John Kinyua Nderitu

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 741 to 750 of 2259.

  • 11 Oct 2022 in Senate: Kwa Hoja la nidhamu, Bw. Spika wa Muda. Asante kwa kunipa fursa hii, ijapokuwa kidogo mimi ninachanganyikiwa. Nimesikia mwenzangu, Seneta akisema ya kwamba, yeye pamoja na Sen. Sifuna wako katika kamati moja, sijui ni kamati gani hiyo. Ninauliza ni kamati gani kwa sababu jambo lenyewe halijazungumziwa hapa na kupitishwa. view
  • 11 Oct 2022 in Senate: On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. Did my good friend, Sen. M. Kajwang’, read or listen to the clear Speech of the President? In Paragraph 14, he stated that “I promise to lead an administration dedicated to a just and fair Government to all Kenyans in order to deliver a Kenya for everyone. I commit to be loyal, hardworking and a devoted President to every Kenyan and my administration will serve all without regard to any distinction, real or imagined.” Mr. Deputy Speaker, Sen. M. Kajwang’ is now trying to imagine. My point of order is that ... view
  • 11 Oct 2022 in Senate: Bw. Naibu Spika, naunga Hoja hii mkono kwa sababu ya muda. Kila Seneta ambaye yuko hapa anataka kuchangia na kusema mambo machache kuhusu Hotuba ya Rais ambayo ilikua ya kufana. Wakenya wote waliufurahia na hio ndio maana maseneta wote waliohapa wanataka kuchangia Hoja hii na kuleta maneno yao yaweze kusikizwa. view
  • 11 Oct 2022 in Senate: There is another Procedural Motion that should be executed. Sen. Cherarkey, proceed. ELECTION OF SENATORS TO PRESIDE OVER SITTINGS OF THE HOUSE PURSUANT TO STANDING ORDER NO.18 AND ARTICLE 107(1) OF THE CONSTITUTION view
  • 11 Oct 2022 in Senate: Asante sana, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia Hotuba ya Rais. Kwanza, namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa fursa ya kuchaguliwa na wananchi. Vile vile, namshukuru Rias wangu, Mhe. William Samoei Ruto, pamoja na naibu wake, Mhe. Rigathi Gachagua, kwa kunipa fursa ya kuwania kiti cha useneta kwa Chama cha UDA. Pia, nawashukuru watu wa Laikipia kwa kunipigia kura zilizoniwezesha kuibuka mshindi. Vile vile nawapongeza Maseneta waliochaguliwa na wale ambao waliteuliwa. Heko na tutafanya kazi pamoja. Hotuba ya Rais iliangazia mambo muhimu ambayo ananuia kutenda. Nimekuwa nikiwasikiliza wenzangu wakiongea hapa. Ni kana kwamba amefanya mambo aliyoahidi. Ni mambo ... view
  • 11 Oct 2022 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 11 Oct 2022 in Senate: Rais tayari ameteua Majaji wale ambao walikuwa wamekaa muda mrefu kabla ya kuteuliwa. Halafu Raisi mwenyewe alisema ataongea na Bunge - ataongea na watu ambao wanahusika - ndiposa hela zile ambazo zinatumiwa pale mahakamani ziweze kuongezeka. Hilo ni jambo nzuri na tena mahakama zikipata hela zitaweza kufanya kazi zao kwa uadilifu bila kukaa wakibabaishwa kwa kuwa hawana hela za kutosha. Jambo lingine ambalo limenifurahisha ni kwamba Rais hata ijapokuwa pengine hakulisema hilo jambo lakini tayari amelitekeleza. Maafisa wetu wa usalama wamepewa kitita cha pesa wao wenyewe hawatakuwa wakitegemea ofisi ya Rais wakitaka chochote. Hilo ni jambo nzuri sana kwa sababu ... view
  • 11 Oct 2022 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 11 Oct 2022 in Senate: Jambo lingine ambalo ningependa kuunga mkono katika hotuba ya Raisi, amesema mambo ya nyumba. Ukitembea Laikipia, unapata watu wanaishi katika nyumba ambazo sio nzuri. Ukienda mahali ambapo panaitwa Maina Estate, Majengo-Nanyuki, Riki, utapata watu huko wanaishi maisha duni. Mimi ninaunga mkono vile Rais amesema ya kwamba tutapata nyumba ambazo mtu anaweza akanunua. Hilo ni jambo la muhimu kwetu na ni jambo ambalo tunaunga mkono. Tumeona kuwa Rais anatufikiria kama vile alivyokuwa akisema ni “kusema na kutenda” na mimi ninajua atafanya. Ninakumbuka Rais alipokuwa Waziri wa Kilimo, aliweza kupunguza bei ya mbolea kama vile alivyofanya sasa, kutoka Kshs6,000 kuwa Kshs5,500. Alipokuwa ... view
  • 8 Sep 2022 in Senate: Asante sana Bw. Spika . Ninataka kuchukua fursa hii kukupongeza na kumpa heko naibu wako Mhe. Kathuri. Ninawapongeza maseneta wote waliochaguliwa na kushukuru mwenyezi Mungu kwa kutupa fursa hii yakuweza kufika katika Seneti hii. Hasa ninawapongeza watu wa Laikipia kwa kunipigia kura na pia Rais Willliam Samoei arap Ruto. Nasema asante sana. Bw. Spika, nilipokuwa nikipiga kura yangu nilijiuliza maswali matatu. Jambo la kwanza, nilitaka Seneta aliyebobea katika kazi ya gatuzi zetu na ninajua wewe umebobea kabisa. Swali la pili nililojiuliza ni kwamba, ni Seneta ambaye ataelewa mambo ya Serikali Kuu. Nikakumbuka dhahiri shahiri ya kwamba wewe ulikuwa Waziri; nikajua ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus