John Kinyua Nderitu

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 51 to 60 of 2259.

  • 27 Mar 2025 in Senate: Serikali kuu iliahidi kutoa shillingi millioni 250 kwa kila gatuzi. Naangalia Mswada huu na naona kuna gatuzi 19 ambazo zimepewa pesa hizi. Sen. (Dr.) Khalwale, amesema tuwe na subira kwa sababu hata kaunti yake haijapewa zile hela, tutaangaliwa kwenye ule Mswada mwingine. view
  • 27 Mar 2025 in Senate: Swali la muhimu ni hili. Sehemu hizi zimetengwa, tumejua ni bidhaa zipi ambazo tutakuwa tunaongeza dhamana? Tunaweza kujenga, Serikali kuu ilete pesa lakini sehemu hizi zibaki kuwa mahame. Tumeona mambo mengi kama nyumba kujengwa lakini zinabaki kuwa mahame. view
  • 27 Mar 2025 in Senate: Tukigawa pesa hizi kwenda katika gatuzi zetu, sehemu zile zitumike vizuri. Isiwe tu ni kutengeneza sehemu za kuongeza dhamana kwenye bidhaa zetu na hatuna chochote cha kuongeza dhamana. view
  • 27 Mar 2025 in Senate: Kaunti ya Laikipia tunakuza nyanya na sisi ni wakulima wa mifugo. Itatubidi tuchague ni kipi ambacho tutaongeza dhamana. Kaunti ya Uasin Gishu wajue ni bidhaa gani wataongeza dhamana ili tusifanye jambo moja sisi wote. Pia kaunti ya Narok inaweza chagua kama ni ng’ombe ama maziwa. Tunashabikia Narok wafanye ile kazi. Kaunti ya Nyamira unapata ni mandizi inaongezwa dhamana. Lakini isiwe ukienda kwenye Kaunti ya Narok, Kisii na Nyamira wote wanaongeza maziwa dhamana. Hii itakuwa ni kazi bure. Lazima tujipange ili tujue ni kaunti ipi itafanya nini. view
  • 27 Mar 2025 in Senate: Naunga mkono RMLF. Barabara zigawanywa vizuri kama za gatuzi na Serikali kuu. Pia gatuzi zetu zinahitaji zile pesa. Hivi juzi Waziri wa Barabara alikuja na kutuambia kwamba shillingi saba zitatumika kulipa madeni ya Serikali kuu. Lakini hata gatuzi zetu zina madeni. Sisi Wakenya tumetoa shillingi saba kama ushuru wa mafuta tukinunua. Pesa hizi zinafaa kaunti zipate mgao wao. Nikiangalia katika ratiba ya pili, Kaunti ya Laikipia kulingana na ugavi wa fedha hizi za RLMF, tungepewa shillingi millioni 235. Naomba korti zetu ziharakishe kusikiliza kesi hii ili tupate mgao huu. Nitasimama kidete kwa sababu barabara za Laikipi ziko hali mbaya. Bunge ... view
  • 27 Mar 2025 in Senate: Bw. Naibu Spika, huwa napitia Ol Kalou nikienda kwetu Laikipia. Naona jumba lile na wasipopewa pesa litakuwa mahame. Ni vizuri hili jambo liangaliwe kikamilifu. Naunga mkono Mswada huu. view
  • 19 Mar 2025 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order No.53 (1) to seek a Statement from the Standing Committee on Agriculture, Livestock and Fisheries regarding the shortage of certified seeds at the Kenya Seed Company Limited. In the Statement, the Committee should address the following- (1) The current shortage of certified maize seeds at the Kenya Seed Company Limited. (2) The measures in place to ensure the availability of seeds in the view of approaching planting season. (3) The availability and quality of other certified seeds at the said company. I thank you. view
  • 19 Mar 2025 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order No.53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on National Security, Defence and Foreign Relations regarding the insecurity and misconduct of certain police officers in Murang’a County. In the Statement, the Committee should address the following- (1) The circumstances surrounding the death of Ms. Joychister Muthoni, a Grade 8 pupil at Wambwe Primary School that occurred in Wambwe Village, Mathioya Constituency on 7th January, 2025, including the actions being taken to expedite the investigation into the death and ensure that the perpetrators are apprehended and brought to book. The electronic ... view
  • 19 Mar 2025 in Senate: (2) The intimidation and arrests of Ms. Ejidia Wairimu, Ms. Lucy Murage and Ms. Nancy Njoki on 25th February, 2025 following their comments in media regarding the death of Baby Ezra Wamaitha from Maragua Town and overall rise in insecurity in Muranga County, explaining the measures put in place to safeguard the constitutionality- guaranteed freedom of expression. (3) The disciplinary action taken against Mr. James Wahome, who was recently transferred from Kanyenyaini Police Station in Kanyenyaini Ward, Kangema Constituency, following multiple complaints by some residents who reported being assaulted and brutalised by police officers on diverse dates between 30th December, ... view
  • 19 Mar 2025 in Senate: Asante Bw. Spika wa Muda. Nashukuru kwa ripoti zilizoletwa, lakini ni kazi bure ikiwa tutafanya mikutano hii ilhali uhusiano wa biashara hauonekani kwa Wakenya ama wananchi wa nchi husika. Majukumu makubwa ya miungano yoyote inayofanywa ni kuleta manufaa kwa wananchi wa nchi husika. Hii ni kwa sababu wale waliotuchagua na kutuweka katika nyadhifa hizi wamefanya hivyo ili tuinue hali yao ya maisha. Nashukuru kwa sababu mikutano mingi The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus