Johnes Mwashushe Mwaruma

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 191 to 200 of 984.

  • 20 Sep 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 20 Sep 2023 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order No.53(1) to seek a Statement from the Committee on Education, concerning the Taita Taveta County Revolving Education Fund by the Higher Education Loans Board (HELB). In the Statement, the Committee should: (1) provide details of all applicants and beneficiaries of the Fund, including the colleges they attend, admission numbers, the amount allocated to each and disbursement dates from 2013 to date; (2) examine and table a report of any erroneous recoveries for loans not issued, stating the measures in place to refund those who were wrongfully made to pay loans ... view
  • 20 Sep 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 20 Sep 2023 in Senate: I thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. view
  • 19 Sep 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika kwa kunipa hii fursa nichangie huu Mswada; Kenyan Sign Language Bill. Huu Mswada unanuia kupeana uhai katika ibara kadhaa katika Katiba ya Kenya. Ibara ya kwanza ni ya 53 ambayo inapeana haki kwa kila Mkenya kupata elimu ya msingi na ya lazima. Ibara ya 54 inawapa Wakenya wanaoishi na ulemavu haki ya kupata elimu. Ibara ya 35 inawapa wananchi haki ya kupata habari. Kwa muda mrefu, hatujakuwa na sheria wala sera zinazoangazia jinsi viziwi wanasoma au kupata habari humu nchini. Huu Mswada unatazamia kutunga sheria ya Kenyan Sign Language ambayo itazingatia jinsi wanafunzi hawa watasoma. Wakati wa view
  • 19 Sep 2023 in Senate: wengi walifurahi na kusema kando na kutunga sheria na sera, huu Mswada pia utatoa hamasa kwa wananchi na taasisi mbalimbali za Serikali na zile zisizo za kiserikali, kuwa kuna wananchi viziwi. Wananchi hawa kwanza wako na haki ya kupata maarifa na ujuzi utakaowasaidia katika maisha yao. Kwa Kiingereza tunasema kupata knowledge and skills zitakazowasaidia katika maisha yao. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 19 Sep 2023 in Senate: Ninamshukuru Sen. (Prof.) Kamar na mwenzake, Sen. Crystal Asige, ambao wameleta Mswada huu. Nikiwa mmoja wa Maseneta katika Kamati ya Elimu, tuliona kwamba ni vyema pawe na vifaa vya kutosha na kuhakikisha hawa wanafunzi walio na ulemavu wanapata masomo bila kubaguliwa ili wakuwe na uwezo wa kushindana na wenzao ambao hawana ulemavu. Shule zinafaa kuwa na vifaa vya kutosha. Pia walimu wanafaa kuwa na mafunzo mazuri katika taasisi zetu za elimu. Pili, wazazi wa watoto wanaoishi na ulemavu huu wafunzwe hii lugha ya ishara. Mtoto anapozaliwa, anajifunza mambo mengi kupitia lugha. Iwapo mzazi haelewi hii lugha ya ishara, basi itakuwa ... view
  • 19 Sep 2023 in Senate: Mswada huu unasema ni vyema mahakama zetu ziwe na watu wa kutafsiri ili kila mmoja aweze kujua nini kinachoangaziwa. Katika Bunge letu la Kitaifa na hata hili la Seneti, tunaona kuwa hakuna mwanafunzi yeyote kiziwi. Kama kungekuwa na mmoja, basi hangeelewa ninayosema. Basi ni vizuri kupitia Mswada huu, tuwe na sheria na sera za kuhakisha kuwa katika taasisi za Serikali na zisizo za Serikali, tunakuwa na wakalimani watakaokuwa wanatafsiri kwa lugha ya ishara. Tukiwa na mtu ambaye anaongea kwa lugha ya ishara, basi kuwe na mkalimani wa lugha ya ishara kwa viziwi. Mswada huu unaeleza kuwa ni vyema kuwe na ... view
  • 31 Aug 2023 in Senate: Asante Bw. Spika kwa fursa hii uliyonipa kuunga mkono Mswada huu unaopelekea kubadilisha sheria ya mabadiliko ya tabia nchi wa 2016 ama Climate Change Act of 2016. Namshukuru Waziri Soipan Tuya. Tulipokuwa na yeye Naivasha kwa mkutano wa Kamati ya Mazingira, aliahidi kueka sera na sheria za kuthibiti uuzaji wa mkopo za kaboni ama carbon credits . Nilifikiri ataleta sheria mpya kabisa lakini katika hekima yake aliamua kubadilisha Mswada wa tabia nchi wa 2016 kipengee cha 23 ili kuweka uthibiti wa mabadiliko ya tabia nchi kwa ile sheria. Hakuna mtu hajaona madhara ya kuharibu mazingira au ya mabadiliko ya tabia ... view
  • 31 Aug 2023 in Senate: Nikiangalia takwimu, shamba la Tsavo East na Tsavo West, ni ekari milioni 2.7. Katika ranches, 1.2 milioni. Mkopo wa kaboni unalipiwa lakini hatuelewi kama wananchi ama kaunti tunafaidi namna gani. Ninaunga mkono Mswada huu kwa sababu unapelekea kuweka peupe bayana kama tukilinda haya mazingira- kuna wengine wanayaita mazingara. Mazingara sio view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus