John Kinyua Nderitu

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 61 to 70 of 2259.

  • 19 Mar 2025 in Senate: inayofanywa inaleta mahusiano mazuri. Vilevile inafanya nchi husika kuondoa vikwazo vya kibiashara na uhusiano. Nashukuru vile Naibu Spika wetu amesema kwamba katika mikutano aliyohusika walichagua viongozi wa nchi zingine. Huu uhusiano usionekane tu katika biashara, bali hata wakati wa shida. Ikiwa nchi jirani wana shida ama majanga, wanaweza kupata mahali ambapo pana usalama na hali nzuri. Sitaki kuongea mengi kwa sababu jambo kama hili litasaidia sana wahusika. Kwa mfano, tukitengeneza reli kutoka Mombasa, ipitie Naivasha na iende hadi Kisumu mpaka nchi jirani, itasaidia Wakenya. Kwa hivyo, ni vizuri mikutano na uhusiano huu unaoendelea uwe unawahusisha wananchi wa nchi husika. Nashukuru ... view
  • 19 Mar 2025 in Senate: Mr. Temporary Speaker, Sir, I listened to the good Senator for Nyandarua County, Sen. John Methu, saying you indulge him, but what he said, I did not understand. Does it relate to this Senate? How does it relate to this Senate or to what he is about to present? Maybe, he can clarify. view
  • 13 Mar 2025 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Nasimama kuchangia taarifa iliyowasilishwa na Sen. Mundigi kuhusu Hazina ya Afya. Wazee wengi ambao wamefikisha umri wa miaka 70 wanaishi kwa hali ya uchochole na umaskini. Kwa hivyo, naunga mkono ya kwamba Kamati itakapokuwa ikishughulikia jambo hili ishughulikie kwa dharura ili wananchi wa Kenya au wazee wetu ambao ni wakongwe waweze kulipiwa hazina ya afya na serikali, kwa sababu hata yale malipo ya uzeeni wakongwe wanapaswa kupatiwa inakuwa ni vigumu sana kwao kupata. Wanakaa miezi mingi bila kulipwa, ilhali hao wazee ni rahisi sana kupata magonjwa kwa sababu unapoendelea kukua kwa miaka, huwezi ... view
  • 12 Mar 2025 in Senate: On a point of order, Mr. Temporary Speaker, Sir. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only.A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and Audio Services,Senate. view
  • 12 Mar 2025 in Senate: Mr. Temporary Speaker, Sir, I am cornered. I am reading this Bill, but what I am gathering from the good professor is, are we talking about library or museum? She is talking about culture, heritage and languages. I have listened to her keenly and I am following closely because she is a professor and we are in the same Standing Committee on Education. What is the need of ICT in every ward? With ICT, I can read every document. However, museums have old encyclopedia, which are not updated if that is the situation. I do not understand why we are ... view
  • 12 Mar 2025 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii kuchangia Mswada huu kuhusu huduma za maktaba katika kaunti zetu. Kwanza, ningependa kumpongeza The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only.A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and Audio Services,Senate. view
  • 12 Mar 2025 in Senate: Sen. Joyce Korir kwa kazi nzuri aliyofanya. Hakuna kitu hata kimoja kwa wakati huu ambacho kinazuia magavana wa kaunti zetu kuhakikisha kuwa kuna maktaba katika kila wadi katika kaunti zetu. Yote tisa, kumi ni ukweli. Nakubaliana na Sen. (Prof.) Kamar kuwa mwacha mila ni mtumwa. Vile alivyosema, ukisoma Kipengee cha tatu inamaanisha kwamba tutakuwa tunahifadhi desturi na mila zetu. Vile vile, ukiangalia Kipengee cha tano, kuna vile ambavyo ameeleza kinagaubaga kwamba kutakuwa na kamati itakayoshughulikia maktaba. Kwa hivyo, mambo hayatafanywa kiholela. Kuna watu ambao watapatiwa jukumu na kazi yao itakuwa kufuatilia na kuona kwamba kuna maktaba katika kaunti zetu. Wengi ... view
  • 12 Mar 2025 in Senate: zitapewa nafasi ipi katika maktaba zetu. Teknolojia inaendelea kuimarika na vitu vipya vinaendelea kuchipuka. Ukisoma kitabu kipya leo, utapata kuwa mambo mapya yametokea. Mtu akisoma kitabu in hardcopy na mwingine asome in soft copy, yule wa soft copy anapata vitu vipya kwa sababu uzinduzi unaendelea kufanyika kila siku. Sisi tunaendelea kupambana kule kwetu Laikipia. Ukienda mahali kama Rumuruti au Salama, pengine tumeweka pale maktaba kulingana na jinsi Sen. Korir angetaka. Kuna vitabu pale. Nilipokuwa katika chuo kikuu, ungepata kuwa makala ambayo lecturer anakuja nayo yalikuwa yametumika kufunza watu kwa zaidi ya miaka 18. Mambo yamebadilika ilhali sisi tunaendelea kusoma mambo ... view
  • 12 Mar 2025 in Senate: Mbagathi. Naweza kukaa tu hapa katika ofisi yangu. Nikiwa kwenye tarakilishi yangu, naweza kupata mambo yote. Mambo ambayo nasoma kwenye tarakilishi ni mpya kushinda kitabu kililchoandikwa. Kwa hivyo, Bw. Spika wa Muda, naomba Sen. Korir aangalie jinsi atakavyoingiza mambo ya teknolojia katika maktaba zetu. view
  • 5 Mar 2025 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order No.53(1), to seek a Statement from the Standing Committee on National Security, Defence and Foreign Relations regarding the rampant cases of banditry in Laikipia West Constituency, Ol Moran Ward, Wangwaci area. In the Statement, the Committee should- (1) State whether the security apparatus in the county is seized of the issue of theft of eight cows and 30 goats belonging to Mr. Kipruto, and four cows and 19 goats belonging to Mr. Francis Ndukoi, residents of Ol Moran Ward, Wangwaci area, which were later recovered by the National Police Reservists (NPR), ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus