John Lodepe Nakara

Parties & Coalitions

Email

johnnakara@yahoo.com

Link

Facebook

Telephone

0724521698

Telephone

0735770174

All parliamentary appearances

Entries 81 to 90 of 587.

  • 27 Mar 2019 in National Assembly: Mheshimiwa Naibu Spika, ningependa kuungana na wenzangu ambao wameunga mkono Mjadala huu vilivyo. Sera ni kanuni ambazo zinatusaidia kufanya uamuzi ulio bora. Hatuwezi kuwasaidia wazee wa mtaa kama hakutakuwepo na sera ambazo zitawalinda na kuwafaidi. Ili kuwasaidia wazee, ni lazima tuwe na sera ambazo zitakuwa sheria na zitafuatwa kikamilifu ili baada ya Serikali yoyote kuingia ama kutoka, tutakuwa tumeweka sera ambazo zitawasaidia wazee. Tunahitaji sera ambazo zitakuwa sheria ili Serikali iwajibike kwa ajili ya wazee. Tusipokuwa na sera, itakuwa vigumu kufanya Serikali kuwajibika. Hiyo ndiyo sababu Bunge hili lazima litengenenze sera ili Serikali isipowalipa wazee, tunaweza kuipeleka Serikali kortini kwa ... view
  • 27 Mar 2019 in National Assembly: Mhe. Naibu wa Spika wa Muda, serikali ya ugatuzi imefanya kazi iwe rahisi kwa sababu imeajiri wawakilishi wa wadi. Kuna wawakilishi wa wadi na hiyo imefanya serikali ya kaunti kuhudumia wananchi. Nina mfano mzuri katika kaunti ya Turkana ambayo imeajiri mwakilishi wa wadi ambaye ni ward administrator . Sasa hivi, County assembly imepitisha sheria… view
  • 27 Mar 2019 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairlady. I want to know why the Chairperson is deleting the term “physical planning”. I have not understood. view
  • 27 Mar 2019 in National Assembly: Yes, Hon. Temporary Deputy Chairlady. view
  • 27 Mar 2019 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Chairlady, how can formulating an inter-county land use development plan be applicable to two different counties which physically border each other? I do not understand. Like Turkana and West Pokot, how can they use one plan? view
  • 27 Mar 2019 in National Assembly: Let the Chair explain. view
  • 27 Mar 2019 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Chairlady, I just want to concur with the Chairperson that we need to protect the counties. As long as the CEC member is there, the interests of the counties are taken care of. view
  • 27 Mar 2019 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairlady. I am worried about the experience of seven years required for a person to be appointed by the Executive Committee. This will deny youths who have three or four years’ experience opportunity. I wish we can reduce that number. A university graduate who has served for three years cannot get that job. view
  • 27 Mar 2019 in National Assembly: Clause 72. view
  • 27 Mar 2019 in National Assembly: I am proposing that we reduce the years of experience of the person who will be appointed by the Executive Committee. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus