John Kinyua Nderitu

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 681 to 690 of 2259.

  • 9 Nov 2022 in Senate: Bibilia husema umpende mwenzako unavyojipenda mwenyewe. Tukiwa hapa, tunawashughulikia Wakenya na kufanya kazi ambazo wametutuma kufanya. Ukitembea pale mashinani kama vile Mbunge wa walio wengi alivyosema akitumia lugha ya Kiingereza, unaulizwa how much ? view
  • 9 Nov 2022 in Senate: Kila wakati tunapoongea na Sen. Wambua na Sen. Faki, wao huniambia vile wanaambiwa wafanye haraka, wapange watu kabla hawajakua wengi. Wewe kama view
  • 9 Nov 2022 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 9 Nov 2022 in Senate: mwanasiasa unataka watu wengi kwa sababu hao ndio watakupigia kura lakini hapo unaambiwa uangalie wale ambao wako hapo. view
  • 9 Nov 2022 in Senate: Bw. Spika, ni vizuri hawa ndugu zetu wa SRC wajue ya kwamba hata sisi tuna haki kisheria na tutafuata sheria mpaka tuangaliwe na wao pia wafanye kazi yao. Ukiangalia, hao wenyewe wamejiongezea mishahara maradufu. Sisemi sisi tunaenda kujiongezea mishahara lakini mtu alipwe kulingana na kazi aliofanya. Mbunge anafanya kazi usiku na mchana. Simu yake inapigwa asubuhi na usiku pia. Naonea huruma Maseneta wachanga walio hapa. Mhe. Madzayo, sijui kama watapata fursa ya kupata watoto kwa sababu simu zinapigwa usiku. Sijui kazi zingine na majukumu mengine yatafanywa vipi. Inakua ni vigumu kidogo. view
  • 9 Nov 2022 in Senate: Bw. Spika, sisi tuliochaguliwa katika Tume hili tunajua kuna janga. Kitabu cha Kusadikika husema ya kwamba mashujaa huchipuka wakati wa majanga. Sasa, kuna janga na nataka kuwahakikishia ya kwamba wale waliochaguliwa katika tume hili wataibuka wakiwa mashujaa. Asante Bw. Spika na naunga mkono. view
  • 8 Nov 2022 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I would excuse Sen. (Prof.) Tom Ojienda, SC, but not Sen. Sifuna because he sits in the Committee on Roads, Transportation and Housing. Instead of him coming to lament here, they are supposed to have brought answers by now because the strike began on Saturday, and today is Tuesday. They would have called the Cabinet Secretary or the management they are talking about. The Committee, on its own Motion, would have done that without necessarily coming to this House to lament. Mr. Speaker, Sir, what I thought you are supposed to be doing--- view
  • 8 Nov 2022 in Senate: I want to advise him on what he should do in the future, instead of waiting. We have a very able Chairperson, Sen. Thang’wa. Instead of waiting and anything can happen--- view
  • 8 Nov 2022 in Senate: I thank you, Mr. Speaker, Sir. view
  • 27 Oct 2022 in Senate: Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. What that Chairperson is doing is disheartening. I recommend that the Committee on Delegated Legislation co- joins with the Committee on Health, so that they check her--- view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus