John Kinyua Nderitu

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 761 to 770 of 2259.

  • 9 Jun 2022 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. view
  • 9 Jun 2022 in Senate: Mr. Speaker, Sir, Sen. Cherargei made it clear that the Senate Majority Leader has a clear picture. I do not know why he is struggling to explain because he said that the Senate Majority Leader has a clear picture. The two words are very clear to us. view
  • 9 Jun 2022 in Senate: Bw. Spika, asante kwa kunipa fursa hii. Kwanza kabisa ninatoa risala zangu za rambirambi kwa jamaa na familia waliopoteza wapendwa wao. Ni jambo la kuhuzunisha sana. Jambo ambalo linaudhi ni kwamba wale watu kutoka Masimba, walikua wakiandamana kisheria. Sheria zetu zinaruhusu mtu yeyote kufanya maandamano. Kisa na maana ya wao kuandamana ni wenzao saba kuvamiwa na kuuawa na ndovu. view
  • 9 Jun 2022 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 9 Jun 2022 in Senate: Tukio hilo liliwatuma kufanya maandamano, wakidhania kwamba watapata msaada. Cha kusikitisha ni kwamba watu watano ambao hawakua katika yale maandamano, walipigwa risasi na kuuawa. Watu hao walikua tu wakiangalia ile vurumai ikitendeka. Ukijumuisha, unapata kwamba zaidi ya watu 13 wameuawa. Bw. Spika, Kuna wimbo nakumbuka ukiimbwa na sasa wananchi wa pale Kajiado wanashindwa; tukimbilie polisi, hapana; tukimbilie msituni mahali ndovu waliko, hapana. Popote watakapoenda watauwawa. Ata pengine wanaona ndovu ni wazuri kushinda askari kwa sababu ndovu waliwauwa watu wanne ilhali askari wamewauwa watu watano na wengine tano wako hospitali. Mkuu wa polisi pamoja na Waziri Matiangi walishughulikie jambo hili kwa ... view
  • 19 May 2022 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Ningependa kuungana na wewe katika kuwakaribisha marafiki wetu kutoka Uchina na wanafunzi wa Acacia Crest Academy. Ningependa wanafunzi na walimu kutoka shule ya Acacia Crest Academy wajue ya kwamba sio kawaida yetu kuwa wachache hivi katika vikao vyetu vya hapa Seneti. Kisa na maana ni kwamba tumo katika msimu wa siasa. Kwa hivyo, Maseneta wengi hawako hapa. Hili ni jambo ambalo wanafunzi na walimu wanapaswa kulifahamu. Najua mmekuja kusoma mengi yanayotendeka katika Seneti. Ikiwezekana, mrudi tena wakati ambapo msimu wa siasa utakuwa umekwisha ili musome na mfahamu kwa mapana na marefu jinsi shughuli ... view
  • 19 May 2022 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. I am clear in mind where Sen. Halake belongs. She is a member of the Kenya African National Union (KANU) Party the last time I checked. I want clarity from her; which Deputy Speaker she is talking about in two months. view
  • 19 May 2022 in Senate: I do not know the female Deputy President she is talking about. I know that she is a Member of KANU and her party leader is defending his seat in the Senate. The Kenya Kwanza coalition Deputy Presidential aspirant is Hon. Rigathi Gachagua who will be the Deputy President in the next two months. view
  • 19 May 2022 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I rise pursuant to Standing Order 47(1) to make a Statement on an issue of general topical concern on consideration and construction of a road access by the Kenya Urban Road Authority (KURA) to construct a road access to Membley Daykio Estate in Kiambu County. Membley Daykio Estate in Ruiru is a fast growing, high-end suburb located in Ruiru Town of Kiambu County. It borders both Eastern and Northern Bypasses and it is a short distance from Kenyatta University and Tatu City. The churches located within the Estate include; PCEA Membley Church, Kamiti Parish; St. ... view
  • 19 May 2022 in Senate: (2) A pedestrian foot bridge across the dual carriageway. (3) Improvement of estate roads to bitumen standards including drainage works. Mr. Speaker, Sir, there is need to have a pedestrian foot bridge to cater for pedestrians crossing the dual carriageway to access both Membley, Githunguri and view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus