John Kinyua Nderitu

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 71 to 80 of 2259.

  • 4 Mar 2025 in Senate: On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. view
  • 4 Mar 2025 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, there is a lot of noise outside. I am getting worried whether people are visiting us. There was a time people were coming to view
  • 4 Mar 2025 in Senate: I do not know. Please, help us. view
  • 4 Mar 2025 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, on behalf of Sen. (Dr.) Murango, I rise pursuant to Standing Order No. 53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on Education regarding the challenges facing teachers’ medical cover. The Teachers Service Commission (TSC) and the National Treasury have not remitted medical cover to the teachers' medical insurance provider, causing the provider to withdraw services. This has caused thousands of teachers and their dependants to face uncertainty as hospitals have denied them medical services. In the Statement, the Committee should- (1) Explain why TSC and National Treasury have not remitted funds to teachers' medical ... view
  • 4 Mar 2025 in Senate: Bw. Naibu Spika, ninaunga mkono taarifa ya Sen. (Dkt.) Murango kuhusu bima ya afya ya walimu. Ni jambo la kuvunja moyo sana ikiwa walimu wetu ambao wanafanya kazi kwa bidii sana, halafu unapata hatimaye akienda hospitalini, hawezi kupata matibabu kwa sababu bima yake haijalipwa. Sio hayo tu, taarifa iliyoletwa na Sen. Cherarkey inasema ya kwamba ukitembelea hospitali zetu hakuna dawa ilhali sisi kama Seneti tumegawa pesa na kuzipeleka katika kaunti zetu. Tunaonekana kama kwamba Seneti hatufanyi kazi yoyote kwa sababu nakumbuka juzi tu Seneta wa Narok, alileta Mswada hapa kuhusu madeni na tukapitisha lazima madeni hayo yalipwe. Ukienda hospitalini unaambiwa, ... view
  • 25 Feb 2025 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Kwanza, kabisa nataka kuchukua fursa hii kutuma risala zangu za rambirambi kwa familia, jamii na marafiki wa Leonard Mambo Mbotela. Bw. Spika, itakumbukwa kwamba mtangazaji Leonard Mambo Mbotela alikuwa ni ngwiji wa Kiswahili. Nilimuenzi na hata kukipenda Kiswahili kwa sababu yake na watangazaji wengine kama Billy Omala, Njuguna Gatei pamoja na Mohammed Juma na wale wengine. Kusudi la kumpenda ni kwa sababu yeye alifanya kazi nzuri ya kuikosoa jamii na kile kipindi chake cha “ Je, huu ni ungwana ?” Jambo ambalo lilionekana kwamba halikukubalika katika jamii, alikuwa ni mwepesi wa kukosoa bila ... view
  • 25 Feb 2025 in Senate: mvinyo hata hakuenda nyumbani na kutosomesha watoto. Alikuwa akiuliza “je, huu ni ungwana kwa nyinyi wazee, baada ya watoto na mama kufanya kazi ngumu lakini baada ya kupokea malipo, unapata hakuna manufaa yoyote.” Hayo maswali pengine angelikuwa hivi leo angeuliza, “Je huu ni ungwana kwa wakulima wa Narok kufanya kazi ngumu ya kukuza ngano na hatimaye kutoweza kuiuza? Hayo ni maswali ambayo aliyafanya kwa kuweza kuikosoa jamii. Sio hivyo tu, aliweza kutangaza mpira. Vilel alivyokuwa akitangaza mpira na alivyokuwa akitohoa maneno, niliweza kujua mambo mengi pale. Hii ni kwa sababu alisema hasa sisi, Wakikuyu, tuna ile shida ya lahaja. Aliweza ... view
  • 25 Feb 2025 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda. Mimi ninakubaliana na haya maombi. Pia ninakubaliana na Sen. Sifuna ya kwamba ijapokuwa tunamsamehe Sen. Orwoba, yule ambaye alikuwa ameathirika na matamshi yake, yeye amesema nini? The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 25 Feb 2025 in Senate: Hii ni kwa sababu unapofanya makosa na kuyajutia, unapaswa kumuomba msamaha yule ambaye ulimkosea ili naye aweze kukubali msamaha huo. Sisi kama Seneti tunaweza kukubaliana lakini yule ambaye aliadhirika bado yuko na uchungu. Ni vizuru Sen. Orwoba amuombe msamaha yule ambaye aliathirika kwa sababu Kitabu Kitakatifu cha Mungu kinasema kuwa kile ambacho kimesamehewa humu duniani, hata mbinguni kimesamehewa. Mimi ninakubaliana na wenzangu lakini kwa sababu yule hakosei ni mia kwa mia ni Mungu peke yake. Ni vizuri hata sisi tusamehe kwa sababu leo ni mimi, kesho ni wewe. Ni mtindo mzuri kwa watu kusameheana tukiwa katika dunia hii, ninaweza nikakukwaruza ... view
  • 20 Feb 2025 in Senate: Asante, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii. Kwanza kabisa, nachukua fursa hii kuwakaribisha wanafunzi wanaosomea matibabu na mhadhiri wao. Jambo la kwanza, nachukua fursa hii kumshukuru Naibu Spika wetu kwa sababu aliona manufaa ya kuanzisha masomo ya matibabu na akaanzisha chuo hiki. Ni vizuri wameweza kutembea hapa siku ya leo ili waweze kuona vile majadiliano yanafanywa katika Seneti. Nawakaribisha nikiwaambia kwamba mambo ya matibabu ni mambo ambayo yamepewa kipaombele katika Jamhuri ya Kenya. Hii ni kwa sababu bila matibabu, itakuwa ni kazi bure. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus