri.
view
3 Apr 2025 in Senate:
Bw. Spika, naunga mkono Kauli hii ambayo imewasalishwa na Sen. Mwaruma na kukabidiwa Kamati husika. Nawaahidi tutaiunga mkono.
view
3 Apr 2025 in Senate:
Madam Temporary Speaker, I want to support the Vice- Chairperson of the PSC. The truth of the matter is that the letter can be written to the Chairman of the PSC. Many letters that are written to this House are normally written to the Clerk. If it is the Clerk of the National Assembly. When I was a commissioner, we interviewed some of the commissioners seated there. In fact, it is the commission that pays for the sitting allowance. So, I am sure, as I speak, unless it has changed, and it must have changed yesterday, that letter must have ...
view
3 Apr 2025 in Senate:
Madam Temporary Speaker, I had said this before and I will repeat. In this Senate, the Speaker does not receive letters. Letters are sent to the Clerk. In fact, from what he has said---
view
3 Apr 2025 in Senate:
Madam Temporary Speaker, protect me from hecklers.
view
3 Apr 2025 in Senate:
Madam Temporary Speaker, the reason I am saying this is because if you look at this letter because now I can see the content. It was written to the Chairman of the PSC and that is why you are seeing the Clerk of the Senate is written here. It is clearly written “Clerk of the Senate and Secretary of the Commission” because it followed well. The person who was being written this letter is the Chairman of the PSC and being copied to the Secretary of the PSC. There is no time---
view
27 Mar 2025 in Senate:
Asante, Bw. Naibu Spika kwa kunipa fursa hii. Mwanzo, ningependa kuunga mkono Mswada huu, na vile vile kupongeza Kamati ya Seneti ya Fedha ana Bajeti amabyo inaongozwa na Sen. Roba, kwa kazi nzuri ambayo wamefanya. Jukumu letu kubwa kama Seneti kulingana na Kipengee 96 cha Katiba, ni ugavi wa pesa ambazo zinaenda katika gatuzi zetu na kutetea na kulinda gatuzi zetu. Kiranja wa Wengi, Sen. (Dkt.) Boni Khalwale, amesema ya kwamba sisi ni maadui wa gatuzi. Ningependa kumkosoa kwa sababu sisi sio maadui. Sisi hutetea na kuzilinga gatuzi zetu dhidi ya maadui zake. Bw. Naibu Spika, napongeza vile ambavyo wauguzi ...
view
27 Mar 2025 in Senate:
Ningependa kuangazia CAIPs ambazo zinajengwa ili kuongeza dhamana ya bidhaa zetu. Sijafahamu ujuzi ambao kamati hii ilitumia kuchagua gatuzi ambazo zitapewa hela hizi. Kumbuka kule kwetu Laikipia eneo la Rumuruti, aliyekuwa Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe. Moses Kuria alikuja na kufungua sehemu ile na zaidi ya The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.
view
27 Mar 2025 in Senate:
ekari 300 zikatengwa kwa sababu ya ujenzi huu. Kulikuwa na sherehe kubwa na mbwembwe. Tulijitolea na kutenga sehemu ile kwa sababu tuna shamba kubwa.
view